This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• BI TROPHONIA AIBUKA MSHINDI WA PIKIPIKI KUTOKA TECNO Tanzania

Ikiwa ni wiki mbili sasa tangu kuanza kwa shindano la CAMON KAMA ZOTE Kampuni ya simu ya TECNO ilimtaja Bi Trophonia kuwa mshindi wa pikipiki wa shindano hilo la CAMON KAMA ZOTE katika msimu huu wa kwanza kupitia Lucky draw iliyofanyika katika duka la simu la TECNO lililopo Mlimani City.

Zoezi hilo zima lilirushwa live kupitia kurasa zao za Facebook na Instagram
, ikiwa imejumuisha maduka yote yenye promotion jijini Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Arusha, Mbeya na Dodoma.
Click image for larger version

Name:	a1.jpg
Views:	1
Size:	108.5 KB
ID:	18152

Mshereheshaji wa hafla hiyo ambaye ni Ofisa wa digital TECNO, Bi Salma Shafii, katika hafla hiyo alimkaribisha msanii maarufu wa comedy DullVani kuchezesha lucky draw.

Baada ya kumalizika kwa burudani kutoka kwa msanii huyo, Afisa Masoko wa Kampuni ya simu ya TECNO Bwana Moses Mtweve, alimtangaza Bi Trophonia kuwa mshindi na kuahidiwa kupelekewa pikipiki hiyo hadi anapoishi
Click image for larger version

Name:	a2.jpg
Views:	1
Size:	127.0 KB
ID:	18153

Lakini pia haikuishia hapo washindi wengine waliopatikana kupitia kipengele cha maswali na majibu ambao ni Agyprecious Emanuel, Kitongo Nuru, Cluzy Eyes na Ally Famadi ambao wote kwa pamoja walijishindia stand ya simu, mpira wa TECNO, T-shirt ya TECNO na chupa.

TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kufika kwenye maduka yake na kununua simu za TECNO CAMON Series ili kuingia katika droo ya pili ya pikipiki na zawadi nyingine kemkem.
Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-18-2018, 05:26 PM.

• #2
je sisi tulienunua cammon mda mrefu tunashirikije??

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Inabidi ununue hayo matoleo ya Camon katika kipindi hiki cha shindano.

• #3
nice sana, moja Kat ya fursa nzur

Comment

• #4
سلام

Comment

• #5
nzuri sana. hii. tupeni maelekezo na njia ya kushiriki

Comment

• #6
lMAXIMUM*8%[QU??OTE=waku7bisha;239595][LEFT]m[F8ONT=comic sans ms]Ikiwa ni wiki mbili sasa tangu kuanza kwa shindano la CAMON KAMA ZOTE Kampuni ya simu ya TECNO ilimtaja Bi Trophonia kuwa mshindi wa pikipiki wa shindano hilo la CAMON KAMA ZOTE katika msimu huu wa kwanza kupitia Lucky draw iliyofanyika katika duka la simu la TECNO lililopo Mlimani City.

;Zoezi hilo zima lilirushwa live kupitia kurasa zao za Facebook na Instagram
[/FONT]
, ikiwa imejumuisha maduka yote yenye promotion jijini Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Arusha, Mbeya na Dodoma.

[ATTACH=CONFIG]n239596[/ATTACH]

x+dm

[LEFlT??]qMshereheshaji wa hafla hiyo ambaye ni Ofisa wa digital TECNO, Bi Salma Shafii, katika hafla hiyo alimkaribisha msanii maarufu wa comedy DullVani kuchezesha lucky draw.

Baada ya kumalizika kwa burudani kutoka kwa msanii huyo, Afisa Masoko wa Kampuni ya simu ya TECNO Bwana Moses Mtweve, alimtangaza Bi Trophonia kuwa mshindi na kuahidiwa kupelekewa pikipiki hiyo hadi anapoishi

[ATTACH=CONFIG]n239597[/ATTACH]

[FONT=&amp]Lakini pia haikuishia hapo washindi wengilandnhe waliopatikana kupitia kipengele cha maswali na maji,bu ambao ni Agprecious Emanuel, Kitongo Nuru, Cluzy Eyes na Ally Famadi ambao yeewote kwa pamoja walijishindia stand ya simu3, mpira wa TECNO, T-shirt ya TECNO na chupa.[/?FONT],o

[B][/qB]b

LEFT]dTECNO inaendelea kuwakumbush4a waqteja wake kufika kwenye maduka yake na kununua simu za TECNO CAMON Series ili kuingia katika droo ya pili mm gya pikipiki na zawadi ?nyingine kemkem.[/LahEFT]

7 2

[QUOTES/QUOTE]2I 'm

Comment

• #7
Originally posted by waku7bisha
Ikiwa ni wiki mbili sasa tangu kuanza kwa shindano la CAMON KAMA ZOTE Kampuni ya simu ya TECNO ilimtaja Bi Trophonia kuwa mshindi wa pikipiki wa shindano hilo la CAMON KAMA ZOTE katika msimu huu wa kwanza kupitia Lucky draw iliyofanyika katika duka la simu la TECNO lililopo Mlimani City.

Zoezi hilo zima lilirushwa live kupitia kurasa zao za Facebook na Instagram
, ikiwa imejumuisha maduka yote yenye promotion jijini Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Arusha, Mbeya na Dodoma.

[ATTACH=CONFIG]n239596[/ATTACH]

Mshereheshaji wa hafla hiyo ambaye ni Ofisa wa digital TECNO, Bi Salma Shafii, katika hafla hiyo alimkaribisha msanii maarufu wa comedy DullVani kuchezesha lucky draw.

Baada ya kumalizika kwa burudani kutoka kwa msanii huyo, Afisa Masoko wa Kampuni ya simu ya TECNO Bwana Moses Mtweve, alimtangaza Bi Trophonia kuwa mshindi na kuahidiwa kupelekewa pikipiki hiyo hadi anapoishi

[ATTACH=CONFIG]n239597[/ATTACH]

Lakini pia haikuishia hapo washindi wengine waliopatikana kupitia kipengele cha maswali na majibu ambao ni Agyprecious Emanuel, Kitongo Nuru, Cluzy Eyes na Ally Famadi ambao wote kwa pamoja walijishindia stand ya simu, mpira wa TECNO, T-shirt ya TECNO na chupa.

TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kufika kwenye maduka yake na kununua simu za TECNO CAMON Series ili kuingia katika droo ya pili ya pikipiki na zawadi nyingine kemkem.

Comment

• #8
yoooo! good

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD