This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• WATUMIAJI WA TECNO CAMON KUPEWA NAFASI YA KUBADILISHA SIMU ZA CAMON KWA TECNO CAMON 11 MPYA Tanzania

Click image for larger version

Name:	Aisha-750x375.jpg
Views:	1
Size:	36.7 KB
ID:	19831

Ikiwa zimebaki siku chache kuufunga mwaka 2018, wadau wa kampuni ya simu ya TECNO wapo tayari kutegemea makubwa zaidi kuhusiana na ujio wa camon 11. Camon 11 inasemekana kuja na ofa itakayowasaidia wateja wa camon kubadilisha camon za awali na kupatiwa camon 11 mpya na Endapo uvumi huu utakuwa na ukwel wowote basi hii itakuwa ni simu ya kwanza ya TECNO kuja na ofa ya kipee.

Na ukiachilia kwamba matoleo ya camon yanasifika zaidi katika upigaji picha kali, lakini pia inasemekana huenda camon 11 ikawa sio simu ya kuiangalia mara moja ukaridhika na hii ni kutokana na tetesi za wadau kwamba, camon 11 inawezekana ikawa na umbo pana na jembamba lenye kung’aa mithili ya maji yamulikwayo na jua kali.
Pia huenda camon 11 ikawa na kioo cha nchi 6.2HD+ au zaidi na teknolojia ya notch.

Zaidi ya yote hayo kuhusiana na sifa za simu hiyo tetesi kubwa zaidi ni hii ya ofa ya kubadilisha simu za camon, inasemekana TECNO itawabadilishia simu wateja wote wanao miliki camon 11 na kuwapa camon 11 mpya. lakini pia simu zinazodhaniwa kubadilishwa kwa camon 11 ni camon cx, camon cm, camon x, camon xpro.
Last edited by TECNO SPOT TZ; 02-11-2019, 04:29 PM.

• #2
vyema

Comment

• #3
TZ TEcno mbovu.

Comment

• #4
mbona cim za TECNO w3 zina xpaya???

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali elezea vizuri tatizo lako ili tuweze kukusaidia.. unamaanisha nini?

• #5
Originally posted by mbisembise
mbona cim za TECNO w3 zina xpaya???

zina xpaya kivipi?

Comment

• 656288258 commented
Editing a comment
Hi VP jakuelewa

• #6
vip w3 na sisi tubadilishiwe

Comment

• #7
Ila lazima na hela juu

Comment

• #8
unabadilisha vipi?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
fika katika smarthub zetu sasa

• huzeifa619 commented
Editing a comment
unabadilisha kwa pesa u bure tu

• #9
Nasubiri kuona hiyo type mpya

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
fika katika smarthub zetu

• #10
itakua poa zaidi

Comment

• #11
when is this going to happen

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
It is happening now

• #12
Lini tutajua km kweli kuna kubadilisha au si kweli

Na kubadilisha huko kutakua na mashart gani, ikiwa tyr umefauli shart 1 la kua na hio Cm ya Camon either cx to x pro...

na wap utatakiwa kubadilisha

Comment

• #13
lini watafanya hivyo?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
imeshaanza tayari

• #14
hii itafanywa lini

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tayari inafanywa sasahivi

• #15
Utaongeza na pesa kidogo

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD