This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • AMSHA AMSHA ZA SPARK 2 Tanzania

  Inakuaje wadau wa T-Spotters..
  Leo nawaletea channel yetu ya YOU Tube ambapo inabidi uende ukasubscribe ili uweze kua wa kwanza kujionea videos zetu tunazokua tunandaa..

  Link ya Channel yetu ni hii hapa: TECNOTanzania

  Twende tukajionee baadhi ya videos za hivi karibuni..

  Fungua Simu yako kwa kutumia Uso wako..


  Angaza kila nyakati za Maisha yako..


  Full review ya Spark 2..


  Wadau mjini wakiizungumzia Spark 2..


  Basi ndo hivyo watu wangu wa nguvu..
  Tuzindi kutembelea TECNO Spot forum kwa kujuzana mambo mengine mengi.
 • #2
  nice one

  Comment


  • #3
   tayr nimesubscribe

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    umetisha sana!

  • #4
   tecno is the best phone

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    you can say that again!

  • #5
   tiari Subscribed #AmshaAmshaZaSpark2 #VimbaNaSpark2

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Umetisha sana aysee

  • #6
   #pamoja xana

   Comment


   • #7
    tyar

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     namna hiyo

   • #8
    Naomba link ya youtube

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     ipo juu pale mkuu

   • #9
    nimesha subscribe

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     upo juu!

   • #10
    Tecno ni bombaa

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     hakika!

   • #11
    nakubali chama la wana

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     hahahaha....chama la wana

   • #12
    Originally posted by Lawiclassic
    Naomba link ya youtube
    hi

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Hello...how you doing

   • #13
    nataka Mtu wa kuoa

    Comment


    • #14
     mmmmhhh kilamtu na zake

     Comment


     • #15
      SPARK2 sijaiona gallery au my picture Kama ile ya kwenye K7 na K8. pia hakuna kubadili font style Kama K8. wakati uwezo ziko sawa

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       Kuhusu Gallery au My Picture, Tafadhali tumia app ya Photos
     Advanced Options
     Working...
     X
     Download the App for a More Fluid Experience
     DOWNLOAD