This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #31
Mm simu yangu yaani mara nyingi nikifungua insta, pinterest na hata games zingine, app zinajiexit. inakera sana

Comment

• #32
na pia update mpya imebadilisha keyboard imefanya hata customization iwe ngumu. zaman predictions zilikua faster. sasa hv chali. nilikuwa na uwezo wa kuweka number juu ya herufi. sasa hv hakuna

Comment

• #33
Mbona mmeyoa font kwenye techno y camox
Originally posted by waku7bisha
Wadau wa TECNO mambo vipi?!

Wiki iliyopita tulijadili kidogo kuhusu mfumo wa HiOS ambao unapatikana kwenye simu za TECNO. Mfumo huo unazidi kuboreshwa siku hadi siku na matoleo ya simu za TECNO zinazotoka hua zinakuja na mfumo huo ukiwa umeboreshwa zaidi. Kwa mfano matoleo ya simu za Camon X ziliboreshwa kwa kuja na HiOS ya 3.3. Je?! Ungependa kujiuliza HiOS ni nini na inakusaidia nini!

[ATTACH=CONFIG]n240329[/ATTACH]

HiOS ni mfumo wa uendeshaji katika simu yako ya mkononi ulioboreshwa kwaajili ya watumiaji wa simu za TECNO

[ATTACH=CONFIG]n240330[/ATTACH]

Mfumo huu humsaidia mtumiaji kwa mambo yafuatayo

• Humpatia mtumiaji utendaji wa applications wa haraka na kwa wepesi Zaidi

• HiOS ina Hi manager ambayo ndani yake inakupatia Hi themes, Hi wallpapper, Hi font n.k hii hufanya muonekano wa simu yako pamoja na applications zako kua zenye mvuto

• Pia inauwezo wa kuua/stop applications zinazo endelea (background running) wakati hazitumiki

• Kiujumla humpatia mtumiaji easy access au ufanisi wa hali ya juu wa applications kwenye simu yako hii pia husaidia kupunguza matumizi ya chaji

Simu ya Camon X ni simu inayokuja na HiOS ya 3.3 ambayo ina uwezo mkubwa sana na humpatia mtumiaji ufanisi wa hali ya juu kiutendaji kwenye simu yake.

Unaweza kujionea tofauti iliyopo kiutendaji kati ya simu ya CamonX yenye HiOS ya 3.3 na simu yenye Original Anroid OS kiuikweli yenye HiOS ya 3.3 iko haraka Zaidi

Comment

• #34
Tecno mnazingua

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Una tatizo gani Tafadhali?

• #35
hello, I have try all of the methods proposed by people to make my phone function properly. As I speak, nothing couldn't work for me. I am using Tecno CA7 or Camon X. The problem I am facing is:

1. Facebook is not working on

my phone. When ever I try to

opened it, it will tell me to

chick my network.

2. Messenger the same.

3. Ram is almost filled.

how can I clear or reduce

it ?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Hello. Kindly back up your data and do a factory reset.

• #36
simu yangu imebadilika Muonekano wa mafile. Kwahio nifanyeje ili iwe sawa maana kabla haikua hivi nilivyo mafail hayaeleweki yapo ovyo ovyo tu

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Ulifanyaje mpaka yakabadilika? Haiwezi kubadilika tu yenyewe.
Fafanua vizuri tafadhali

• #37
ko

Comment

• #38
is it possible update vision ya cx ikawa na 3.3????

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD