This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • JAZA KIBUBU UVIMBE NA TECNO SPARK 2 KITAANIII!! Tanzania

  Umeisikia Hii Ni kali na kubwa Kuliko Jiandae na Ujio Mpya wa Tecno Spark 2 Yenye Maajabu Na Rahisi kutumia Kuzidi Spark Zote zilizopita Kiganjani kwako...
  Click image for larger version

Name:	
Views:	2
Size:	108.4 KB
ID:	16095


  Huu NI wakati Wako sasa Wa Kujaza Kibubu Na uweze kuimiliki Simu Hii Mpya kutoka Tecno Iliyopewa Jina La Tecno Spark 2 Kitaani Moja kati Ya Maajabu Makubwa Yliyo katika Simu HII Janja ni kwambaaaaa........Kwenye spark2 ulinzi umeimarishwa zaidi na kukuletea Face ID security.
  Click image for larger version

Name:	
Views:	2
Size:	44.8 KB
ID:	16096

  Hii itakusaidia zaidi kwa kuimarisha ulinzi Wa simu Wako Kwa kuweza Kuweka Lock kwa kutumia Sura Yako Wewe mwenyewe na Kufanya Kazi zako zisipotee Pale utakapopoteza Simu hii..

  Usisubiri Jaza Kibubu Uvimbe n tecno Spark2...Yajayo ni zaidi Ya Maajabuuuuuuu
  Last edited by Sufian chediel; 06-07-2018, 10:43 PM.

 • #2
  Ngoja nianze kudunduliza chapaa!

  Comment


  • Sufian chediel commented
   Editing a comment
   Fanya hivo mzee utambeee

 • #3
  it's cooooooooool

  Comment


  • #4
   unawekaje sasa

   Comment


   • Sufian chediel commented
    Editing a comment
    anza kutunza kidogo kidogo mzee

  • #5
   dooh

   Comment


   • #6
    naitamani hata me pia

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Ndo ujipange. Mzigo unashuka hivi karibuni

   • #7
    hope it's a better version of spark 7 cuz spark 7 use to hang alot

    Comment


    • #8
     tecno mko vzr saana

     Comment


     • #9
      Bei gani itauzwa

      Comment


      • #10
       bei gan itatembea

       Comment


       • #11
        inaubora usiokua nakifani

        Comment


        • #12
         Itakuwa na bei gani

         Comment


         • #13
          how does it cost

          Comment


          • #14
           SPARK2 sijaiona gallery au my picture Kama ile ya kwenye K7 na K8. pia hakuna kubadili font style Kama K8. wakati uwezo ziko sawa

           Comment


           • #15
            kazi njema

            Comment

            Advanced Options
            Working...
            X
            Download the App for a More Fluid Experience
            DOWNLOAD