X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• HiOS toleo la 3.3 Tanzania

Wadau wa TECNO mambo vipi?!

Wiki iliyopita tulijadili kidogo kuhusu mfumo wa HiOS ambao unapatikana kwenye simu za TECNO. Mfumo huo unazidi kuboreshwa siku hadi siku na matoleo ya simu za TECNO zinazotoka hua zinakuja na mfumo huo ukiwa umeboreshwa zaidi. Kwa mfano matoleo ya simu za Camon X ziliboreshwa kwa kuja na HiOS ya 3.3. Je?! Ungependa kujiuliza HiOS ni nini na inakusaidia nini!

Click image for larger version

Name:	h1.jpg
Views:	1
Size:	369.2 KB
ID:	18177
HiOS ni mfumo wa uendeshaji katika simu yako ya mkononi ulioboreshwa kwaajili ya watumiaji wa simu za TECNO
Click image for larger version

Name:	h2.png
Views:	1
Size:	13.9 KB
ID:	18178  Mfumo huu humsaidia mtumiaji kwa mambo yafuatayo
• Humpatia mtumiaji utendaji wa applications wa haraka na kwa wepesi Zaidi
• HiOS ina Hi manager ambayo ndani yake inakupatia Hi themes, Hi wallpapper, Hi font n.k hii hufanya muonekano wa simu yako pamoja na applications zako kua zenye mvuto
• Pia inauwezo wa kuua/stop applications zinazo endelea (background running) wakati hazitumiki
• Kiujumla humpatia mtumiaji easy access au ufanisi wa hali ya juu wa applications kwenye simu yako hii pia husaidia kupunguza matumizi ya chaji
Simu ya Camon X ni simu inayokuja na HiOS ya 3.3 ambayo ina uwezo mkubwa sana na humpatia mtumiaji ufanisi wa hali ya juu kiutendaji kwenye simu yake.
Unaweza kujionea tofauti iliyopo kiutendaji kati ya simu ya CamonX yenye HiOS ya 3.3 na simu yenye Original Anroid OS kiuikweli yenye HiOS ya 3.3 iko haraka Zaidi

Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-20-2018, 04:01 PM.

• #2
mnatuzingua mbona techno k7 znastarch sana mnatusaidiaje ili zwe poa

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Kuna Makala imeandikwa humu kuhusiana na hilo swala.
Unaweza tafuta humu kwenye (search) humu kwenye forum ili kuweza kupata suluhisho

• #3
Simu zetu zimezidi matangazo daah sijui tumeingiwa na nini
Technology is an art of creativity
+255744123365

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Ni kweli bro. Matangazo yapo mengi na ya aina tofautitofauti.
Ila kuna Makala imeandikwa humu ya jinsi ya kuzuia ads, Unaweza tafuta ukaona jinsi ya kusolve.
Halafu umepotea sana blaza, kwema?

• #4
simu yangu inasumbua sana katika upande wa message naweza tumi sms kwa mtumaje zinakua delivery but kwangu hazifki au mimi natuma hazieendi na salio nnalo nasi mara moja or mbil nikwa mda mrefu sasa nina kama mwaka sasa

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari, pole sana kwa tatizo lako.
Hiyo sasa ni ishu inayohusiana na mtandao wa simu unaoutumia. Wapigie waweze kukusaidia

• waku7bisha commented
Editing a comment
Pia Hakikisha message center number ipo sawa.

• #5
Originally posted by kishada
simu yangu inasumbua sana katika upande wa message naweza tumi sms kwa mtumaje zinakua delivery but kwangu hazifki au mimi natuma hazieendi na salio nnalo nasi mara moja or mbil nikwa mda mrefu sasa nina kama mwaka sasa
. Loooo!! Dada umeangalia kwenye MESSAGE CENTER??

