X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • SIMU HAIFUNGUKI Tanzania

  Simu yangu inawaka vizuri, lakini nikiingiza Nywila (Nenosiri) inajizima na kujiwasha tena huku ikihitaji nywila kwa mara nyingine, nikiingiza inajizema tena kujiwasha hali inakua hivyohivyo. Ila nikipigiwa simu naweza kupokea nakuongea na mtu alienipigia. Nini nifanye?

 • #2
  Hakikisha simu yako ipo kwenye latest version ya update. Pia back up your data na ufanye factory reset.
  Kama tatizo likiendelea, peleka simu yako katika kituo cha Carlcare kilichopo karibu yako.

  Comment

  Advanced Options
  Working...
  X
  Download the App for a More Fluid Experience
  DOWNLOAD