This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO VIMBA Season kuelekea ukingoni, wahi sasa! Tanzania

  Kampuni yetu pendwa ya TECNO, hapo mnamo mwanzoni wa mwezi huu wa saba walikuja na ofa kabambe sana, hii ni zaidi ya sabasaba. TECNO Vimba Season hakika ndio habari ya mjini katika mwezi huu.

  TECNO wanakuletea punguzo kabambe kabisa la bei katika kila simu utakayonunua kwenye maduka yao pendwa. Kama hiyo pia haitoshi, unapata nafasi ya kushinda zawadi nyingi ikiwemo zawadi za simu.

  Unachotakiwa kufanya ni kutembelea maduka yetu ya kipekee, nunua simu ya TECNO, kisha utapata nafasi ya kushiriki kwenye 'Lucky Draw' hapohapo dukani ambapo utaweza kujishindia zawadi kemkem. Zawadi zitakazoshindaniwa kwenye 'Lucky Draw' ni pamoja na simu (Spark 2, Spark, Camon X Pro, Camon X, Camon CM, F3, F2), Birika la Umeme, Pasi na zawadi nyingine nyingi.

  Sasa unasubiri nini?! Msimu huu wa Vimba season unamalizika tarehe 30/07/2018. Kama unavyoona hapo mdau ni kwamba umebakiwa na wiki hii tu! Bila ya kuchelewa, wahi sasa kutembelea maduka ya TECNO na ujinunulie simu yako mpya kabisa ili uweze kufurahia punguzo kubwa la bei na pia upate kujishindia zawadi kemkem.

  Pia usisahau kua unaweza kujishindia tena zawadi kwa kupiga picha yeyote yenye element ya 'TECNO Vimba' ukiwa dukani hapo na upost kwenye IG & FB. Usisahau kuweka hashtag ya #TECNOVimbaseason kwenye IG, na kututag @ TECNO Mobile Tanzania kwenye FB. Share kadri uwezavyo na utakua na nafasi ya kushinda simu mpya kutoka TECNO.
Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD