X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• Magwiji Wawili, Uwanja mmoja. TECNO Camon CX vs Apple iPhone 7.. Tanzania

• Camon Cx ni toleo jipya kutoka TECNO Mobile Tanzania ambayo iliachiwa mwezi wa tatu mwaka huu kule Nairob, Kenya. Ni moja wapo ya toleo kutoka matoleo la "CAMON" series na pia inasemekana ni simu iliyozidi ubora simu nyingine zilizotolewa awali kwenye matoleo ya C series. iPhone 7 pia ni simu moja wapo ambazo imeweza kujibebea jina na umaarufu kwa muda mrefu.

Tukitizama kwa muoneka wa hizi simu mbili, TECNO na iPhone 7, zote zinamuonekano wenye kuvutia, kwani maumbo ya simu hizi mbili ni nyembama, japo #CamonCx imeizidi iPhone kwenye vitu au kitu muhimu sana, ukilinganish ana matumizi makuu ya simu katika karne hii ya matumizi makubw aya mitndao ya kijamii.

Tuangalie ni kwa jinsi gani #CamonCX imempiku #iPhone japo haina muda mrefu tangia imeachiliwa!
• Tecno Camon Cx Apple iPhone 7
Metal unibody
Front camera 16Mp dual flash light
Back Camera 16 Mp quad LED ring Flash
Battery capacity 3200 mAh
Pixel density 401
Resolution 1920 (1080) FHD
screen size 5.5'
Metal Unibody
7Mp
12 Mp flash light
1960 mAh
326
1334 (750)
4.7'
Click image for larger version

Name:	top n top.png
Views:	1
Size:	98.0 KB
ID:	7907

Click image for larger version

Name:	double 22.png
Views:	1
Size:	248.0 KB
ID:	7908

Click image for larger version

Name:	duos.png
Views:	1
Size:	215.9 KB
ID:	7909  Karibu kutoa mtazamo wako, je TECNO CAMON CX imeza kumpiku mkongwe Apple iPhone 7?

• #2
haha
Originally posted by ms.vee

• Camon Cx ni toleo jipya kutoka TECNO Mobile Tanzania ambayo iliachiwa mwezi wa tatu mwaka huu kule Nairob, Kenya. Ni moja wapo ya toleo kutoka matoleo la "CAMON" series na pia inasemekana ni simu iliyozidi ubora simu nyingine zilizotolewa awali kwenye matoleo ya C series. iPhone 7 pia ni simu moja wapo ambazo imeweza kujibebea jina na umaarufu kwa muda mrefu.

[ATTACH=CONFIG]temp_7898_1494845719291_77[/ATTACH]

Tukitizama kwa muoneka wa hizi simu mbili, TECNO na iPhone 7, zote zinamuonekano wenye kuvutia, kwani maumbo ya simu hizi mbili ni nyembama, japo #CamonCx imeizidi iPhone kwenye vitu au kitu muhimu sana, ukilinganish ana matumizi makuu ya simu katika karne hii ya matumizi makubw aya mitndao ya kijamii.

Tuangalie ni kwa jinsi gani #CamonCX imempiku #iPhone japo haina muda mrefu tangia imeachiliwa!

• Tecno Camon Cx Apple iPhone 7
Metal unibody

Front camera 16Mp dual flash light

Back Camera 16 Mp quad LED ring Flash

Battery capacity 3200 mAh

Pixel density 401

Resolution 1920 (1080) FHD

screen size 5.5'
Metal Unibody

7Mp

12 Mp flash light

1960 mAh

326

1334 (750)

4.7'

[ATTACH=CONFIG]n106401[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106402[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106403[/ATTACH]

Karibu kutoa mtazamo wako, je TECNO CAMON CX imeza kumpiku mkongwe Apple iPhone 7?

Comment

• #3
good

Comment

• Isaq commented
Editing a comment
Stop joking

• Isaq commented
Editing a comment
Joke

• #4
Ni kweli Tecno CamonCX Imempiku Iphone7 , Kiukweli hii simu ya CAMONCX ni smartphone nzuri sana tena kupita kiasi kwani ina Fingerprint , Ram 2GB , Camera ni Full HD 16 Mega Pixels , Nyembamba na inabebeka vizuri ... CamonCX is the best of the Town!!! ( Nitafurahi sana Endapo nitaimiliki hii simu ) maana itakuwa ni mwendo wa Selfiekamili ... QUOTE=ms.vee;n106400]
• Camon Cx ni toleo jipya kutoka TECNO Mobile Tanzania ambayo iliachiwa mwezi wa tatu mwaka huu kule Nairob, Kenya. Ni moja wapo ya toleo kutoka matoleo la "CAMON" series na pia inasemekana ni simu iliyozidi ubora simu nyingine zilizotolewa awali kwenye matoleo ya C series. iPhone 7 pia ni simu moja wapo ambazo imeweza kujibebea jina na umaarufu kwa muda mrefu.

Tukitizama kwa muoneka wa hizi simu mbili, TECNO na iPhone 7, zote zinamuonekano wenye kuvutia, kwani maumbo ya simu hizi mbili ni nyembama, japo #CamonCx imeizidi iPhone kwenye vitu au k.aribu kutoa mtazamo wako, je TECNO CAMON CX imeza kumpiku mkongwe Apple iPhone 7?

Comment

• Isaq commented
Editing a comment
Kaiga tecno. Hyo ndio kazi yake

• #5
Kweli kabisa , CamonCX imeipiku Iphone7 kwa vitu vingi , Uzuri wa CamonCX unaweza kudownload App yeyote na ikaingia kwenye simu yako , Ila Iphone 7 haina uwezo huo kwani wanaLIMIT Free App ...

