X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• SHINDA KUPONI YA TZS 100,000/= Tanzania

Msimu huu wa sikukuu ni msimu wa kutoa na kufarahia pamoja na wale wanaotuzunguka.
Hivyo tumeona "Itapendeza" kama tukitumia nafasi hii kukupa wewe mdau wetu au mtumiaji wa bidhaa zetu zawadi kabambe kabisa huku tukielekea katika kipindi cha siku kuu za Krismasi.

Tuandikie na tuambie kupitia kurasa zetu za kijamii za FACEBOOK, INSTAGRAM na TWITTER ni kwasababu gani unastahilii kupata kuponi hii yenye thamani ya shilingi Laki Moja (100,00/=) ambayo utaitumia katika maduka yetu "Exclusive" na "SMARTHUB" zote.

Zawadi hii itatumika kwa baadhi ya model za simu aina ya PHANTOM 8, CAMON CX na SPARK tu.
Click image for larger version

Name:	kuponi.jpg
Views:	1
Size:	792.2 KB
ID:	13192

VIGEZO NA MASHARTI
1. Uwe umetuFOLLOW kwenye mitando yetu ya kijamii (FACEBOOK, INSTAGRAM na TWITTER )

2.TUMIA HASTAG SAHIHI #TECNOXMas

3.KUPONI ITATUMIKA "valid" KUANZIA SASA 6/12/2017 - 31/12/2017

4. MADUKA YATAKAYO TOA KUPONI HII NI PAMOJA NA
a) SMARTHUB - Mlimani City, Mwenge
b) SMARTHUB - China Plaza, Kariakoo
c) Tecno Shop - City Mall, DIT Bibi Titi rd.

5.PIA UTATAKIWA KUSHARE kwa FACEBOOK
REPOST kwa INSTAGRAM
RETWEET kwa TWITTER.

#KuwaLejendari #TECNOXMas

• #2
Done..!!!!

Comment

• #3
Nina kila sababu ya kushinda kuponi na tecno kwasababu mm ni moja kati ya wanafamilia bora ya watumiaji wa tecno simu ambazo zenye ubora wa kamera na uimara wa simu ili niweze kufurahia simu hii lazima niwe na kuponi kutoka tecno huku nikijiself na washkaji #TECNOXMAS

Comment

• T_14275400556 commented
Editing a comment
Nina kila sababu ya kushinda kuponi na tecno kwa sababu Mimi ni mmoja kati ya wanafamiliaboraya watumiaji was techno simu ambazozenye uborawa kamera na uimara wa simu ili niweze kufurahia simu hii ni lazima niwe na kuponi kutoka techno huku nikijiself na washikaji#TECNOXMAS
Last edited by T_14275400556; 12-07-2017, 08:35 PM.

• #4
VP kuhusu arusha

Comment

• #5
Ninayo furaha kutumia simu ya techno kwa sababu intunza umeme,inapiga picha nzuri, ni nyepesi kuitumia. Ninaipenda sana simu ya techno. Ninashauri jamaa ,rafiki na ndugu wote mahali walipo watumie simu ya techno.

Comment

• #6
kuna tatizo katika toleo la tecno spark k7 wameboronga kwanza nimeichukia sana kwa sababu zifuatazo ! uki~copy namba labda unafanya huduma ya kifedha mfano mpesa ukitaka ku~paste haikubali

Pili ni kwamba upande wa kamera haina option au seting ya kuondoa sauti ya (capture sound) kwahyo sio mpango huo .

Comment

• #7
tecno spark iko poa sana

ila kwasisi tuliopo nnje ya mkoa wa dar es salaam hatushiriki

katka shindano hili?