Comment

• #6
inawezeka alifuta code za sms uyo dada

Comment

• #7
me simu yangu ni k9 inasumbua qenye storage inaonekana imejaaa lakini app siyo nyingi tunaomba tujibiwe

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
baadhi ya sehemu ya storage hua inachukuliwa na android system yenyewe

• #8
nataka app zangu niwe nikislide from left to right si up to down

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
itakua ulichagua A-Z function.
Bonyeza home button ili irudi kama kawaida

• #9
hyyy

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
hello

• #10
Originally posted by kishada
simu yangu inasumbua sana katika upande wa message naweza tumi sms kwa mtumaje zinakua delivery but kwangu hazifki au mimi natuma hazieendi na salio nnalo nasi mara moja or mbil nikwa mda mrefu sasa nina kama mwaka sasa

unatumia message app ilokuja na simu ama umeweka nyengne, tumia message app ilokuja na sim

Comment

• #11
kwanini sasa msitoe updates kwa simu zenu ili zipate mfumo huo

Comment

• #12
hawa jamaa tatzo lao kubwa ni updates za simu zao wakitoa basi wanazitelekeza tu huko hvohvo ukinunua ndo ishakuwa yakwako matatzo kibao kila kukicha tecno mnaboa

Comment

• #13
natumia canon x. shida ni moja tuu. kuna vitu vimefichwa sana. kama ♻️ imeandikwa ? go. sasa mpaka ujue. umeshapekuwa mpaka umechoka.

NI SIMU NZURI SANA

Comment

• #14
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20181017_010800.jpg
Views:	1
Size:	133.4 KB
ID:	18629
Originally posted by waku7bisha
Wadau wa TECNO mambo vipi?!

Wiki iliyopita tulijadili kidogo kuhusu mfumo wa HiOS ambao unapatikana kwenye simu za TECNO. Mfumo huo unazidi kuboreshwa siku hadi siku na matoleo ya simu za TECNO zinazotoka hua zinakuja na mfumo huo ukiwa umeboreshwa zaidi. Kwa mfano matoleo ya simu za Camon X ziliboreshwa kwa kuja na HiOS ya 3.3. Je?! Ungependa kujiuliza HiOS ni nini na inakusaidia nini!

[ATTACH=CONFIG]n240329[/ATTACH]        HiOS ni mfumo wa uendeshaji katika simu yako ya mkononi ulioboreshwa kwaajili ya watumiaji wa simu za TECNO

[ATTACH=CONFIG]n240330[/ATTACH]        Mfumo huu humsaidia mtumiaji kwa mambo yafuatayo
• Humpatia mtumiaji utendaji wa applications wa haraka na kwa wepesi Zaidi
• HiOS ina Hi manager ambayo ndani yake inakupatia Hi themes, Hi wallpapper, Hi font n.k hii hufanya muonekano wa simu yako pamoja na applications zako kua zenye mvuto
• Pia inauwezo wa kuua/stop applications zinazo endelea (background running) wakati hazitumiki
• Kiujumla humpatia mtumiaji easy access au ufanisi wa hali ya juu wa applications kwenye simu yako hii pia husaidia kupunguza matumizi ya chaji

Simu ya Camon X ni simu inayokuja na HiOS ya 3.3 ambayo ina uwezo mkubwa sana na humpatia mtumiaji ufanisi wa hali ya juu kiutendaji kwenye simu yake.

Unaweza kujionea tofauti iliyopo kiutendaji kati ya simu ya CamonX yenye HiOS ya 3.3 na simu yenye Original Anroid OS kiuikweli yenye HiOS ya 3.3 iko haraka Zaidi

Comment

• #15
Originally posted by 765905456
hawa jamaa tatzo lao kubwa ni updates za simu zao wakitoa basi wanazitelekeza tu huko hvohvo ukinunua ndo ishakuwa yakwako matatzo kibao kila kukicha tecno mnaboa

ndugu Hama...Mimi nilinunua Samsung nimetumiwa update tayari,simu Haina tatizo lolote...acha kutumia Tecno...Hiyo ni simu ya wasee wasiojua kwamba wanadanganywa

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD