X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • HiOS NI NINI... (MJADALA).... Tanzania

  Mambo vipi TEAM TECNO. (Discussion)

  Leo tutazungumzia MFUMO wa kipekee unaotumika kwenye simu za TECNO.
  Nafahamu wengi wetu wanaweza wakawa wanafahamu na pia wenginme wanaweza wasiwe wanafahamu. Mimi nitajaribu kuelezea kwa kile nachohisi nafahamu kuhusu huu mfumo.

  Click image for larger version

Name:	hios.....PNG
Views:	1
Size:	65.6 KB
ID:	9526  Mfumo ninaozungumzia ni HiOS, na sio mwengine.. Mfumo huu unapatika pekee kwenye simu za TECNO na pia ni "customized” kwaajili tu ya simu za TECNO.  Unaweza kujiulioza HiOS ni nini?

  Jibu na rahisi, HiOS ni mfumo unaoupa simu yako mtazamo flani. Kama ilivyo iOs Kwenye simu za Apple. Kwa lugha rahisi ni Operating System ndani ya simu yako.
  HiOS ilianza kutumika kwenye J8 ikiwa na toleo 1.0 na baadae kuongezwa na kuwa toleo la 2.0, na ndio inayotumika sasa kwenye simu kama Camon Cx.

  Click image for larger version

Name:	hios2.jpg
Views:	2
Size:	13.3 KB
ID:	9528  Pia unaweza kujiuliza huu mfumo (system) una faida gani kwenye simu yako. Kwa haraka haraka naweza kukuambia kuwa
  • Kazi yake ni KUBWA ni kukupa “EASY ACCES” ya vitu ama Apps kwenye simu yako (Utauliza kiaje?
  Kuma vitu vifuatavyo ambavyo vimewekwa kukupa urahisi wa kutumia simu yako kwa kutumia mfumo huu wa HiOS vikiwemo:
  1. HiManager
  2. Hi Search
  3. HiTheme
  Click image for larger version

Name:	2.png
Views:	3
Size:	344.8 KB
ID:	9527

  Kama ilivyo majina yake, yanajielezea ni kwa njia ipi unaweza ku”ACCESS” simu kirahisi.  Naamini tumesoma kiasi, ila ningependa kufahamu kutoka kwako mdau wewe unaelewaje huu MFUMO wa HiOS?
  Attached Files
  1
  Ni sahihi?
  100.00%
  1
  Si Sahihi
  0.00%
  0
  Hufahamu?
  0.00%
  0
  Last edited by waku7bisha; 07-27-2017, 07:19 PM.

 • #2
  Umeelezea vyema kabisa. Shukran

  Comment


  • #3
   as much as I'd like to join in the discussion I can't cos I can't read what's written...

   Comment


   • #4
    Originally posted by Bee Gold
    as much as I'd like to join in the discussion I can't cos I can't read what's written...
    <br />
    use translator..

    Comment


    • #5
     mbn mm cjafahamu wadau ndo inatumika vp

     Comment


     • #6
      #1....Safi sana.... tecno wanatuboreshea sana

      Comment


      • #7
       asante kwa kutujuza

       Comment


       • #8
        imekaa vizuri

        Comment


        • #9
         kiukweli sijaelewa

         Comment


         • #10
          cjajua kazi yake mbashala

          Comment


          • #11
           napenda Sana Hi manage..naweza kufreez app zinazonisumbua...hii inazificha na kuzistop kabisa apps hivyo inasave data na charge sio hivyo tu inaclean ram,ablock calls etc, kuna hi font inaniwezesha kuweka font ninazotaka Keene simu yangu

           Comment


           • #12
            ku download HI THEMES INAGUMA

            Comment


            • #13
             Originally posted by kenethmlinda
             ku download HI THEMES INAGUMA
             inasemaje

             Comment


             • #14
              inagoma vp

              Comment


              • #15
               poaa

               Comment

               Advanced Options
               Working...
               X
               Download the App for a More Fluid Experience
               DOWNLOAD