This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• JINSI YA KUZUIA 'POP UP ADS' KWENYE SIMU YAKO Tanzania

Yale matangazo (Pop Up Ads) yanayotokeaga tu pindi unatumia simu yako au muda ambao simu yako ipo tu Idle, sio siri hua yanaudhi sana

Bila ya kusahau kiasi kikubwa cha data bundle kinachotumika kuload matangazo hayo.

Nikiongea kutokana na uzoefu wangu, hua inanibidi nifunge apps na ads nyingi tu ambazo hua zinatokeaga kwenye simu yangu. Na hii hutokeaga mara kwa mara na hakika hua inanisumbua sana.

Zipo njia za kuondoa au kuzuia hizo Ads kutokea kwenye simu yako, zipo njia ambazo zinahitaji wewe kudownload app nyingine kutoka playstore. Lakini katika Makala hii, nitakuelekeza jinsi ya kuzuia ads hizo kutokea kwenye simu yako bila ya kudownload application nyingine yeyote.

HATUA YA KWANZA: Nenda kwenye Settings na uingie kwenye Apps

HATUA YA PILI: Chagua kila app, moja baada ya nyingine na uchague disable background data usage (kwa kuichagua hiyo app, chagua Data Usage na kisha click on Background data)

Katika hatua hii ya pili, unafanya hayo maelekezo kwenye app moja moja huku ukiangalia kama Tatizo bado lipo au la. Mpaka hapo utakapoijua ni app gani ambayo umefata hayo maelekezo yote na ads zikaacha kutokea.

HATUA YA TATU: Rudi kwenye home screen. Tatizo litakua limeisha!!!
Last edited by TECNO SPOT TZ; 08-18-2018, 04:22 PM.

• #2
Lakini sasa uki restrict background data usage kwenye some apps, eg whatsapp,Hutoweza kupata msgs on real time. Yani itabidi ufungue app ya whatsapp ndio msg ziingie

Originally posted by waku7bisha

Comment

• #3
yeah sure. ndio maana unarestrict apps ambazo unasuspect zina shida....moja baada ya nyingine. mpaka utaona ipi ambayo inatatua tatizo.
Originally posted by chaz1990
Lakini sasa uki restrict background data usage kwenye some apps, eg whatsapp,Hutoweza kupata msgs on real time. Yani itabidi ufungue app ya whatsapp ndio msg ziingie

Originally posted by waku7bisha
Yale matangazo (Pop Up Ads) yanayotokeaga tu pindi unatumia simu yako au muda ambao simu yako ipo tu Idle, sio siri hua yanaudhi sana

Bila ya kusahau kiasi kikubwa cha data bundle kinachotumika kuload matangazo hayo.

Nikiongea kutokana na uzoefu wangu, hua inanibidi nifunge apps na ads nyingi tu ambazo hua zinatokeaga kwenye simu yangu. Na hii hutokeaga mara kwa mara na hakika hua inanisumbua sana.

Zipo njia za kuondoa au kuzuia hizo Ads kutokea kwenye simu yako, zipo njia ambazo zinahitaji wewe kudownload app nyingine kutoka playstore. Lakini katika Makala hii, nitakuelekeza jinsi ya kuzuia ads hizo kutokea kwenye simu yako bila ya kudownload application nyingine yeyote.

HATUA YA KWANZA: Nenda kwenye Settings na uingie kwenye Apps

HATUA YA PILI: Chagua kila app, moja baada ya nyingine na uchague disable background data usage (kwa kuichagua hiyo app, chagua Data Usage na kisha click on Background data)

Katika hatua hii ya pili, unafanya hayo maelekezo kwenye app moja moja huku ukiangalia kama Tatizo bado lipo au la. Mpaka hapo utakapoijua ni app gani ambayo umefata hayo maelekezo yote na ads zikaacha kutokea.

HATUA YA TATU: Rudi kwenye home screen. Tatizo litakua limeisha!!!

Comment

• #4
https://www.parsaya.com/wedding-card

Comment

• #5
hii itasaidia snna mfano kwny app ya uc browser huwa wana matangazo ya ajabu snaa na yaliyopitwa na wakati sas hapa nimewaweza

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Hahahahaha….kweli bro. Sasa utatamba tu!

• #6
jaman natumia tecno camn CA8 nashindwa kuseti hi font,, mankila nikijaribu kuset ina goma,, tatizo ni nini,,??

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari MICHAEL mchau , Pole sana kwa Tatizo lako.
Ili kuweza kubadilisha fonts kwenye simu yako, nenda kwenye Settings > Themes > kisha chagua font unayotaka.

Kama unataka kupata 'Hi Font' , Unaweza kudownload hiyo app kutoka kwenye Playstore

• #7
1111

Comment

• #8
gisi ya kupunguza consommation ya mega

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD