This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO kukabidhi Pikipiki kwa mshindi wa CAMON KAMA ZOTE Tanzania

  TECNO kukabidhi pikipiki kwa mshindi wa CAMON KAMA ZOTE

  Zikiwa zimesalia siku mbili mshindi wa pikipiki kwa msimu wa kwanza wa shindano la CAMON KAMA ZOTE kupatikana, kampuni ya simu ya TECNO inakukumbusha kutembelea maduka ya kampuni hiyo ili kuweza kujitengenezea nafasi ya kujinyakulia zawadi hiyo.
  Click image for larger version

Name:	1.jpg
Views:	1
Size:	122.7 KB
ID:	18091  Ukitembelea maduka ya TECNO yaliyopo jijini Mbeya, Arusha, Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam na kununua simu yoyote ya TECNO CAMON (camon x pro, camon x, camon cm, camon cx) unajitengenezea nafasi ya kushinda pikipiki kwa msimu wa kwanza wa shindano la CAMON KAMA ZOTE.

  Jinsi ya kushiriki, nunua simu yoyote ya toleo la CAMON ukiwa na kitambulisho chako cha kura, cha taifa au pasipoti ya kusafiria, namba ya simu, imei ya simu uliyonunua kwa wakati huo na jina lako ndio vigezo vinavyotumika kuingia katika shindano la CAMON KAMA ZOTE.

  Baada ya hayo yote utapatiwa zawadi ya papo kwa papo kama 'powerbank', 'square minispeaker' na zawadi nyingine.

  Septemba 15 bahati nasibu itachezeshwa na mshindi kupigiwa simu na kufikishiwa pikipiki hadi nyumbani kwake
  Click image for larger version

Name:	2.jpg
Views:	1
Size:	38.0 KB
ID:	18092

  Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-14-2018, 05:43 PM.

 • #2
  hii

  Comment


  • #3
   Mimi Nina tatizo simu yangu L8 plus fundi kanambia machine inasumbua ,nitapata wapi machine mpya?

   Comment


   • TECNO SPOT TZ commented
    Editing a comment
    Habari, pole sana kwa tatizo lako.
    Tafadhali fika kwenye ofisi zetu za Carlcare zilizopo karibu nawe ili uweze kutatuliwa tatizo lako.
    Upo maeneo gani ndugu?

  • #4
   vizr sanaa

   Comment


   • #5
    TECNO, I have been your customer since long..... why Moshi is not in your list, this isn't fair!!

    Comment


    • #6
     safi

     Comment


     • #7
      Habari zenu, Et Simu iliyo ingia maji inatengeneka na vp inaweza kuwa ni shiling ngapi?

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       Habari. Pole sana kwa tatizo lako.
       Tafadhali tembelea ofisi zetu uwakilishe tatizo lako lipate kutatuliwa.
       Upo wapi ndugu?

     • #8
      Originally posted by Edna anthony
      Mimi Nina tatizo simu yangu L8 plus fundi kanambia machine inasumbua ,nitapata wapi machine mpya?
      <br />
      <br />
      mashine gani sasa mbona hatoi ufafanuz

      Comment


      • #9
       mpango mzima

       Comment


       • #10
        interested

        Comment


        • #11
         This is very nice

         Comment

         Advanced Options
         Working...
         X
         Download the App for a More Fluid Experience
         DOWNLOAD