X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TUMEWASHA DUUUUUDE!...KITU KIPYA CHA 4G...soma zaidi.....!!! Tanzania

  Tumetambuulisha sokoni simu mpya TECNO DUDE simu hiyo inkuja kua mkombozi kwa watanzania wenye kipato cha chini, wale wasiona uwezo wa kumiliki simu zenye teknolojia ya kisasa ya kimtandao yenye kasi maarufu kama 4G (fourth generation). Kwa bei sawa na bure, Bei elekezi ni 235,000 Tsh TU!  Click image for larger version

Name:	WX3 LTE_六视图_香槟金_V2.1_20170301.png
Views:	2
Size:	151.3 KB
ID:	8998


  Tumeingiza simu hii mpya sokoni kwa nia na madhumuni ya kuwapa nafasi wateja wao wasio miliki simu zenye uwezo wa kasi ya mawasiliano ya mtandao wa 4g kumiliki simu ya kisasa kwa bei nafuu sana,

  Simu hii maalum kabisa yenye uwezo wa juu kabisa inapatikana kwenye maduka yote nchini.  Click image for larger version

Name:	WX3LTE_六视图_静谧蓝_V2.1_20170324.png
Views:	2
Size:	188.7 KB
ID:	8999
  Na itaanza kupatikana katika maonesho ya biashara ya SabaSaba 2017. Pia Inakuja na OFA kabambe ya BUNDLES kutoka VODACOM.. Si ya kukosa!
  Sasa ni muda wa KUWASHA DUDE, lenye mawasiliano ya uwezo kasi ya hali ya juu wa 4G.
  Attached Files
  Last edited by TECNO SPOT TZ; 07-05-2017, 06:34 PM.

 • #2
  Mida ya wenyewe
  Technology is an art of creativity
  +255744123365

  Comment


  • #3
   kazi ni kwetu sasa...tecno washakiamsha

   Comment


   • #4
    sawa

    Comment


    • #5
     pamoja

     Comment


     • #6
      haya

      Comment


      • #7
       kitu safi

       Comment


       • #8
        mambo vipi sister

        Comment


        • #9
         mmmmmmh xtaki

         Comment


         • #10
          kitu cha ukweli

          Comment


          • #11
           Camera Vip Mp Ngapi?

           Comment


           • #12
            jamani kwenye simu yangu ya cx air nikiwasha data kwenye line ya voda inachelewa kuonesha data, nawakati mwingine hupotea, lakini kwenye line ya tigo nikiwasha data tuu hapo hapo inakubali Nahaikati kati, je tatizo litakuwa kwenye line ya voda?

            Comment


            • #13
             ngoja tujipange

             Comment


             • #14
              monowar

              Comment


              • #15
               ok

               Comment

               Advanced Options
               Working...
               X
               Download the App for a More Fluid Experience
               DOWNLOAD