This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • MAMBO NI....!! BADO SIKU MOJA Tanzania

  Ebhana eenh,, Imebaki siku moja kuelekea kwenye uzinduzi wa simu mpya utakaofanyika hapo kesho mjini Lagos Nigeria
  Unahisi simu hii inakuja na uwezo gani na mambo gani mapya?


  Click image for larger version

Name:	IMG-20180404-WA0007.jpg
Views:	1
Size:	69.1 KB
ID:	14664


  Nini kipo kwenye X? unategemea nini kiwepo kwenye X?
  Kaa mkao wa kula!! Fuatilia hapahapa kesho kupata matukio mubashara
  bila kusahau kuweka hashtag #SayX #CamonXLaunch #ClearSelfie


  

 • #2
  wow, can't wait for the X to be revealed

  Comment


  • #3
   J'aime les marques de Tecno

   Comment


   • #4
    #sayX #CamonXLaunch#ClearSelfie<br />
    <br />
    itakua the best of Camon CX Air

    Comment


    • #5
     bei gan iyo

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      tembelea maduka ya Tecno kufahamu zaidi

    • #6
     that is good more tha all

     Comment


     • #7
      yap

      Comment


      • #8
       Kwanini tecno huwa ukichukua video snapchat inakuwa inastack yani video inakuwa vibaya

       Comment


       • #9
        Kwann Tecno K7 inastack na inaandika error simprocessor

        Comment


        • #10
         shilling ngapi ???

         Comment


         • waku7bisha commented
          Editing a comment
          tembelea maduka ya Tecno

        • #11
         ishatoka au

         Comment


         • waku7bisha commented
          Editing a comment
          tayari ishatoka

        • #12
         Hi Tecno mnaweza nisaidia kwasimu iliyopotea au kuifatilia nimeibiwa phantom 6

         Comment


         • waku7bisha commented
          Editing a comment
          Tafadhali fika polisi katika kitengo husika ukiwa na taarifa zako kamili za simu. Wao kushirikiana na kampuni ya mtandao uliokua unatumia pindi simu inaabiwa, watakusaidia kuweza kuitrack

        • #13
         Naomba msaada

         Comment


         • waku7bisha commented
          Editing a comment
          hua ni process hectic na hua inachukua muda na gharama kidogo. Lakini ukivumilia na kukomaa nao mpaka mwisho, kitaeleweka

        • #14
         camon x iko bomba mbaya

         Comment


         • waku7bisha commented
          Editing a comment
          hataree

        • #15
         salute

         Comment

        Advanced Options
        Working...
        X
        Download the App for a More Fluid Experience
        DOWNLOAD