X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Jinsi ya Kulinda Simu Yako ya Android Dhidi ya Virus Mbalimbali Tanzania

  Wote tunajua ulinzi kwenye simu yako ni kitu cha msingi sana, lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo inavyozidi kuwa ngumu zaidi kulinda simu yako hii inatokana na sababu mbalimbali ambazo zingine hatuwezi kuzuia kwa mfano pale unapo install programu kwenye simu yako.

  Hivyo basi leo tutaenda kujifunza jinsi ya kulinda simu yako ya Android ili isiadhiriwe na virusi mbalimbali, njia hii ni bora sana na inafaa kwa watumiaji wa simu zote za Android zenye akaunti ya Google. Lakini kabla ya kuanza ni vyema tujue adhari zinazotokana na simu yako kuadhiriwa na virus mbalimbali, madhara kadhaa yanayotokana na haya ni mengi sana na baadhi ni kama simu yako kuisha chaji kwa haraka.

  Basi moja kwa moja twende tukangalie somo letu la leo, somo hili linatokan na kampuni ya Google kuleta sehemu mpya ya Google Play Protect ambayo imetokana na baadhi ya programu za Android kusemekana kuleta virus kwenye simu za Android. Hivyo Google wametengeneza sehemu hiyomaalumu kwaajili ya kulinda simu yako ili isiadhiriwe na virusi kutoka kwenye baadhi ya programu.

  Sasa ili kuwasha sehemu hiyo inakuitaji kufuata hatua hizi rahisi sana ambazo zitakusaidia sana kulinda simu yako. Hatua ya kwanza ingia kwenye Settings au tafuta programu iliyo andikwa Google Setting kwenye simu yako ya Android kisha tafuta mahali palipo andikwa Security kisha chagua Google Play Protect kisha bofya sehemu iliyo andikwa Scan device for security threats baada ya hapo utakuwa umewasha sehemu hiyo ambayo itakuwa inalinda simu yako masaa yote unapo install programu yoyote.

  Mpaka hapo utakuwa umewezesha simu yako kuwa salama na kuzuia virusi vinavyotokana na programu mbalimbali, kumbuka ili kuwa salama zaidi usi – install programu kutoka sehemu nyingine nje ya soko la Play Store.
  Last edited by waku7bisha; 07-28-2017, 06:21 PM.

 • #2
  Sawa kabisa
  Technology is an art of creativity
  +255744123365

  Comment


  • #3
   Exactly sounding nicely

   Comment


   • #4
    SAFI SANA NDUGU KWA ELIMU...

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     asante...karibu

   • #5
    thanks tecno

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     you are welcome

   • #6
    mbona simu yangu ni tecno w5 haina Google setting

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     nenda kwenye setting kisha tafuta neno limeandikwa google kisha bonyeza hapo, ukimaliza bonyeza security ndipo itakuleletea google play protect

   • #7
    Mara iyo sai nko fiti najua
    Click image for larger version

Name:	TSIMG_20170813_004101.jpg
Views:	1
Size:	41.3 KB
ID:	10067

    Comment


    • #8
     ninatumia camon cx ila sijaona kwenye setting wala sina google setting...

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      nenda kwenye setting kisha tafuta neno limeandikwa google kisha bonyeza hapo, ukimaliza bonyeza security ndipo itakuleletea google play protect .

    • #9
     good

     Comment


     • #10
      Asante kwa taarifa Nzuri. Be blessed

      Comment


     • #11
      Nina tecno cx lakini hatiki kulock na nimeweka fingerprint lakin hataki adi inapotaka ndio inalock lakini ni lock kwa kupress buttn inakataa.

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       jaribu kuifuta hiyo fingerprint na uirejiste tena

     • #12
      Nahitaji msaada wailo tatzo.

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       kafute fingerprint na uiweke upya. ukiweka hakikisha umeiset kana kwamba inagusa sehemu zote za kuzunguka kidole

     • #13
      Asanten sana tecno

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       karibu sana kwenye familia

     • #14
      thanx

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       you are welcome

     • #15
      tupa chooni

      Comment

      Advanced Options
      Working...
      X
      Download the App for a More Fluid Experience
      DOWNLOAD