This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #16
how do I delete inbuilt app

Comment

• #17
Originally posted by leonilabihemo
naomben kujua jinsi ya setting ya memory card maana nimeweka lkn bado simu inaniambia internal full sasa hyo external nimeweka lkn bado msaada jaman

Nenda setting, then storage kisha chagua memory card

Comment

• #18
naombeni msaada huo

Comment

• #19
naombeni msaada, baada ya kuona simu imejaa nikaanza kufuta baadhi ya mafaili, sasa nimekuta simu haitoi sauti licha ya kuwa setting zote za sauti nimeweka high. Hats miziki na video hazitoi sauti

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
back up data zako na ufanye factory reset

• #20
ni Techno l9 plus

Comment

• #21
thanks

Comment

• #22
Ukiingia kwenye file manager utaziona kila pocha au video unayoifungua na kuiangalia huwa inajesave tena,,, kwaito unakuta picha moja ipo mara mbili kwenye simu iyo ndo thumbnail
Originally posted by Hungwi
Originally posted by farrakhan jr
kufuta thumbnails too
ndio vitu gan ivo

Comment

• #23
Originally posted by leonilabihemo
naomben kujua jinsi ya setting ya memory card maana nimeweka lkn bado simu inaniambia internal full sasa hyo external nimeweka lkn bado msaada jaman

Hii ulijibiwa?

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD