X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Sifa za Tecno Camon CM kwa Kiswahili Tanzania

  • Aina ya Kioo - Full Vision capacitive touchscreen
  • Ukubwa wa Kioo - 5.65-inch yenye resolution ya 720 x 1440 pixels
  • Uwezo wa SIM - Line mbili ndogo
  • Uwezo wa Network - 2G/3G/4G
  • Uzito wa Simu - 144g
  • Kamera ya Nyuma - Megapixel 13 yenye FF pamoja na Ring-Flash (Quad-Flash)
  • Kamera ya Mbele - Megapixel13 yenye FF, pamoja na Dual-Flash
  • Uwezo wa Processor - Quad-Core 1.3GHz yenye uwezo wa 64-bit MEDIATEK MTK6737H
  • Uwezo wa GPU - Mali-T720
  • Ukubwa wa Ndani - GB 16 inayoweza kuongezeka kwa memory card hadi 128GB
  • Ukubwa wa RAM - GB2
  • Uwezo wa Sensors - inayo sensor za G-Sensor, Fingerprint, Ambient Light Sensor, Proximity Sensor and E-Compass
  • Mfumo wa uendeshaji - Android 7.0 Nougat yenye HiOS 2.0 User Interface
  • Uwezo wa Bluetooth - V4.1
  • Uwezo wa Battery - battery ya Li-Polymer yenye ukubwa wa 3050mAh, pamoja na teknolojia ya Fast Charging.
  • Mengineyo - Inayo fingerprint, inayo radio, kava lake ni la chuma
  Source Tanzania Tech

 • #2
  camon cx android vesion 7.1.1 imetoka??

  Comment

  Advanced Options
  Working...
  X
  Download the App for a More Fluid Experience
  DOWNLOAD