This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO WAFUTURISHA VIJANA... Tanzania

  Kampuni ya simu ya TECNO Mobile iliandaa futari kwaajili ya vijana wenye kupitia changamoto za kimaisha kutoka kwenye kituo cha “Watoto wetu, Donbosco” pamoja na wadau wake.

  Click image for larger version

Name:	IMG_6494.JPG
Views:	1
Size:	127.1 KB
ID:	8608

  Hafla hiyo ilifanyika maalumu kwaajili vijana walio katika mazingira magumu pamoja na balozi wa simu hiyo. Waalikwa waliungana pamoja na mrembo,mjasiriamali na mwanamitindo Jokate Mwegelo katika Futari maalumu hiyo iliyo sheheni michezo,zawadi kemkem.

  Click image for larger version

Name:	IMG_6725.JPG
Views:	1
Size:	109.1 KB
ID:	8610

  Pia Zawadi za simu ya Camon Cx zilitolewa kwa washindi wa kampeni ya #SelfieKamili, kampeni ya Tecno Camon cx ni kampeni inayoendeshwa na Kampuni hiyo kupitia simu yake mpya ya camon Cx inayosifika kwa kua na kamera kubwa ya 16 megapixel.

  Click image for larger version

Name:	IMG_6684.JPG
Views:	1
Size:	117.3 KB
ID:	8611  Click image for larger version

Name:	IMG_6666.JPG
Views:	1
Size:	111.1 KB
ID:	8612

  Tecno Mobile iliandaa futari hii maalumu ili kuwapa nafasi vijana walio katika mazingira magumu kujumuika na balozi wao wa simu hiyo pamoja na washindi wa simu ili kubadlishana mawazo huku wakipata futari mahsusi ilyoandaliwa kwaajili yao.

  Click image for larger version

Name:	IMG_6626.JPG
Views:	1
Size:	102.0 KB
ID:	8613

  Tecno inawasaa wateja wake kuendelea kufatilia mitanndao yao ya kijamii ili kundelea kupata zawadi hasa kipindi kijacho cha sikukuu ya eid, zawadi hizi zipo kwa kila atakaeshiriki na kuzingatiwa vigezo..

 • #2
  nawakubali sana

  Comment

  • #3
   Pamoja sana

   Comment

   • #4
    nzuri hiyoo

    Comment

    • #5
     Vema sana
     Technology is an art of creativity
     +255744123365

     Comment

     • #6
      comon cx bei gani

      Comment

     • #7
      tecno CX bei gan

      Comment

     • #8
      I love my cx so in love with it

      Comment

      • #9
       Click image for larger version

Name:	TSIMG_٢٠١٧٠٦١٨_١٦٥٥٢٠.jpg
Views:	1
Size:	75.2 KB
ID:	8642
       Originally posted by Vanessa Mawalla
       Kampuni ya simu ya TECNO Mobile iliandaa futari kwaajili ya vijana wenye kupitia changamoto za kimaisha kutoka kwenye kituo cha “Watoto wetu, Donbosco” pamoja na wadau wake.

       [ATTACH=CONFIG]n113060[/ATTACH]

       Hafla hiyo ilifanyika maalumu kwaajili vijana walio katika mazingira magumu pamoja na balozi wa simu hiyo. Waalikwa waliungana pamoja na mrembo,mjasiriamali na mwanamitindo Jokate Mwegelo katika Futari maalumu hiyo iliyo sheheni michezo,zawadi kemkem.

       [ATTACH=CONFIG]n113061[/ATTACH]       Pia Zawadi za simu ya Camon Cx zilitolewa kwa washindi wa kampeni ya #SelfieKamili, kampeni ya Tecno Camon cx ni kampeni inayoendeshwa na Kampuni hiyo kupitia simu yake mpya ya camon Cx inayosifika kwa kua na kamera kubwa ya 16 megapixel.

       [ATTACH=CONFIG]n113062[/ATTACH]

       [ATTACH=CONFIG]n113063[/ATTACH]

       Tecno Mobile iliandaa futari hii maalumu ili kuwapa nafasi vijana walio katika mazingira magumu kujumuika na balozi wao wa simu hiyo pamoja na washindi wa simu ili kubadlishana mawazo huku wakipata futari mahsusi ilyoandaliwa kwaajili yao.

       [ATTACH=CONFIG]n113064[/ATTACH]

       Tecno inawasaa wateja wake kuendelea kufatilia mitanndao yao ya kijamii ili kundelea kupata zawadi hasa kipindi kijacho cha sikukuu ya eid, zawadi hizi zipo kwa kila atakaeshiriki na kuzingatiwa vigezo..

       Comment

       • #10
        Originally posted by bingwa tarimo
        iko poa sana nitaitafuta
        :0x1f603:

        Comment

        • #11
         iko poa sana nitaitafuta

         Comment

         • #12
          hello venessa

          Comment

          • #13
           tuko pamoja

           Comment

           • #14
            nawakubari sana nami ni wanachama

            Comment

            • #15
             iko pw

             Comment

             Advanced Options
             Working...
             X
             Download the App for a More Fluid Experience
             DOWNLOAD