This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • JINSI YA KUSHIRIKI SHINDANO LA 'NIMEIONA SPARK 2'

  TECNO Spark 2 ni simu janja iliyoboreshwa zaidi ikiwa ni muendelezo wa toleo la Spark series. Ikiwa ni simu inayofanya vizuri iliyokuja na uwezo kabambe kabisa wa kufungua simu yako kwa kutumia sura yako (Face ID), tumeona ni vyema kutoa zawadi kwa wadau wetu kupitia shindano la "Nimeiona Spark 2"

  Tunafanya ziara katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania kuitambulisha Spark 2 pamoja na kujumuika na wadau wetu kuifurahia simu yetu pendwa ya Spark 2. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea page zetu za Instagram, Facebook na Twitter ambapo tutakua tunatoa taarifa kila siku asubuhi kuhusu eneo na mkoa tutakaokua siku hiyo.

  Jinsi ya kushiriki na kuweza kuibuka mshindi wa TECNO SPARK 2 fuata maelekezo yafuatayo:
  1. Piga picha ukiwa katika eneo la tukio ambapo timu yetu ya TECNO Spark 2 itakua ipo kwa wakati huo.
  2. Share picha hiyo kwenye akaunti yako ya mitandao ya kijamii (Instagram au Facebook)
  3. Kwenye Instagram tumia hashtag ifuatayo ikiendana na mkoa uliyoiona timu yetu, mfano #NimeionaSpark2.....(Mkoa uliopo). Mfano : kama ni Dar #NimeionaSpark2Dar , kama ni Mbeya #NimeionaSpark2Mbeya n.k.
  4. Kwenye facebook share picha yako kisha tag akaunti yetu, Tecno mobile Tanzania ili tuweze kuona picha yako.
  VIGEZO NA MASHARTI:
  • Ili kushiriki ni lazima uwe raia wa Tanzania
  • TECNO MOBILE Tanzania ina haki ya kuchagua washindi.
  • Post itakayokua na shares nyingi kwenye Facebook au likes nyingi kwenye Instagram ndio watakoibuka na zawadi kemkem kutoka kwetu ikiwemo na SPARK 2.
  • Wafanyakazi wa TECNO MOBILE hawaruhusiwi kushiriki.

 • commented on 's reply
  Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset

 • replied
  sim yangu spark 2 ikijizima mwanga wake baada ya kumaliza kufanya lolote haiwaki Tena adi niizime kabisa ianze moja nisaidieni solution

  Leave a comment:

 • replied
  Originally posted by olafalto
  tecno mpo vizuri ila spark kwanini inahitaji kuapdate muda wote system yake msaada
  Hapo Ndoo kuna shida kabibsa

  Leave a comment:

 • replied
  helo

  Leave a comment:

 • replied
  Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180901_164600.jpg
Views:	1
Size:	247.9 KB
ID:	17855
  Originally posted by TECNO SPOT TZ
  TECNO Spark 2 ni simu janja iliyoboreshwa zaidi ikiwa ni muendelezo wa toleo la Spark series. Ikiwa ni simu inayofanya vizuri iliyokuja na uwezo kabambe kabisa wa kufungua simu yako kwa kutumia sura yako (Face ID), tumeona ni vyema kutoa zawadi kwa wadau wetu kupitia shindano la "Nimeiona Spark 2"

  Tunafanya ziara katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania kuitambulisha Spark 2 pamoja na kujumuika na wadau wetu kuifurahia simu yetu pendwa ya Spark 2. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea page zetu za Instagram, Facebook na Twitter ambapo tutakua tunatoa taarifa kila siku asubuhi kuhusu eneo na mkoa tutakaokua siku hiyo.

  Jinsi ya kushiriki na kuweza kuibuka mshindi wa TECNO SPARK 2 fuata maelekezo yafuatayo:

  1. Piga picha ukiwa katika eneo la tukio ambapo timu yetu ya TECNO Spark 2 itakua ipo kwa wakati huo.
  2. Share picha hiyo kwenye akaunti yako ya mitandao ya kijamii (Instagram au Facebook)
  3. Kwenye Instagram tumia hashtag ifuatayo ikiendana na mkoa uliyoiona timu yetu, mfano #NimeionaSpark2.....(Mkoa uliopo). Mfano : kama ni Dar #NimeionaSpark2Dar , kama ni Mbeya #NimeionaSpark2Mbeya n.k.
  4. Kwenye facebook share picha yako kisha tag akaunti yetu, Tecno mobile Tanzania ili tuweze kuona picha yako.

  VIGEZO NA MASHARTI:
  • Ili kushiriki ni lazima uwe raia wa Tanzania
  • TECNO MOBILE Tanzania ina haki ya kuchagua washindi.
  • Post itakayokua na shares nyingi kwenye Facebook au likes nyingi kwenye Instagram ndio watakoibuka na zawadi kemkem kutoka kwetu ikiwemo na SPARK 2.
  • Wafanyakazi wa TECNO MOBILE hawaruhusiwi kushiriki.

  Leave a comment:

 • replied
  Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180729_174654.jpg
Views:	1
Size:	74.6 KB
ID:	17160

  Hello there...how you doing

 • commented on 's reply
  Bei elekezi ya Spark 2 ni TShs. 280,000/=

 • replied
  hi all

  Leave a comment:

 • replied
  bei gani hiyo spak2

  Leave a comment:

 • commented on 's reply
  Spark 2 inatumia Android Oreo Go version, ndio maana kunakua na hizo apps za google optimized efficient kabisa for those kind of devices like Spark 2.
  I believe in time you will come to love Google photos app as it indeed has many good features.

 • commented on 's reply
  Kuupdate system ni jambo zuri katika simu yako. Hii ni kwa sababu hua inaongeza ulinzi na baadhi ya functions katika simu yako.
  Kwahiyo usishangae kwanini kila wakati unaweza ukaambiwa uupdate system yako.

 • replied
  Its a gud phone sema mmeinyima Gallery app as in other models tuna My Picture some of us dont use Google Photos it bores

  Leave a comment:

 • replied
  tecno mpo vizuri ila spark kwanini inahitaji kuapdate muda wote system yake msaada

  Leave a comment:

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD