This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #16
  Jaman msaada jinsi ya kudownload zile Hi fonts maana mimi nikijarib zinashindwa kudownload

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, nenda kwenye Hi Theme na uchague tab ya Hi Font kisha badilisha na uchague font unayoitaka

 • #17
  Originally posted by ndunajr
  Originally posted by 712811373
  simu yangu upande wa camera imegoma kupiga picha k9
  Tecno K9 zina matatizo sana hasa ya ku stack.
  Nifanyeje ili irudi kawaida maana nishajaribu kuset ,nime restart lakini wapi nisaidie

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   back up data zako na ufanye factory reset

 • #18
  sorry guys simu yangu imepasuka kioo nahitaji msaada wa kufahamu office za Tecno zipo wap kwa hapa Dar na cost yake sh ngap

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, pole sana.
   Tafadhali tembelea ofisi zetu za Carlcare zilizopo Kariakoo na Samora posta ili uweze kupata msaada wa Tatizo lako
   Fungua application ya Carclare kwenye simu yako kupata maelezo yote.

 • #19
  Masada Sm yangu rear camera haifanyi kz k7

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
   Tafadhali tueleze vizuri ujumbe wa error unaoupata, pia tutumie screenshot.

 • #20
  wala haiwashi torch

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Nenda kwenye setiings > apps > bonyeza alama ya dots tatu zilizopo juu kulia na uchague "show system apps" >scroll chini utafute applications za Flashlight na Camera > Ingia kwenye hizo apps moja moja na clear cache. Kisha restart simu yako

 • #21
  naomba niulize kuna Yeyote amejibiwa

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Ndio ndugu, tunayachukulia matatizo ya wateja wetu kwa umakini sana.
   Tayari tumeshajibu juu

 • #22
  Originally posted by mtegele
  naomba niulize kuna Yeyote amejibiwa
  me mwnyw cjajibiwa

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Tayari Tatizo lako limejibiwa

 • #23
  Mbona application ya palmchat haifanyi kazi Ktk camon x?????

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, Inakuletea ujumbe gani?

 • #24
  Jmn cm yng k9 camera imegoma pa1 na toch inaandka camera isnt responding shda nn

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Pole sana kwa Tatizo lako.
   Tafadhali nenda kwenye setting > apps > bonyeza ile alama ya dots tatu iliyopo juu kulia na uchague "show system apss" > scroll mpk kwenye camera > ingia na uchague clear cache > restart simu yako.

 • #25
  ebana naomba msaada mnisaidie cm yang ni Tecno spark k7 samtime inazingua kwa upande wa text huwa zinaingia kimya kimya bila mlio wowote wala vibration mwanzo nili restore likaondoka lile tatizo lkn limejirudia tena

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, nenda kwenye notifications settings na uangalie message notification settings zipoje.

 • #26
  led lights za kwny tecno w4 haziwakii

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Tafadhali tuelezee Tatizo lako Zaidi, zilikua zinawaka mwanzoni..?

 • #27
  simu yangu W3 inasumbua Hios stating nikiwasha tiba yake ni nini?

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   habari, pole sana kwa Tatizo lako.
   HiOS inasumbua vipi? Inakuletea ujumbe gani?

 • #28
  k7 inazingua kinoma nikiwasha date inapata moto sio kawaida na inakuwa slow sana

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, pole sana kwa Tatizo lako.
   Tafadhali tuwe tunajizoesha kusoma maelezo na sifa za simu kabla ya kuinunua ili tujue jinsi gani ya kuitumia na applications zipi za kuzitumia.
   TECNO wanatoa simu nyingi na tofautitofauti kulingana na matumizi na bajeti ya kila mtu.
   Mfano unajua kiasi cha RAM cha simu yako? K7 ni mid range device na inabidi uhakikishe haijajaa au haijakaribia kujaa, Pia Hakikisha hauna applications zinazorun kwenye backgrounds. Mara kwa mara uwe unaenda kwenye Phone Master / Hi Manager kuclear cache na kudelete Junkie Files

 • #29
  nauliza bei ya kioo k9

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Tafadhali tembelea ofisi zetu za Carlcare zilizopo karibu nawe ili uweze kubadilishiwa kioo na kusaidiwa Tatizo lako.
   Upo wapi ndugu?

 • #30
  cm yangu ni phanton 6 plus imekufa power nifanyeje kumpata fundi wenu?

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Pole sana kwa Tatizo lako.
   Tafadhali tembelea ofisi za Carclare zilizopo karibu nawe ili uweze kupata msaada wa Tatizo lako.
   Upo wapi ndugu?
Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD