This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO SPARK 2 YAJA KIVINGINE! Tanzania

  Kampuni ya simu za mkononi ya Tecno imezindua toleo jipya la simu zake safari hii ikija na toleo lililoboreshwa zaidi la simu aina ya Tecno Spark 2 ambayo kwa hakika imekonga mioyo ya Wateja waliokwisha inunua tayari. Simu hiyo ambayo imekuja na kamera yenye uwezo wa kupiga picha bomba hata kwenye mazingira yenye Giza na yenye mwanga hafifu, zina kamera mbili ambapo kamera ya mbele ina uwezo wa 13MP ambayo kwa ndani ina lensi tatu zinazoifanya kamera yake kuwa na uwezo wa kupiga picha safi na ubora wa hali ya juu. Upande wa mbele ina kamera yenye 8MP sambamba na flash ambayo inamuwezesha mmiliki kupiga 'selfies' Kali zenye muonekano wa kuvutia hata akiwa mahali penye giza jingi. Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180615_202633.jpg
Views:	1
Size:	31.5 KB
ID:	16345 Mbali na hilo, Tecno Spark 2 inamhakikishia mmiliki wa simu hiyo kuwa na uhakika wa usalama wa simu yake pamoja na data zilizopo ndani ya simu kwa kuwa imetengenezwa sambamba na program maalumu ya kutambua sura ya mmiliki (Facial ID)wa simu hiyo na wakati huo huo kumuwezesha kuifungua simu hiyo pale anapoitazama. Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180615_203134.jpg
Views:	2
Size:	71.2 KB
ID:	16177 Huku ikijulikana kwa uwezo wake wa kukaa na chaji muda mrefu, betri ya Tecno Spark 2 limeboreshwa ili kudumu na chaji zaidi na kukuwezeshwa wewe mtumiaji kuendelea kuitumia pasipo kuwa na hofu ya kuzimika chaji kwa muda mrefu. Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180615_203842.jpg
Views:	1
Size:	97.6 KB
ID:	16346 Ikiwa na upana wa kioo cha inchi 6.0 ambacho ni full HD kwa maana ya kutoa picha na video ang'avu, Tecno Spark 2 inakuja na muonekano wa kuvutia na umbo jembamba linalokiwezesha kuishika simu yako pasipo usumbufu wowote au kuogopa jasho la mikono yako. Nunua Leo, usisubiri kuhadithiwa. Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180615_204542.jpg
Views:	1
Size:	69.2 KB
ID:	16347 Tecno Spark 2 imekuja na programu mpya ya Android 8.1 Oreo Go au Android Go ambayo itaifanya simu kuwa na speed wakati wa kuitumia pasipo kukwama na kukuwezesha kuitumia simu yako ufanisi wa hali ya juu. Haijawahi kutokea! Tecno Spark 2 ina memory yenye ukubwa wa 16GB Ram na 2GB ROM ambazo kwa pamoja zinakupa nafasi ya kutunza kumbukumbu za video, picha, mafaili na programu mbalimbali za simu pasipo kuhofia nafasi au ukubwa wa simu yako. Simu hizi za TECNO SPARK 2 zimekuja zikiwa na bei rahisi mno sambamba na rangi tofauti tofauti kulingana na matakwa ya mteja. Kwa sasa ukienda dukani kununua simu, usiseme unataka simu pekee, sema nataka #tecnospark2lightup

 • #2
  techno msaada nahitaj

  Comment


 • #3
  Camera ya simu yangu inaandika "camera can't connect, make sure to close apps that may use camera or flashlight ".natumia spark k9

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Pole sana kwa usumbufu.
   Nenda kwenye settings > apps > bonyeza vile vidoti vitatu pale juu kulia na uchague 'show system' > kisha chagua camera kwenye ile list ya apps na clear cache

 • #4
  Tafadhali, tembelea kwenye duka la TECNO lilipo mtaa wa Samora-Posta au Kariakoo
  Originally posted by Edwardsanane
  Camera ya simu yangu inaandika "camera can't connect, make sure to close apps that may use camera or flashlight ".natumia spark k9

  Comment


  • #5
   nao tenho acesso a feecbook

   Comment


   • #6
    Nyie Tecno hamna jipya sasa hivi,kila toleo la cm ni uozo mtupu,Sasa hv tunahamia makampuni mengine yaliyobora zaidi

    Comment


    • #7
     Kampuni ya TECNO ni moja ya kampuni bora kabisa inayotengeza simu zenye ubora wa hali ya juu kwa sasa. Hata hivyo, maoni yako ni sehemu ya utoaji wa Huduma bora za TECNO hapa nchini na kwingineko duniani. Endelea kuwa na #TECNOSPOTTZ kwa Simu Kali na za kijanja...
     Originally posted by philipo chalya
     Nyie Tecno hamna jipya sasa hivi,kila toleo la cm ni uozo mtupu,Sasa hv tunahamia makampuni mengine yaliyobora zaidi

     Comment


     • #8
      Mpaka Nimeipata Kwa Sasa Namiliki Spark2...Ni Shiida..Iko Saf....

      Comment


      • #9
       naomba kuhuliz maana kuhuliz c ujinga kuna program fulani ivi ya kuingiz vocha kwa kuipiga picha vp kwa tecno spark2 au tecno zingine inawez kuwa na iyo program

       Comment

       Advanced Options
       Working...
       X
       Download the App for a More Fluid Experience
       DOWNLOAD