Comment

• #8
Originally posted by Misigiri
kuna tatizo katika toleo la tecno spark k7 wameboronga kwanza nimeichukia sana kwa sababu zifuatazo ! uki~copy namba labda unafanya huduma ya kifedha mfano mpesa ukitaka ku~paste haikubali

Pili ni kwamba upande wa kamera haina option au seting ya kuondoa sauti ya (capture sound) kwahyo sio mpango huo .

mbona inakubali mkuu labda ktk kukosea kwako tu

Comment

• #9
Originally posted by TECNO SPOT TZ View Post
Msimu huu wa sikukuu ni msimu wa kutoa na kufarahia pamoja na wale wanaotuzunguka.
Hivyo tumeona "Itapendeza" kama tukitumia nafasi hii kukupa wewe mdau wetu au mtumiaji wa bidhaa zetu zawadi kabambe kabisa huku tukielekea katika kipindi cha siku kuu za Krismasi.

Tuandikie na tuambie kupitia kurasa zetu za kijamii za FACEBOOK, INSTAGRAM na TWITTER ni kwasababu gani unastahilii kupata kuponi hii yenye thamani ya shilingi Laki Moja (100,00/=) ambayo utaitumia katika maduka yetu "Exclusive" na "SMARTHUB" zote.

Zawadi hii itatumika kwa baadhi ya model za simu aina ya PHANTOM 8, CAMON CX na SPARK tu.
[ATTACH=CONFIG]n165180[/ATTACH]

VIGEZO NA MASHARTI
1. Uwe umetuFOLLOW kwenye mitando yetu ya kijamii (FACEBOOK, INSTAGRAM na TWITTER )

2.TUMIA HASTAG SAHIHI #TECNOXMas

3.KUPONI ITATUMIKA "valid" KUANZIA SASA 6/12/2017 - 31/12/2017

4. MADUKA YATAKAYO TOA KUPONI HII NI PAMOJA NA
a) SMARTHUB - Mlimani City, Mwenge
b) SMARTHUB - China Plaza, Kariakoo
c) Tecno Shop - City Mall, DIT Bibi Titi rd.

5.PIA UTATAKIWA KUSHARE kwa FACEBOOK
REPOST kwa INSTAGRAM
RETWEET kwa TWITTER.

#KuwaLejendari #TECNOXMas
Naikubali Sana #TECNOXMas kwasababu Kwanzaa Kariba inaubora halisi na inatunza changer kwa muda mrefu , haisumbui internet nateleza tu Kwenye social network,,,,,,

Comment

• #10
Ubaguzi huo tayari,kwa nini Dsm tu?

Comment

• #11
Pia ni kweli kabisa Toleo la Spark,kuna tatizo upande wa Camera.Nina kijana wangu,nilimnunulia hiyo Spark amedumu nayo mwezi mmoja na nusu tu,Camera haipigi picha tena.Akaipelleka wakala wa TECNO pamoja na vielelezo kma WARRANT,Lakini walimpuuza.Sasa hizo Garrantee mnakazana kutupatia ,hivi cm mpaka ionekane ina tatizo lipi? Ukija upande wa Phantom 6plus OTG haisomi kuhamisha picha na miziki ni shida.Kwa hiyo sasa hivi Tecno ovyo,mnakoelekea sasa ni kubaya zaidi.

Comment

• #12
kwa sababu napenda sana simu zenu za tecno maana zinakaa na chaji mda mrefu sana kwa mfano mm natumia techno k9 niliipenda kwa sababu IPO vzr kwenye picha kwenye kuperuzi na kioo chake ni kikubwa na pia inatumia android 7 toka nimeichukuwa haijawai kunisumbua

Comment

• #13
Mimi ni mtumiaji wa Common Cx Air hakika Tecno ni simu bora katika kila kitu Camera quality unakaa na charge pia ni simu yenye shape nzuri na muonekano unaovutia watumiaji hakika naipenda Tecno #TECNOXMAS

#TECNO4LIFE

THE BEST PHONE IN THE AFRICA

Comment

• #14
jamani nina tecno spark k7 2gb anayeitaka nani

Comment

• #15
naikubar xn kampun ya tecno coz wanajitad kutegeneza cm zlizo poa

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD