This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• [KWA UFUPI] YALIYOJIRI CAMON TOUR Tanzania

Habari ndugu wadau wa TECNO Spot!

Kama tunavyojua kua wiki iliyopita kulikua kuna shindano la kutafuta wadau wa kujumuika na TECNO Mobile Tanzania kwenda kwenye Camon Tour.
Basi si habari tena, sababu siku ya Jumamosi ya tarehe 11/08/2018 ndio ilikua siku ya Safari yenyewe.

Basi bila kupoteza muda, mimi nipo hapa kukuonesha tu kwa ufupi yaliyojiri siku hiyo katika picha.

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_102836.jpg
Views:	1
Size:	293.9 KB
ID:	17530 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_105840_2.jpg
Views:	1
Size:	994.6 KB
ID:	17532 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_112702.jpg
Views:	1
Size:	1,017.5 KB
ID:	17533

Safari ilianzia Makumbusho, pale ndipo wadau wote tulikutana. Gari lilipofika bila kuchelewa tukazama ndani na TECNO wao bila kuchelewa wakaanza kutuburudisha na Kifungua kinywa kimoja matata sana!

Wakati safari inaendelea kuitafuta Bagamoyo, stori za hapa na pale ziliendelea ndani ya gari, wadau walifurahi kujuana, kujumuika pamoja, kucheza muziki na kufurahi pamoja.

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_123602_0.jpg
Views:	1
Size:	1.77 MB
ID:	17534 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_125314.jpg
Views:	1
Size:	1.41 MB
ID:	17535 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_130143_1.jpg
Views:	1
Size:	1.04 MB
ID:	17536
Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_131225.jpg
Views:	1
Size:	666.7 KB
ID:	17537

Punde tu baada ya kufika Bagamoyo, tulienda kuzuru Kaole. Wadau walipata nafasi ya kutembelea makaburi ya wazawa wa zamani, makumbusho ya Kaole, Mbuyu uliokaa karne nyingi, kisima chenye maji yasiokauka na Bandari ya karne za zamani huko!

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_131804.jpg
Views:	1
Size:	1.75 MB
ID:	17538 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_133006_8.jpg
Views:	1
Size:	1.39 MB
ID:	17539 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_133021_6.jpg
Views:	1
Size:	1.52 MB
ID:	17540

Baada ya kumaliza kuzuru Kaole, tulisogea pale 'Kaole Snake Park' ambapo tuliweza kuona Nyoka, kobe, ndege na viumbe wengine mbalimbali.
Wadau pia walipata nafasi ya kupanda Ngamia na kupiga naye picha.

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_135839.jpg
Views:	1
Size:	1.15 MB
ID:	17542 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_140255_8.jpg
Views:	1
Size:	1.65 MB
ID:	17543 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_143658_2.jpg
Views:	1
Size:	1.94 MB
ID:	17544 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_144858.jpg
Views:	1
Size:	1.68 MB
ID:	17545 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_145150_9.jpg
Views:	1
Size:	1.08 MB
ID:	17546 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_150238.jpg
Views:	1
Size:	720.5 KB
ID:	17547 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_150256.jpg
Views:	1
Size:	702.4 KB
ID:	17548 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_150722_9.jpg
Views:	1
Size:	1.60 MB
ID:	17549 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_140617_8.jpg
Views:	1
Size:	902.6 KB
ID:	17550

Pia tulienda kuzuru sehemu wanapogufa Mamba. Wadau waliweza kuona mamba wanaoanzia umri wa miezi miwili mpaka wa miaka Zaidi ya mia.
Tulipata pia nafasi ya kuangalia na kununua baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wakazi wa kule bagamoyo.

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_153109.jpg
Views:	1
Size:	1.01 MB
ID:	17551 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_153024.jpg
Views:	1
Size:	1.33 MB
ID:	17552 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_155958_4.jpg
Views:	1
Size:	939.7 KB
ID:	17553

Baada ya kuzunguka zunguka sana kuzuru katika mji wa bagamoyo, wadau walipata nafasi ya kwenda kwenye hoteli nzuri na kuweza kupata msosi murua kabisa. Kisha michezo mbalimbali ikiendelea na wengine wakaenda kuburudika kuogelea.

Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_171511.jpg
Views:	1
Size:	849.2 KB
ID:	17554 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_171519.jpg
Views:	1
Size:	804.3 KB
ID:	17555 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_172031.jpg
Views:	1
Size:	938.2 KB
ID:	17556 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_174651_5.jpg
Views:	4
Size:	1.14 MB
ID:	17557 Click image for larger version

Name:	IMG_20180811_192711_5.jpg
Views:	2
Size:	1.15 MB
ID:	17558
Attached Files

• #2
kizazi sana...Tecno moto sana

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Ulikua wapi bob?!

• #3
:0x1f494:
Originally posted by waku7bisha
Habari ndugu wadau wa TECNO Spot!

Kama tunavyojua kua wiki iliyopita kulikua kuna shindano la kutafuta wadau wa kujumuika na TECNO Mobile Tanzania kwenda kwenye Camon Tour.

Basi si habari tena, sababu siku ya Jumamosi ya tarehe 11/08/2018 ndio ilikua siku ya Safari yenyewe.

Basi bila kupoteza muda, mimi nipo hapa kukuonesha tu kwa ufupi yaliyojiri siku hiyo katika picha.

[ATTACH=CONFIG]n226653[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226654[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226655[/ATTACH]

Safari ilianzia Makumbusho, pale ndipo wadau wote tulikutana. Gari lilipofika bila kuchelewa tukazama ndani na TECNO wao bila kuchelewa wakaanza kutuburudisha na Kifungua kinywa kimoja matata sana!

Wakati safari inaendelea kuitafuta Bagamoyo, stori za hapa na pale ziliendelea ndani ya gari, wadau walifurahi kujuana, kujumuika pamoja, kucheza muziki na kufurahi pamoja.

[ATTACH=CONFIG]n226656[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226657[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226658[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226659[/ATTACH]

Punde tu baada ya kufika Bagamoyo, tulienda kuzuru Kaole. Wadau walipata nafasi ya kutembelea makaburi ya wazawa wa zamani, makumbusho ya Kaole, Mbuyu uliokaa karne nyingi, kisima chenye maji yasiokauka na Bandari ya karne za zamani huko!

[ATTACH=CONFIG]n226660[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226661[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226662[/ATTACH]

Baada ya kumaliza kuzuru Kaole, tulisogea pale 'Kaole Snake Park' ambapo tuliweza kuona Nyoka, kobe, ndege na viumbe wengine mbalimbali.

Wadau pia walipata nafasi ya kupanda Ngamia na kupiga naye picha.

[ATTACH=CONFIG]n226663[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226664[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226665[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226666[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226667[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226668[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226669[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226670[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226671[/ATTACH]

Pia tulienda kuzuru sehemu wanapogufa Mamba. Wadau waliweza kuona mamba wanaoanzia umri wa miezi miwili mpaka wa miaka Zaidi ya mia.

Tulipata pia nafasi ya kuangalia na kununua baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wakazi wa kule bagamoyo.

[ATTACH=CONFIG]n226672[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226673[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226674[/ATTACH]

Baada ya kuzunguka zunguka sana kuzuru katika mji wa bagamoyo, wadau walipata nafasi ya kwenda kwenye hoteli nzuri na kuweza kupata msosi murua kabisa. Kisha michezo mbalimbali ikiendelea na wengine wakaenda kuburudika kuogelea.

[ATTACH=CONFIG]n226675[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226676[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226677[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226681[/ATTACH] [ATTACH=CONFIG]n226683[/ATTACH]

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD