This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #16
masharti ni taping na ni lini na wapi?

twasubiri hasa Kama mimi natembea na charger na boxi.

uliwahi hata sasa hivi napanda matatu...

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tayari zoezi limeshaanza

• #17
this exchange of camon for camon 11 is long awaited. looking forward to a new experience.even if it's adding money I'm ready

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
visit our smarthub today

• #18
Ho there

you just gotta phone like mine

how your techno experience

Originally posted by Nanka
vyema

Comment

• #19
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20181205_185709.jpg
Views:	1
Size:	97.3 KB
ID:	19860
Originally posted by Nanka
vyema

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Nice shot

• #20
[QUOTE=teddyjay;277398][ATTACH=CONFIG]n277399[/ATTACH]

Originally posted by Nanka
vyema
[/QUOTE

nabadilishiwa bure]

Comment

• #21
nabadilishiwa bure au napesa

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
fika katika smarthub zetu sasa kwani zoezi limeshaanza

• #22
kama kweli bc poa tunaisubir camon 11

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
zoezi limeshaanza tayari..fika katika smarthub zetu sasa

• #23
kwa mikoani mtafika au linakaaje hli

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
zoezi hili ni kwa mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma na Tabora

• #24
itakua vizuri

Comment

• #25
ko zoezi lina anza lini

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
zoezi limeshaanza tayari

• #26
Lvl

Comment

• #27
Originally posted by waku7bisha
[ATTACH=CONFIG]n276739[/ATTACH]

Ikiwa zimebaki siku chache kuufunga mwaka 2018, wadau wa kampuni ya simu ya TECNO wapo tayari kutegemea makubwa zaidi kuhusiana na ujio wa camon 11. Camon 11 inasemekana kuja na ofa itakayowasaidia wateja wa camon kubadilisha camon za awali na kupatiwa camon 11 mpya na Endapo uvumi huu utakuwa na ukwel wowote basi hii itakuwa ni simu ya kwanza ya TECNO kuja na ofa ya kipee.

Na ukiachilia kwamba matoleo ya camon yanasifika zaidi katika upigaji picha kali, lakini pia inasemekana huenda camon 11 ikawa sio simu ya kuiangalia mara moja ukaridhika na hii ni kutokana na tetesi za wadau kwamba, camon 11 inawezekana ikawa na umbo pana na jembamba lenye kung’aa mithili ya maji yamulikwayo na jua kali.

Pia huenda camon 11 ikawa na kioo cha nchi 6.2HD+ au zaidi na teknolojia ya notch.

Zaidi ya yote hayo kuhusiana na sifa za simu hiyo tetesi kubwa zaidi ni hii ya ofa ya kubadilisha simu za camon, inasemekana TECNO itawabadilishia simu eaten a wote wanao miliki camon 11 na kuwapa camon 11 mpya. lakini pia simu zinazodhaniwa kubadilishwa kwa camon 11 ni camon cx, camon cm, camon x, camon xpro.

/storage/emulated/0/Pictures/temp/TSIMG_20181207_082543.jog:0x1f493::0x1f493::0x1f494::0x1f495::0x1f498::0x1f601::0x1f602::0x1f603::0x1f604:

:0x1f605::0x1f606::0x1f607::0x1f608:

Comment

• #28
Originally posted by vanessadaniel
nabadilishiwa bure au napesa
unaongeza n kiac ch pesa

Comment

• #29
Originally posted by kipesha
ko zoezi lina anza lini
nimeona sehem kwmb imeanz tarh 1 mpk 30 na wametoa orodha ya mikoa yeny iyo kitu

Comment

• #30
jamani hii ni kweli?

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD