mbona k9 haipigi picha nifanyeje kutymia camera?
This is a sticky topic.
X
X
-
-
from TECNO_CF8
:0x1f494:
:0x1f496::0x1f496:
Originally posted by waku7bishaMambo vipi TEAM TECNO. (Discussion)
Leo tutazungumzia MFUMO wa kipekee unaotumika kwenye simu za TECNO.
Nafahamu wengi wetu wanaweza wakawa wanafahamu na pia wenginme wanaweza wasiwe wanafahamu. Mimi nitajaribu kuelezea kwa kile ninachohisi nafahamu kuhusu huu mfumowenginme wanaweza wasiwe
wenginme wanaweza wasiwe
[ATTACH=CONFIG]n237516[/ATTACH]
Mfumo ninaozungumzia ni HiOS, na sio mwengine.. Mfumo huu unapatikana pekee kwenye simu za TECNO na pia ni "customized” kwaajili tu ya simu za TECNO.
Unaweza kujiuliza HiOS ni nini?
Jibu na rahisi, HiOS ni mfumo unaoupa simu yako mtazamo flani. Kama ilivyo iOs Kwenye simu za Apple. Kwa lugha rahisi ni Operating System ndani ya simu yako.
HiOS ilianza kutumika kwenye J8 ikiwa na toleo 1.0 na baadae kuongezwa na kuwa toleo la 2.0, iliyo kwenye simu kama Camon CX, ikaja HiOS 3 kwenye simu kama za Camon X, huku ikizidi kuendelea kua updated. Na bado itaendelea kua updated.
[ATTACH=CONFIG]n237517[/ATTACH]
Pia unaweza kujiuliza huu mfumo (system) una faida gani kwenye simu yako. Kwa haraka haraka naweza kukuambia kuwa- Kazi yake KUBWA ni kukupa “EASY ACCES” ya vitu kama Apps kwenye simu yako (Utauliza kiaje?)
Kuna vitu vifuatavyo ambavyo vimewekwa kukupa urahisi wa kutumia simu yako kwa kutumia mfumo huu wa HiOS vikiwemo:
- HiManager
- Hi Search
- HiTheme
[ATTACH=CONFIG]n237518[/ATTACH]
Kama ilivyo majina yake, yanajielezea ni kwa njia ipi unaweza ku”ACCESS” simu kirahisi.
Hiyo ni kwa ufupi tu kuhusu kihistoria kifupi cha HiOS. Wiki ijayo nitawaeleza kuhusu toleo la HiOS 3.3
Comment
-
from TECNO_Camon_CXOriginally posted by mtimkavu28Mbona fonts haziwi updated kama wallpapers na themes? mafonts ya camon cx ni ya zaman mnooo
sio hivio lakin font ziko tena nyingi sana dugu yangu kama watumia cx nenda kwenye *hi therms* alafu tengeneza account thn nenda fornt uta zikuta nyingu sana .
Comment
Comment