X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• Tukiadhimisha siku ya familia duniani pamoja na watoto yatima! Tanzania

Tarehe 15.May huwa ni siku ya "FAMILIA" duniani, huadhimishwa kila tarehe 15 ya mwezi Mei kila mwaka. Kila mwaka hii siku huwa na maudhui mbalimbali na mwaka huu maudhui ya hii siku ilikua ni "FAMILIA, ELIMU na USTAWI",Kulingana na mpangilio unaofanya na umoja wa mataifa. (UN).
Click image for larger version

Name:	WhatsApp Image 2017-05-16 at 16.06.18.jpeg
Views:	1
Size:	70.0 KB
ID:	7918

Mwaka huu tumepata fursa ya kusherehekea hii siku na watoto kutoka kwenye kituo cha watoto yatima cha UPENDO DAIMA ORPHANAGE kilichopo mkoani Mwanza.

Tulipata nafasi hiyo baada ya kukubaliwa kusherehekea siku ya familia duniani na kituo hicho. Kwa kusherehekea nao tuliwapa kidogo tulichonacho kama zawadi kwaajili ya watoto wanaolelewa na kitu hiko.

Pia tuliweza kuzungumza na watoto mbalimbali kuweza kuwafahamu na kufahamu hali halisi ya maisha kwa ujumla, pia tuliweza kuzungumza na mlezi mkuu wa kituo na kisha kukabidhi misaada na zawadi, na tukaendelea kwa kupata burudani mbali mbali kutoka kwa watoto wa kituo hicho,zikiwemo ngoma za asili ,chakula cha mchana, michezo mbalimbali.

Click image for larger version

Name:	WhatsApp Image 2017-05-16 at 16.06.20.jpeg
Views:	1
Size:	77.8 KB
ID:	7922  Click image for larger version

Name:	WhatsApp Image 2017-05-16 at 16.06.21.jpeg
Views:	1
Size:	90.7 KB
ID:	7921

Click image for larger version

Name:	WhatsApp Image 2017-05-16 at 15.31.33.jpeg
Views:	1
Size:	78.5 KB
ID:	7920

Upendo daima ni kituo kinacholea watoto walioko katika mazingira magumu, pia kinapokea watoto walioko na mitaani, watoto wanaolelewa katika kituo hiki pia wanasoma katika shule mbalimbali jijini mwanza.

Wahenga wanasema "KUTOA NI MOYO, si UTAJIRI".. #TogetherWeCan #ExperienceMore

• #2
[QMungu awabariki sana UOTE=TECNO SPOT TZ;106524]

Tarehe 15.May huwa ni siku ya "FAMILIA" duniani, huadhimishwa kila tarehe 15 ya mwezi Mei kila mwaka. Kila mwaka hii siku huwa na maudhui mbalimbali na mwaka huu maudhui ya hii siku ilikua ni "FAMILIA, ELIMU na USTAWI",Kulingana na mpangilio unaofanya na umoja wa mataifa. (UN).

[ATTACH=CONFIG]n106525[/ATTACH]

Mwaka huu tumepata fursa ya kusherehekea hii siku na watoto kutoka kwenye kituo cha watoto yatima cha UPENDO DAIMA ORPHANAGE kilichopo mkoani Mwanza.

Tulipata nafasi hiyo baada ya kukubaliwa kusherehekea siku ya familia duniani na kituo hicho. Kwa kusherehekea nao tuliwapa kidogo tulichonacho kama zawadi kwaajili ya watoto wanaolelewa na kitu hiko.

Pia tuliweza kuzungumza na watoto mbalimbali kuweza kuwafahamu na kufahamu hali halisi ya maisha kwa ujumla, pia tuliweza kuzungumza na mlezi mkuu wa kituo na kisha kukabidhi misaada na zawadi, na tukaendelea kwa kupata burudani mbali mbali kutoka kwa watoto wa kituo hicho,zikiwemo ngoma za asili ,chakula cha mchana, michezo mbalimbali.

[ATTACH=CONFIG]n106528[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106526[/ATTACH]

[ATTACH=CONFIG]n106527[/ATTACH]

Upendo daima ni kituo kinacholea watoto walioko katika mazingira magumu, pia kinapokea watoto walioko na mitaani, watoto wanaolelewa katika kituo hiki pia wanasoma katika shule mbalimbali jijini mwanza.

Wahenga wanasema "KUTOA NI MOYO, si UTAJIRI".. #TogetherWeCan #ExperienceMore
[/QUOTE]

Comment

• #3
Kweli wamefanya jambo zuri sana..Waswahili wanasema "KUMFAA MTU, HAKUDHURU"..Tujaribu kuwakumbuka wale wenye mahitaji mara kwa mara, kwnai hata vitabu vya dini vinasema "Pale unapotoa Mungu atakuzidishia"..Nice work TECNo Mobile. #TogetherWeCan

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Kweli kabisa, ni jambo zuri sana wamefanya. Mungu awabariki na kuwazidishia kuzidi kufanya Zaidi na zaidi

• #4
#UpendoDaima #KutoaNiMoyo

Comment

• #5
Safi sana
Technology is an art of creativity
+255744123365

Comment

• #6
jambo zuri Sana mfano wa kuigwa

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD