This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #91
  Sawaa

  Comment


  • #92
   jamaniii simu yngu haitaki kupiga picha inanisumbua sna techno k9

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Inakuletea ujumbe gani?

  • #93
   Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190108_104400.jpg
Views:	1
Size:	62.8 KB
ID:	20538
   Originally posted by waku7bisha
   [ATTACH=CONFIG]n276739[/ATTACH]

   Ikiwa zimebaki siku chache kuufunga mwaka 2018, wadau wa kampuni ya simu ya TECNO wapo tayari kutegemea makubwa zaidi kuhusiana na ujio wa camon 11. Camon 11 inasemekana kuja na ofa itakayowasaidia wateja wa camon kubadilisha camon za awali na kupatiwa camon 11 mpya na Endapo uvumi huu utakuwa na ukwel wowote basi hii itakuwa ni simu ya kwanza ya TECNO kuja na ofa ya kipee.

   Na ukiachilia kwamba matoleo ya camon yanasifika zaidi katika upigaji picha kali, lakini pia inasemekana huenda camon 11 ikawa sio simu ya kuiangalia mara moja ukaridhika na hii ni kutokana na tetesi za wadau kwamba, camon 11 inawezekana ikawa na umbo pana na jembamba lenye kung’aa mithili ya maji yamulikwayo na jua kali.

   Pia huenda camon 11 ikawa na kioo cha nchi 6.2HD+ au zaidi na teknolojia ya notch.

   Zaidi ya yote hayo kuhusiana na sifa za simu hiyo tetesi kubwa zaidi ni hii ya ofa ya kubadilisha simu za camon, inasemekana TECNO itawabadilishia simu wateja wote wanao miliki camon 11 na kuwapa camon 11 mpya. lakini pia simu zinazodhaniwa kubadilishwa kwa camon 11 ni camon cx, camon cm, camon x, camon xpro.

   Comment


   • #94
    uuuumh sasa mbona hawatuambii ni lini na ni wapi?

    Comment


    • #95
     fafanuwenu basi muache kuhangaisha wateja mutupe majibu kamili kuwa ni wapi na ni lini

     Comment


     • #96
      hyo sehem ya kubadilisha ni wapi?

      Comment

      Advanced Options
      Working...
      X
      Download the App for a More Fluid Experience
      DOWNLOAD