X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • SHEREHEKEA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA TECNO Tanzania

  TECNO tunakukaribisha wewe mteja wetu kutoka nchi nzima katika msimu wa sikukuu na ofa kabambe zinazowapa fursa ya kuweza kufurahia msimu huu kwa kushinda zawadi mbalimbali kupitia maduka yetu ya TECNO katika mikoa ya Arusha, Mwanza na Dar es salaam.

  Click image for larger version

Name:	banneer.jpeg
Views:	1
Size:	73.5 KB
ID:	13134  Wateja watakao nunua Phantom 8, Camon Cx & Cx Air, TECNO spark, Spark + ,wataingia/utaingia kwenye bahati nasibu na kujishindia Tiketi ya basi kwenda mikoa mbalimbali kuungana na familia zao/yako bila kusahau kuponi maalum za chakula ,tiketi za sinema kwa mkoa wa Dar es salaam, saa za kuvutia za mkononi na zawadi nyinginezo kemkem.


  Click image for larger version

Name:	kuponni.jpeg
Views:	2
Size:	37.3 KB
ID:	13133


  Wateja watapata punguzo la bei Tsh 20,000/= kwa atakae nunua simu janja (Smartphone) mbili kwaajili ya wapendwa wao, moja katika ya hizo simu mbili ndiyo itakayo pata punguzo la bei la Tsh 20,000/=. Pia kutakua na bahati nasibu ya zawadi zinginezo mbalimbali
  Ofa hizi kabambe zinapatikana maduka ya TECNO mkoani Mwanza, Arusha na Dar es salaam na kutumika kuanzia tarehe 15/12/2017 mpaka 15/1/2018
  Attached Files

 • #2
  Dodoma mnakuja lini

  Comment


  • #3
   yaaap

   Comment


   • #4
    Originally posted by octavian nnunduma
    yaaap
    poa

    Comment


    • #5
     please,my techno l9 plus picture has turn different because i change the hi theme and I don't know what to do before the picture will be normal, please help me

     Comment


     • #6
      karbuni shy town

      Comment


      • #7
       please I see my techno l9plus pictures like a ghost, that is, whenI change my hi theme before it develop this fault ,so please when I want to take a pic, I will the person to be a ghost but when I snatch it and transfer it to different techno phone, I see it clearly.so please can someone help me

       Comment


       • #8
        ebhana eenh... tuchangamkie ofa hiyoo msimu huu wa sikukukuu.<br />
        me nataka tiketi ya basi tu hiyo niende marangu moshi Kilimanjaro nikahesabiwe

        Comment


        • #9
         tulio nunua trh 4 means atupo kwen hy mashindan

         Comment


         • #10
          mbeya vip

          Comment


          • #11
           phantom 6 yangu ime crack touchscreen,carl care bei yao ni ya kukomoa laki na 60 hiyo ni bei ya simu nyingine nauziwa spea wkt touch yenyewe ni km yai simu imegeuzwa tu hata haijaanguka ime crack,itakuwaje nitoe laki na 60 hlf muda mfupi i crack tena?

           Comment


           • #12
            Tanga lini

            Comment


            • #13
             Dodoma mnakuja lini??

             Comment


             • #14
              mimi nimenunua maduka ya kawaida

              Comment

              Advanced Options
              Working...
              X
              Download the App for a More Fluid Experience
              DOWNLOAD