Comment

• ms.vee commented
Editing a comment
Yaani ukiangalia kwa ubora wake na bei yake inaifanya simu kuwa ya kisasa sana..Wapi kwa dunia ya sasa utapata simu kali kwa bai nafuu tena ukilinganisha na simu zingine kama SAMSUNG na iPhone kuna vitu ambavyo hii simu imezipig agepu..Huo ndo ukweli! Hizi simu zingine ni jina tu!

• #6
Originally posted by ms.vee View Post
• Camon Cx ni toleo jipya kutoka TECNO Mobile Tanzania ambayo iliachiwa mwezi wa tatu mwaka huu kule Nairob, Kenya. Ni moja wapo ya toleo kutoka matoleo la "CAMON" series na pia inasemekana ni simu iliyozidi ubora simu nyingine zilizotolewa awali kwenye matoleo ya C series. iPhone 7 pia ni simu moja wapo ambazo imeweza kujibebea jina na umaarufu kwa muda mrefu.
[ATTACH=CONFIG]temp_7898_1494845719291_77[/ATTACH]

Tukitizama kwa muoneka wa hizi simu mbili, TECNO na iPhone 7, zote zinamuonekano wenye kuvutia, kwani maumbo ya simu hizi mbili ni nyembama, japo #CamonCx imeizidi iPhone kwenye vitu au kitu muhimu sana, ukilinganish ana matumizi makuu ya simu katika karne hii ya matumizi makubw aya mitndao ya kijamii.

Tuangalie ni kwa jinsi gani #CamonCX imempiku #iPhone japo haina muda mrefu tangia imeachiliwa!
• Tecno Camon Cx Apple iPhone 7
Metal unibody
Front camera 16Mp dual flash light
Back Camera 16 Mp quad LED ring Flash
Battery capacity 3200 mAh
Pixel density 401
Resolution 1920 (1080) FHD
screen size 5.5'
Metal Unibody
7Mp
12 Mp flash light
1960 mAh
326
1334 (750)
4.7'
[ATTACH=CONFIG]n106401[/ATTACH]
[ATTACH=CONFIG]n106402[/ATTACH]
[ATTACH=CONFIG]n106403[/ATTACH]

Karibu kutoa mtazamo wako, je TECNO CAMON CX imeza kumpiku mkongwe Apple iPhone 7?
​lol!

Comment

• #7
Are you people serious ?

Comment

• Isaq commented
Editing a comment
Their joking. Kind like their copy and paste without making a real compare

• #8
Their not serious. Wewe mtoa post umeona unaweza kufananisha passo na Range Rover new model (Velar). IPhone ni simu bomba yaani tecno ni wacndikizaji katika soko la ubora. So mtoa post naomba ufananishe tecno na itel,na cmu nyingine lakini co iPhone, Samsung, lg, nexus na nokia. About resolution hata kioo kimaresolution cha mcngi tunaangalia quality na co resolution. Katafute iPhone 7 na tecno phantom 6 plus halafu fananisha den post na co kupost unavyovisoma

Comment

• #9
Zimekaribiana
Technology is an art of creativity
+255744123365

Comment

• #10
tecno cx n noma sana iphone seriez zina kiki tu

Comment

• #11
good

Comment

• #12
jeteme'bien

Comment

• #13
Nimeichukua Jana hapa naifurahia kitu mayai kitu lainiiii hahaha tecno ni mkombozi Kwa bei murua kabisa
Click image for larger version

Name:	TSIMG_20170525_094856.jpg
Views:	1
Size:	437.0 KB
ID:	8128         Originally posted by ms.vee
• Camon Cx ni toleo jipya kutoka TECNO Mobile Tanzania ambayo iliachiwa mwezi wa tatu mwaka huu kule Nairob, Kenya. Ni moja wapo ya toleo kutoka matoleo la "CAMON" series na pia inasemekana ni simu iliyozidi ubora simu nyingine zilizotolewa awali kwenye matoleo ya C series. iPhone 7 pia ni simu moja wapo ambazo imeweza kujibebea jina na umaarufu kwa muda mrefu.
[ATTACH=CONFIG]temp_7898_1494845719291_77[/ATTACH]

Tukitizama kwa muoneka wa hizi simu mbili, TECNO na iPhone 7, zote zinamuonekano wenye kuvutia, kwani maumbo ya simu hizi mbili ni nyembama, japo #CamonCx imeizidi iPhone kwenye vitu au kitu muhimu sana, ukilinganish ana matumizi makuu ya simu katika karne hii ya matumizi makubw aya mitndao ya kijamii.

Tuangalie ni kwa jinsi gani #CamonCX imempiku #iPhone japo haina muda mrefu tangia imeachiliwa!
• Tecno Camon Cx Apple iPhone 7
Metal unibody

Front camera 16Mp dual flash light

Back Camera 16 Mp quad LED ring Flash

Battery capacity 3200 mAh

Pixel density 401

Resolution 1920 (1080) FHD

screen size 5.5'
Metal Unibody

7Mp

12 Mp flash light

1960 mAh

326

1334 (750)

4.7'
[ATTACH=CONFIG]n106401[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106402[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106403[/ATTACH]

Karibu kutoa mtazamo wako, je TECNO CAMON CX imeza kumpiku mkongwe Apple iPhone 7?

Comment

• #14

Comment

• #15
Cx imekuwa bora zaidi ya Iphone

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD