This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #16
  ila sema jalibuni kuziboresha kwa Tecno K7 kwa kuwa zinakuwa zinagoma kwa mda hivyo fanyeni kuiupdate system ya simu zima .

  Comment


  • #17
   so my camon x pro just updated itself today and now it is worse than ever I can not change fonts since there is no hi font option on hi theme n my keyboard is really bad and I cannot find touchpal on my phone please fix this

   Comment


   • #18
    Naomba kuulia kwa nini simu yangu ni tecno camon x lakini hi front siipati

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari. Baada ya update, Google waliondoa hiyo option. ila Engineers wetu wanafatilia hilo swala

   • #19
    tecno k7 znastuck Sana jmn?

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Hakikisha simu yako haijajaa na hauna apps nyingi running kwenye background.
     Kua unafuta Junkie files na unaclear cache mara kwa mara

   • #20
    sms hazifiki wakati alie tuma ina sema delievery

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Hakikisha message center number ipo, na ipo sahihi.

   • #21
    Simu yangu mmetoa hi font kwa nini

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     update mpya ya Google imefanya hivyo. Engineers wetu wanashughulikia hilo swala

   • #22
    huwezi kubadilisha hio app kwenye cm

    Comment


    • #23
     Sijui itakuwa updated lini kwenye simu zetu zenye toleoa la 1.1.0

     Comment


     • #24
      Originally posted by jamilamakwa
      Simu yangu mmetoa hi font kwa nini
      wamesema inafanyiwa kazi inawezekana ktk mwezi huu wakarudisha

      Comment


      • #25
       Originally posted by temuinnocenttemu
       Naomba kuulia kwa nini simu yangu ni tecno camon x lakini hi front siipati
       baada ya kutoa update wametoa huo uwezo ila linafanyiwa kazi

       Comment


       • #26
        Originally posted by 716456994
        so my camon x pro just updated itself today and now it is worse than ever I can not change fonts since there is no hi font option on hi theme n my keyboard is really bad and I cannot find touchpal on my phone please fix this
        hope soon your problem will be fixed before ending of this month

        Comment


        • #27
         Originally posted by 765905456
         kwanini sasa msitoe updates kwa simu zenu ili zipate mfumo huo
         hapo ndo ttz la tecno linapoanza

         Comment


         • #28
          Kwanini fonts zimeondolewa kwenye Tecno camon X, kiukweli sasa hivi inaboa

          Comment


          • #29
           Simu yangu inakataa kudownload font inaandika network error ila nikidownload theme au wallpaper inakubali asa sijui shida inakua nnin

           Comment


           • #30
            naombeni mnisaidie hapo kwenye HiOs <br />
            mbona kwa upande wAngu font hazikubali kudownloadika

            Comment

            Advanced Options
            Working...
            X
            Download the App for a More Fluid Experience
            DOWNLOAD