X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• TUJADILI KIDOGO KUHUSU HiOS Tanzania

Mambo vipi TEAM TECNO. (Discussion)

Leo tutazungumzia MFUMO wa kipekee unaotumika kwenye simu za TECNO.
Nafahamu wengi wetu wanaweza wakawa wanafahamu na pia wenginme wanaweza wasiwe wanafahamu. Mimi nitajaribu kuelezea kwa kile ninachohisi nafahamu kuhusu huu mfumo

Click image for larger version

Name:	H1.png
Views:	1
Size:	29.1 KB
ID:	18088
Mfumo ninaozungumzia ni HiOS, na sio mwengine.. Mfumo huu unapatikana pekee kwenye simu za TECNO na pia ni "customized” kwaajili tu ya simu za TECNO.

Unaweza kujiuliza HiOS ni nini?

Jibu na rahisi, HiOS ni mfumo unaoupa simu yako mtazamo flani. Kama ilivyo iOs Kwenye simu za Apple. Kwa lugha rahisi ni Operating System ndani ya simu yako.
HiOS ilianza kutumika kwenye J8 ikiwa na toleo 1.0 na baadae kuongezwa na kuwa toleo la 2.0, iliyo kwenye simu kama Camon CX, ikaja HiOS 3 kwenye simu kama za Camon X, huku ikizidi kuendelea kua updated. Na bado itaendelea kua updated.

Click image for larger version

Name:	H2.jpg
Views:	1
Size:	13.3 KB
ID:	18089  Pia unaweza kujiuliza huu mfumo (system) una faida gani kwenye simu yako. Kwa haraka haraka naweza kukuambia kuwa
• Kazi yake KUBWA ni kukupa “EASY ACCES” ya vitu kama Apps kwenye simu yako (Utauliza kiaje?)
Kuna vitu vifuatavyo ambavyo vimewekwa kukupa urahisi wa kutumia simu yako kwa kutumia mfumo huu wa HiOS vikiwemo:
1. HiManager
2. Hi Search
3. HiTheme
Click image for larger version

Name:	H3.png
Views:	1
Size:	101.5 KB
ID:	18090  Kama ilivyo majina yake, yanajielezea ni kwa njia ipi unaweza ku”ACCESS” simu kirahisi.

Hiyo ni kwa ufupi tu kuhusu kihistoria kifupi cha HiOS. Wiki ijayo nitawaeleza kuhusu toleo la HiOS 3.3

Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-14-2018, 04:53 PM.

• #2
ndarudishaje simu yangu kutumia version ya kitambo ya hi os
Originally posted by waku7bisha
Mambo vipi TEAM TECNO. (Discussion)

Leo tutazungumzia MFUMO wa kipekee unaotumika kwenye simu za TECNO.

Nafahamu wengi wetu wanaweza wakawa wanafahamu na pia wenginme wanaweza wasiwe wanafahamu. Mimi nitajaribu kuelezea kwa kile ninachohisi nafahamu kuhusu huu mfumo

[ATTACH=CONFIG]n237516[/ATTACH]

Mfumo ninaozungumzia ni HiOS, na sio mwengine.. Mfumo huu unapatikana pekee kwenye simu za TECNO na pia ni "customized” kwaajili tu ya simu za TECNO.

Unaweza kujiuliza HiOS ni nini?

Jibu na rahisi, HiOS ni mfumo unaoupa simu yako mtazamo flani. Kama ilivyo iOs Kwenye simu za Apple. Kwa lugha rahisi ni Operating System ndani ya simu yako.

HiOS ilianza kutumika kwenye J8 ikiwa na toleo 1.0 na baadae kuongezwa na kuwa toleo la 2.0, iliyo kwenye simu kama Camon CX, ikaja HiOS 3 kwenye simu kama za Camon X, huku ikizidi kuendelea kua updated. Na bado itaendelea kua updated.

[ATTACH=CONFIG]n237517[/ATTACH]

Pia unaweza kujiuliza huu mfumo (system) una faida gani kwenye simu yako. Kwa haraka haraka naweza kukuambia kuwa

• Kazi yake KUBWA ni kukupa “EASY ACCES” ya vitu kama Apps kwenye simu yako (Utauliza kiaje?)

Kuna vitu vifuatavyo ambavyo vimewekwa kukupa urahisi wa kutumia simu yako kwa kutumia mfumo huu wa HiOS vikiwemo:

1.

2. HiManager

3. Hi Search

4. HiTheme

[ATTACH=CONFIG]n237518[/ATTACH]

Kama ilivyo majina yake, yanajielezea ni kwa njia ipi unaweza ku”ACCESS” simu kirahisi.

Hiyo ni kwa ufupi tu kuhusu kihistoria kifupi cha HiOS. Wiki ijayo nitawaeleza kuhusu toleo la HiOS 3.3

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari, kwanini unataka kufanya hivyo? nini shida?

• #3
hios

Comment

• #4
Mbona fonts haziwi updated kama wallpapers na themes? mafonts ya camon cx ni ya zaman mnooo

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari, Hi Theme hua inakua updated. Hakikisha una update app kutoka playstore kila wakati na umeruhusu Hi theme I access background data

• #5
jana nimeupdate hiOS katika Camon Cx air, hapa nilipo home button haifanyi kazi

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari. Inakuletea ujumbe gani? au inaact vipi? Unaweza kututumia screenshot?

• #6
nahitaji ku update vision ya sim yangu tecno w5lite lakini inagoma nifanyeje ili ni update?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Umeletewa notification ya update kwenye simu yako?

• #7
sim yangu inaqoma kufunqua wifi bluetooth tatizo nn tecno w5 plus

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Inakuletea ujumbe gani?

• #8
Post za tangu tarehe 14 sep hazijajibiwa hovyo kabisa.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari, karibu TECNO Spot.

• #9
tatizo

Comment

• #10
simu yangu internal memory imejaana nimeweka SD card memory card lkn haisom. tatizo nn. team tecno nisaidien

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Jaribu kuweka SD card nyingine uone kama itasoma

• #11
I'll slow sana

Comment

• #12
did not work properly

Comment

• #13
More ads and too slow

Comment

• #14
cc

Comment

• #15
y'a kelkun ki parle français ici

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD