This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• TWENZETU KWENYE CAMON TOUR..!! Tanzania

Kampuni yetu pendwa ya TECNO kama ilivyo kawaida yao kuwathamini na kuwashukuru wapendwa watumiaji wa simu zake, inawaletea safari kabambe kabisa ya Camon Tour.
Kama tunavyojua simu za Camon ni simu zinazofanya vizuri sana katika sekta ya picha kwa kuchukua kumbukumbu kwa uzuri kabisa, basi TECNO inakupa nafasi ya kusafiri nao kwenye Camon Tour ili uweze kutengeneza kumbukumbu nyingine kali zaidi.
Click image for larger version

Name:	IMG-20180731-WA0017.jpg
Views:	1
Size:	109.6 KB
ID:	17213
Unachotakiwa kufanya:
1. Post picha yako kwenye Instagram kwa kutumia hashtag ya #Camonmemory
2. Watag marafiki zako ambao ungependa kwenda nao kwenye Tour
3. Share kwenye account zako za mitandao ya kijamii.
4. Tumia hashtag ya #Camonmemory pia uwatag @ tecnomobiletanzania kwenye IG na @ TECNO Mobile Tanzania kwenye FB.
Watu ambao watakua na picha nzuri watachaguliwa na kujumuika pamoja na TECNO katika safari hiyo ya Camon Tour.

Shindano litakua kuanzia tarehe 01/08/2018 mpaka tarehe 08/08/2018, na mnamo tarehe 11/08/2018 ndio itakayokua siku yenyewe ya Camon Tour

Vigezo na Masharti:
• Ili kushiriki ni lazima uwe raia wa Tanzania
• TECNO MOBILE Tanzania ina haki ya kuchagua washindi.
• Wafanyakazi wa TECNO MOBILE hawaruhusiwi kushiriki.
Last edited by waku7bisha; 08-04-2018, 06:06 PM.

• #2
nivizuri mngeelekeza na mamba ya kuiweka picha pamoja na zamarafiki. mtoe mifano kwani wengine humu ni wageni

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali tupe namba yako ya simu tuweze kukupa maelezo zaidi

• #3
oh ✌
Originally posted by waku7bisha
Kampuni yetu pendwa ya TECNO kama ilivyo kawaida yao kuwathamini na kuwashukuru wapendwa watumiaji wa simu zake, inawaletea safari kabambe kabisa ya Camon Tour.

Kama tunavyojua simu za Camon ni simu zinazofanya vizuri sana katika sekta ya picha kwa kuchukua kumbukumbu kwa uzuri kabisa, basi TECNO inakupa nafasi ya kusafiri nao kwenye Camon Tour ili uweze kutengeneza kumbukumbu nyingine kali zaidi.
[ATTACH=CONFIG]n222833[/ATTACH]

Unachotakiwa kufanya:
1.

2. Post picha yako kwenye Instagram kwa kutumia hashtag ya #Camonmemory

3. Watag marafiki zako ambao ungependa kwenda nao kwenye Tour

4. Share kwenye account zako za mitandao ya kijamii.

5. Tumia hashtag ya #Camonmemory pia uwatag @ tecnomobiletanzania kwenye IG na @ TECNO Mobile Tanzania kwenye FB.

Watu ambao watakua na picha nzuri watachaguliwa na kujumuika pamoja na TECNO katika safari hiyo ya Camon Tour.

Shindano litakua kuanzia tarehe 01/08/2018 mpaka tarehe 08/08/2018, na mnamo tarehe 11/08/2018 ndio itakayokua siku yenyewe ya Camon Tour

Vigezo na Masharti:

• Ili kushiriki ni lazima uwe raia wa Tanzania

• TECNO MOBILE Tanzania ina haki ya kuchagua washindi.

• Wafanyakazi wa TECNO MOBILE hawaruhusiwi kushiriki.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Yeah.. Karibu tujumuike kwenye safari

• #4
moto sanaaaa

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Umeikosa hii mzee baba!

• #5
noma sana

Comment

• #6
wow

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD