X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Mambo 5 Ambayo Ulikuwa Hujui Kuhusu Kampuni ya Google Tanzania

  Google ni moja kati ya kampuni zenye historia kubwa sana, ukizingatia ni moja kati ya kampuni zinazotoa huduma za kuunganisha watu kwa kutumia internet kuliko kampuni nyingine hii ni kutokana na Google kuwa na huduma nyingi sana zinazotumiwa na mamilioni ya watu.
  • Jina Google linatokana na neno la kihisabati
  Pengine ulishawahi kujiuliza kwanini nini jina Google.? basi kifupi ni kuwa aliyegundua jina Google alikuwa ni mwana mahesabu kwani jina Google linatokana na neno la kihesabu “googol” neno hili maana yake ni 1 na sifuri 100.
  Click image for larger version

Name:	1.JPG
Views:	1
Size:	61.7 KB
ID:	13790

  googol maana yake ni 1 na sifuri 100​
  • Mwanzo Google ilikuwa inaitwa “Backrub”
  Hapo mwaka 1996 wagunduzi kutoka chuo cha Stanford cha nchini marekani Sergey Brin na Lary Page walianza kufanyia kazi project yao ya kwanza ambayo ilikuwa inahusu mambo ya tovuti na jina la project hiyo lilikuwa Backrub, jina ambalo baadae lilibadilishwa na kuitwa Google.
  Click image for larger version

Name:	2.JPG
Views:	1
Size:	24.4 KB
ID:	13791

  Jina la kwanza la Google lilikua backrub
  • Google hukodisha Mbuzi kwaajili ya Kukata Majani nje ya Ofisi zake
  Pengine unge hisi kwa kuwa Google ni kampuni tajiri sana basi lazima kuna watu wa kutunza na kukuta majani ya kwenye Garden za nje ya ofisi yake lakini, Kama sehemu ya kutunza mazingira, kampuni ya Google hutumia wanyama mbuzi kukata majani nje ya ofisi zake.
  Click image for larger version

Name:	3.JPG
Views:	1
Size:	43.3 KB
ID:	13792

  Mbuzi hutumika kukata majani Nje ya ofisi za Google
  • Google ilikua inahifadhiwa kwenye Hard Disk yenye ukubwa wa GB 4
  Hapo zamani GB 1 ilikua ikionekana kama ndio memory kubwa sana kiasi kwamba huduma zote za Google pamoja na Tovuti yake ilikuwa ikihifadhiwa kwenye Server yenye ukubwa wa GB 4, Kingine cha kushangaza ni kuwa Server hiyo ilikuwa imetengenezwa kwa toi za kuchezea watoto maarufu kama LEGO.
  Click image for larger version

Name:	4.JPG
Views:	1
Size:	42.3 KB
ID:	13793

  Google ilikuwa inahifadhiwa kwenye Hard Disk yenye ukubwa wa GB 4 Tu
  • Google ina miliki kikoa hichi “466453.com” sababu ndio hizi
  Google ina miliki vikoa (domain) kadhaa ambazo zimekosewa lakini zina maana ya Google, kwa mfano google inamiliki vikoa vilivyokosewa vya Gooogle.com, Gogle.com, Googlr.com zote zikiwa kwa matamshi zina maana ya neno Google. Kuhusu kikoa cha 466453.com google ina miliki kikoa hichi kutokana na namba hizo kwenye keyboard ya simu yako ya tochi zina maana ya neno “Google”.
  Click image for larger version

Name:	5.JPG
Views:	1
Size:	38.1 KB
ID:	13794

  466453.com maana yake ni Google .com
  Na hayo ndio mambo ambayo nimekuandalia leo kuhusu kampuni ya Google

 • #2
  nimekusoma kaka

  Comment

  • #3
   hapa umechimbua hatar

   Comment

   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    ni katika kujuzana tu hili na lile

  • #4
   umetisha mbaya kaka

   Comment

   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    hahaha..pa1 sana kaka

  • #5
   nimekuelewa bro! kuhusu Google

   Comment

   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    bac mororo...

