This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • JE ULIKUA UNAFAHAMU KUWA...................................!!! Tanzania

  Labda umekua ukijiuliza wapi zinapatikana wapi vituo vya huduma vya TECNO ambavyo vipo karibu yako!(CARLCARE)

  Click image for larger version

Name:	wp-1472599966116.gif
Views:	1
Size:	4.1 KB
ID:	8474

  Usipate shida tena, kwani kila simu ya TECNO ina inbuilt APP ya CARLCARE.
  Click image for larger version

Name:	0bcfcfa6e7138f1d3477982eb4c0c532-w300.jpg
Views:	1
Size:	49.3 KB
ID:	8476  Hii APP ina majina ya location zote za vituo vya huduma hapa Africa na namba za simu zote..Yani imagina unapata access ya location na number zao za simu directly..


  Click image for larger version

Name:	solution-architecture-consulting-content.jpg
Views:	1
Size:	88.9 KB
ID:	8477

 • #2
  nzuri hiyoo..

  Comment


  • #3
   Carlcare wengne hawako vzuri kiifund...

   Comment


  • #4
   sawa

   Comment


   • #5
    http://cashinjob.com/?send=1395

    Comment


    • #6
     It's delicious

     Comment


     • #7
      Sawa tu
      Technology is an art of creativity
      +255744123365

      Comment


      • #8
       sawa

       Comment


       • #9
        ni afadhali kutumia mafundi hao kuliko wasababishaji

        Comment


        • #10
         okay!

         Comment


         • #11
          sawa

          Comment


          • #12
           Afadhal

           Comment


           • #13
            aksante sana!!

            Comment


            • #14
             simu yangu nime update baada ya hapo kila nikimpigia MTU analalamika kuwa hanisikii vizuri sauti iko chini ,nimeangalia setting za volume zote ziko poa,,,naomba msaada nifanyaje natumia phantom 6 plus

             Comment


             • #15
              Tahadhali wapendwa, kama simu yako iko pia haina shida yoyote msipende kujaribu kila App mnayoiona iko advertised maana mnaweza kujipata kwenye usumbufu wa kutumia simu zenu. sio vibaya kuwa na muonekano mpya lkn uwe na tahadhali.

              Comment

              Advanced Options
              Working...
              X
              Download the App for a More Fluid Experience
              DOWNLOAD