This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Pata Ufumbuzi wa Tatizo lako kwa haraka hapa TECNO Spot Tanzania

  Wakati tunakabiliwa na changamoto au ugumu, ni haki kutafuta ushauri kutoka kwa mtaalam (mtu mwenye ujuzi kabisa juu ya changamoto zetu).

  Hata hivyo kiuhalisia (ukizungumzia juu ya jukwaa hili) sisi mara nyingi huamini kwamba admins au maafisa wa Tecno tu ndo wanastahili kutatua matatizo yetu, hivyo tunawajazia wao maujumbe kibao (PM, maoni, nk) na wakati majibu yakiwa hayajakuridhisha au kama vile yamechelewa, sisi tunalalamika au hata wakati mwengine kupaniki kwa hasira.

  Badala ya kuelekeza maswali yako yote kwa admins au maafisa (isipokuwa unafikiri hakuna mtu anaweza kuwa na majibu ya swali lakini wao) , kwanini usijaribu kuwaelekezea wadau wote wa jukwaa hili na kuona kama ungependa kupata msaada wowote. Kuna watu wenye uelewa mkubwa sana humu wa maswala ya teknolojia na wenye uwezo wa kutusaidia katika kutatua changamoto zetu za hapa na pale. Ukiwashirikisha wadau wote wa humu changamoto zako, utapata msaada wa haraka sana.

  Tunaweza kusaidiana pamoja, kutatua matatizo ya kila mmoja wetu, kukabiliana na changamoto pamoja, kutabasamu pamoja, kupambana pamoja na kubadilishana mawazo pamoja.

  Jukwaa hili lina watu wengi binafsi, wasomi na wenye upeo mkubwa sana, watumie vizuri.

 • #2
  simu yangu kama sijawasha data kwa mda mrefu tu huwa inatulia lakini nitakapokuja kuwasha data huwa inakuwa nzito kana kwamba vitu vimejaa na huwa inaniandikia app not respnd kwa hyo nn ttzo nataka kufaham maana tokea niiinue hata mwezi bhado
  Last edited by 786106911; 08-25-2018, 06:39 PM.

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, unatumia simu gani?
   Tafadhali Hakikisha simu yako haijajaa. Pia hakuna applications zinazorun kwenye background.
   Pia tumia application ya Hi Manager / Phone master ku clear apps caches na kufuta junkie files. Kisha reboot simu yako

 • #3
  simu yangu upande wa camera imegoma kupiga picha k9

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
   Inaleta error gani? Ujumbe gani unatokea?

 • #4
  Tecno simu yangu ni wx3 tatizo lake inasumbua pindi unapowasha internet

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, inasumbua kiaje? Tafadhali tupe maelezo zaidi

 • #5
  simu yangu techno k9 plus imegoma kupiga picha sijui shda ni nn

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Inakuletea ujumbe gani?

 • #6
  @ramadhanimaleka, tafadhari ipeleke simu yako...Carl care iliyo karibu na ww

  Comment


  • #7
   ye phone gatiya

   Comment


   • #8
    K7 tecno yangu inaganda sana mpaka inakela inapofunguliwa data sijajua nifanyaje hili tatzo lihishe

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
     Hakikisha storage yako haijajaa au haijakaribia kujaa. Pia Hakikisha hua hauna applications zinazorun kwenye background.
     Pia nenda kwenye app ya Hi Manager / Phone master na ufute junkie files na uclear cache, kisha restart simu yako

   • #9
    W5lte yangu inasumbua sana GPS nikitumia app zinazotumia Ramani mfano (uber driver, taxfy driver) hata google map yenyewe yani hazinionyeshi location husika niliopo inapoteza poteza tu

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, hilo sio Tatizo la simu. Ni kulingana na mtandao na mahali ulipo.
     Ukiwa kwenye sehemu ambayo network ipo vizuri, GPS itafanya kazi vizuri

   • #10
    Sim yangu ni W3 tatizo ni kuwa nikiingia kwenye MY PICTURE sometime inazinguaga huwa inaandika ghafla et, UNFOUNDED,MY PICTURE HAS STOPPED halaf chini yake naandikiwa OK nikiicklik tu inarudi kwenye HOME PAGE apo tatzo ni nini wakuu. Msaada tafadhali make inaniboa mara nyingi

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
     Tafadhali nenda kwenye settings > apps > bonyeza ile alama ya dots tatu na uchague show system apps > Scroll utafute my pictures > ingia na clear cache > kisha restart simu yako.

   • #11
    kwa nn uki flash tecno k7 lain 2 haisomi

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana.
     Usipendelee kuflash simu yako..kwa maana hua baadhi ya muda hua inasumbua na unapoteza warranty.
     Tafadhali peleka simu yako kwenye ofisi zetu za Carlcare zilizopo karibu nawe.
     Upo maeneo gani ndugu?

   • #12
    please i need help my phone k7 always fail to aplay another font

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Hello, go to Hi Theme and select the Hi Font tab to choose a font you want.

   • #13
    nahitaji PC suite ya tecno spark 2

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, hamna TECNO PC Suite

   • #14
    Originally posted by 712811373
    simu yangu upande wa camera imegoma kupiga picha k9
    Tecno K9 zina matatizo sana hasa ya ku stack.

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
     Hakikisha storage yako haijajaa au haijakaribia kujaa. Pia Hakikisha hua hauna applications zinazorun kwenye background.
     Pia nenda kwenye app ya Hi Manager / Phone master na ufute junkie files na uclear cache, kisha restart simu yako .

   • #15
    simu yangu ni techno K7 hua inatabia yakuonesha neno "Facebook isn't responding" kinawezaje kutoka?

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
     Tafadhali nenda kwenye settings > Scroll utafute facebook > ingia na clear cache > kisha restart simu yako.
   Advanced Options
   Working...
   X
   Download the App for a More Fluid Experience
   DOWNLOAD