  • #6
   ila j mimi sjapata zawadi yangu jaman ya FAN OF THE YEAR 2017

   Comment

   • #7
    hahaha asanteee

    Comment

    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     hahahaha

   • #8
    nimekupata iko pw bro hongera sana

    Comment

    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     shukran

   • #9
    safi hii

    Comment

    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     naam..!

   • #10
    vizur xana

    Comment

    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     asante sana

   • #11
    Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180123_161954.jpg
Views:	1
Size:	166.5 KB
ID:	13940
    Originally posted by mickgaitan
    vizur xana

    Comment

   • #12
    jjj

    Comment

    • #13
     ahaa kumbee

     Comment

     • #14
      Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180831_150509.jpg
Views:	1
Size:	16.1 KB
ID:	17840
      Originally posted by waku7bisha
      Google ni moja kati ya kampuni zenye historia kubwa sana, ukizingatia ni moja kati ya kampuni zinazotoa huduma za kuunganisha watu kwa kutumia internet kuliko kampuni nyingine hii ni kutokana na Google kuwa na huduma nyingi sana zinazotumiwa na mamilioni ya watu.
      • Jina Google linatokana na neno la kihisabati
      Pengine ulishawahi kujiuliza kwanini nini jina Google.? basi kifupi ni kuwa aliyegundua jina Google alikuwa ni mwana mahesabu kwani jina Google linatokana na neno la kihesabu “googol” neno hili maana yake ni 1 na sifuri 100.

      [ATTACH=CONFIG]n174564[/ATTACH]

      googol maana yake ni 1 na sifuri 100​
      • Mwanzo Google ilikuwa inaitwa “Backrub”
      Hapo mwaka 1996 wagunduzi kutoka chuo cha Stanford cha nchini marekani Sergey Brin na Lary Page walianza kufanyia kazi project yao ya kwanza ambayo ilikuwa inahusu mambo ya tovuti na jina la project hiyo lilikuwa Backrub, jina ambalo baadae lilibadilishwa na kuitwa Google.

      [ATTACH=CONFIG]n174565[/ATTACH]      Jina la kwanza la Google lilikua backrub
      • Google hukodisha Mbuzi kwaajili ya Kukata Majani nje ya Ofisi zake
      Pengine unge hisi kwa kuwa Google ni kampuni tajiri sana basi lazima kuna watu wa kutunza na kukuta majani ya kwenye Garden za nje ya ofisi yake lakini, Kama sehemu ya kutunza mazingira, kampuni ya Google hutumia wanyama mbuzi kukata majani nje ya ofisi zake.

      [ATTACH=CONFIG]n174566[/ATTACH]      Mbuzi hutumika kukata majani Nje ya ofisi za Google
      • Google ilikua inahifadhiwa kwenye Hard Disk yenye ukubwa wa GB 4
      Hapo zamani GB 1 ilikua ikionekana kama ndio memory kubwa sana kiasi kwamba huduma zote za Google pamoja na Tovuti yake ilikuwa ikihifadhiwa kwenye Server yenye ukubwa wa GB 4, Kingine cha kushangaza ni kuwa Server hiyo ilikuwa imetengenezwa kwa toi za kuchezea watoto maarufu kama LEGO.

      [ATTACH=CONFIG]n174567[/ATTACH]      Google ilikuwa inahifadhiwa kwenye Hard Disk yenye ukubwa wa GB 4 Tu
      • Google ina miliki kikoa hichi “466453.com” sababu ndio hizi
      Google ina miliki vikoa (domain) kadhaa ambazo zimekosewa lakini zina maana ya Google, kwa mfano google inamiliki vikoa vilivyokosewa vya Gooogle.com, Gogle.com, Googlr.com zote zikiwa kwa matamshi zina maana ya neno Google. Kuhusu kikoa cha 466453.com google ina miliki kikoa hichi kutokana na namba hizo kwenye keyboard ya simu yako ya tochi zina maana ya neno “Google”.

      [ATTACH=CONFIG]n174568[/ATTACH]      466453.com maana yake ni Google .com

      Na hayo ndio mambo ambayo nimekuandalia leo kuhusu kampuni ya Google

      Comment

      • #15
       kumbe

       Comment

       Advanced Options
       Working...
       X
       Download the App for a More Fluid Experience
       DOWNLOAD