This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #91
Sawaa

Comment

• #92
jamaniii simu yngu haitaki kupiga picha inanisumbua sna techno k9

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Inakuletea ujumbe gani?

• #93
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190108_104400.jpg
Views:	1
Size:	62.8 KB
ID:	20538
Originally posted by waku7bisha
[ATTACH=CONFIG]n276739[/ATTACH]

Ikiwa zimebaki siku chache kuufunga mwaka 2018, wadau wa kampuni ya simu ya TECNO wapo tayari kutegemea makubwa zaidi kuhusiana na ujio wa camon 11. Camon 11 inasemekana kuja na ofa itakayowasaidia wateja wa camon kubadilisha camon za awali na kupatiwa camon 11 mpya na Endapo uvumi huu utakuwa na ukwel wowote basi hii itakuwa ni simu ya kwanza ya TECNO kuja na ofa ya kipee.

Na ukiachilia kwamba matoleo ya camon yanasifika zaidi katika upigaji picha kali, lakini pia inasemekana huenda camon 11 ikawa sio simu ya kuiangalia mara moja ukaridhika na hii ni kutokana na tetesi za wadau kwamba, camon 11 inawezekana ikawa na umbo pana na jembamba lenye kung’aa mithili ya maji yamulikwayo na jua kali.

Pia huenda camon 11 ikawa na kioo cha nchi 6.2HD+ au zaidi na teknolojia ya notch.

Zaidi ya yote hayo kuhusiana na sifa za simu hiyo tetesi kubwa zaidi ni hii ya ofa ya kubadilisha simu za camon, inasemekana TECNO itawabadilishia simu wateja wote wanao miliki camon 11 na kuwapa camon 11 mpya. lakini pia simu zinazodhaniwa kubadilishwa kwa camon 11 ni camon cx, camon cm, camon x, camon xpro.

Comment

• #94
uuuumh sasa mbona hawatuambii ni lini na ni wapi?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari.
Hiyo huduma ilishakwisha muda wake.
Asante.

• #95
fafanuwenu basi muache kuhangaisha wateja mutupe majibu kamili kuwa ni wapi na ni lini

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari ndugu.
Hiyo huduma ilishakwisha muda wake.
Asante.

• #96
hyo sehem ya kubadilisha ni wapi?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari boss.
Hiyo huduma ilishakwisha muda wake.
Asante.

• #97
tatizo la teco nimoja simu mnauza nyinyi lakini simu ikihalibika ukihitaji spea unakuta bei inakua kubwa hata betrii ukinunua kwenye maduka ya kawaida bei ikochini kwa nini kwenu bei ikojuu na simu nizakwenuu? iweje maduka yakawaida bei iwe rahisi

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari.
Simu yako ikiharibika au ikipata tatizo lolote Tafadhali ipeleke kwenye kituo chetu maalum cha matengenezo cha Carlcare.
Fungua app ya Carlcare / Service kwenye simu yako kuweza kupata mawasiliano ya vituo vya matengenezo vilivyopo karibu yako.
Asante.

• #98
hy i think the TECNO CAMON 11 is out already so it that offer for real because we are wating for that offer lke so much

Comment

• #99
Namna yakutumia camera mbili za nyumba zinatumikaje naomba kujuwa.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
inatumika kupiga picha aina ya bokeh

• nina CM yangu Tecno CA8 camon x pro but sijaielewa hadi sasa, ndio battery life yake ni siku moja,

lakini tatizo lake ni camera zake zinapungua ubora wa picha

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
charge ya battery ya simu yako itadumu kulingana na matumizi yako. Lakini ni kawaida simu yako kukaa na charge kwa siku moja.

• naombeni msaada,

pili CM imeingia vumbi kwa camera na CM yangu muda mwingi ipo kwa mfuko wa suruali,

napatkana Dodoma university

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
fika katika ofisi za carlcare

• [QUOTE=LeonardT;281817]
Originally posted by 744542715
Originally posted by ashrafukaimu
naomba kuuliza tecno camon 11 pro ni shiling ngap?

ni laki 3.8 hadi 4 ila cha kushangaza ukienda na camon x kubadilisha wanakuambia kwamba uongeze laki tatu na nusu kwa kweli kwa hili tecno nimewaona ni matapeli sana sijui ata kama kuna lolote wanaweza kujitetea

KAMA NDIYO BIASHARA YA KUONGEZA PESA KWELI HAPO NI UTAPELI TU HUO.

UNAPOMWAMBIA MTU "nakubadirishia simu uliyonayo nakupa mpya" HAINA MAANA ZAIDI YA KUBADILISHA IKIWA NI KUTOA PESA TENA BASI HIYO SIYO TRADE WALIY

me nilinunua camon x pro kwa laki 5

ilikuwa na siku arobaini na tisa tu

nikwapigia kuuliza kama naweza badirisha kwa kiasi gani

nikaambiwa nitume CM dar then nitume laki mbili na nusu ndipo ntabadilishiwa

ko total amount yake ni sawa na laki saba na nusu

wakati now zinapatikana kwa laki sita

Comment

• mmmmh hii itakuwa powa sana watu wa tecno kama ni kweli lakini

Comment

• Nina tecno camon X bado mpya naweza badilishana na camon 11

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
zoezi lilishaisha

• Nataka Kubadilisha Nafanyaje

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Kwa sasa zoezi lilishaisha
Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD