This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • USIKU WA UZINDUZI WA TECNO SPARK 2 Tanzania

  Inakuaje wadau wa TECNO Spot..
  Natumai mpo poa kabisa na shughuli za hapa na pale.

  Ebhana Kifaa Chetu tulichokua tunakisubiria sana kiliingia mjini bongo siku ya jumatano ya tarehe 20/06/2018.
  TECNO kama kawaida yao walidondosha party flani hivi amazing kwa ajili ya kujumuika pamoja na wadau wao katika kuitambulisha simu mpya ya TECNO Spark 2.


  Mpango mzima ulidondoka pale Tips Lounge Mikocheni. Hakika hapa TECNO walifanya vizuri sana kuchagua hii location sababu mandhari yake ni ya kuvutia sana

  Mimi kama kawaida yangu nakuja hapa kuwadondoshea inshu nzima ilivyoenda kwa matukio katika picha.


  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_170521_2.jpg
Views:	1
Size:	1.61 MB
ID:	16553

  Staff wa TECNO hapo akiweka mambo sawa katika kuandaa ukumbi kabla ya shughuli kuanza


  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_174113_1 - Copy.jpg
Views:	1
Size:	1.19 MB
ID:	16554


  Kama tunavyowajua kua TECNO hua hawapo mbali kwenye sekta nzima ya kutoa zawadi kwa wadau wake. Zawadi mbalimbali ziliandaliwa kwa ajili ya mashabiki na wageni.
  Kulikua na mashindano mbalimbali ambayo yalipelekea watu kushinda zawadi hizo.


  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_182413_3 - Copy.jpg
Views:	1
Size:	865.0 KB
ID:	16555


  Wageni walikaribishwa vizuri, huku wakiburudika na burudani mbalimbali wakiwa wanasubiria shughuli nzima ya kuitambulisha TECNO Spark 2 ianze.

  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_182844_9.jpg
Views:	1
Size:	1,009.2 KB
ID:	16556


  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_182905_7 - Copy.jpg
Views:	1
Size:	1.25 MB
ID:	16557


  Ebhana party ilibamba kinoma mpaka me mwenyewe nikawa nipo bize naburudika kushuhudia uzinduzi wa TECNO Spark 2.
  Hakika TECNO walijiandaa vyema kabisa kufanikisha uzinduzi huo.
  Nitadondosha baadhi ya picha kidogo hapo chini nilizofanikiwa kuzidaka kwenye tukio zima.


  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_201350_3.jpg
Views:	1
Size:	1.17 MB
ID:	16558
  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_201702_7.jpg
Views:	1
Size:	1.04 MB
ID:	16559
  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_204119_8.jpg
Views:	1
Size:	1.01 MB
ID:	16560
  Click image for larger version

Name:	IMG_20180620_204809_6.jpg
Views:	1
Size:	1.10 MB
ID:	16561


  Kwa ufupi hayo ndio niliyofanikiwa kuyadaka katika picha. Lakini mambo mengi sana yaliendelea siku ile.
  Raia walipata nafasi ya kutabiri mechi za kombe la dunia, kuangalia mechi, kupata zawadi kwa waliotabiri, kula, kunywa na mwishoe kucheza muziki mpaka majogoo.

  #WorldcupNaSpark2 • #2
  To get free robux then use free robux generater for the free robux and tixs generation for free.
  Free Online Roblox Robux and Ticket generator. A genuine website to get unlimited free robux and tickets. Perfect place to get Roblox resources online.

  Comment


  • #3
   noma sanaaaaaaaaa

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    hataree

  • #4
   vip bei yake ipo vip spark2

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    bei elekezi ni TShs. 280,000/=

  • #5
   wahhhh

   Comment


   • #6
    :0x1f494:
    Originally posted by shen
    wahhhh

    Comment


    • #7
     :0x1f494:hhhh

     Comment


     • #8
      Originally posted by shen
      wahhhh
      hello

      Comment


      • #9
       Originally posted by peculiarsunday
       Originally posted by shen
       wahhhh
       hello
       hhhh

       Comment


       • #10
        bei imepungua ama imepanda

        Comment

        Advanced Options
        Working...
        X
        Download the App for a More Fluid Experience
        DOWNLOAD