This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #31
  tatzo la simu yang n upand mmoja wa lain hausom lain na ubao wa notification haushuk aina ya simu ni K7

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Jaribu kuweka line nyingine uone kama Tatizo ni line, au ni huo upande hausomi.
   Kama ukigundua kua ni huo upande mmoja wa line hausomi, Tafadhali tembelea ofisi zetu za Carlcare zilizopo karibu nawe.
   Upo wapi ndugu?

 • #32
  Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180902_191016.jpg
Views:	1
Size:	85.0 KB
ID:	17873
  Originally posted by mtegele
  wala haiwashi torch

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari. Nenda kwenye settings > apps > bonyeza ile sehemu yenye dots tatu na uchague "show systems apps" > kisha scroll utafute Flashlight na uingie ubonyeze "clear cache"

 • #33
  sim yangu camon cx tatizo langu ukija kwenye na sms imeingia hauwezi kushusha ili uisome sms hadi urudi kawaida ndo ushushe sijui tatizo nn?

  Comment


  • #34
   Mimi Nina N8 ila tukija kwenye internet inapanda 4G Tigo pekeyake na lain zinging inapanda 2G na tigo kama tunaavyojua vifulushi vya internet Hawapo vizuri sa nifanyeje ili na mitandao mengine ipande 4G

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Habari, unatumia simu gani?

  • #35
   simu yangu ni camon cx, tatizo la simu yangu kunamafali nikiya update yanakataa, kuna cloud backup, na transfer, na yamefanya simu kuwa nzito kwenye upande wa internet,

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Habari. Tafadhali jaribu kuziunistall hizo apps na uzi install upya

  • #36
   C9 inadhindwa ku-update. inaleta error. installed ni HiOs 6, vrsion 1.1.0 ya tangu 2016. naweza Fanya manually? ntapataje hilo file? naweza kubadili OS nikaweka 7 au 8? asante

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Habari, Umeletewa update yeyote?
    Kama umeletewa update, Hakikisha una storage ya kutosha na pia upo sehemu yanye mtandao mzuri

  • #37
   hi simu yangu TECNO WX3LTE mtu akinipigia sisikii,simu Haiti Kwa ujumla mfumo wa sauti unasumbua hata nikitumia headphone sisikii chochote tatizo litakuwa nini

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Habari. Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset

  • #38
   Install ,register to get airtime ??????<br />
   https://dent.app.link/eRD9iNmmXP<br />
   <br />
   any country

   Comment


   • #39
    Nisaidieni hapa
    Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180908_065328.jpg
Views:	1
Size:	43.5 KB
ID:	17979

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Close app, Hakikisha hauna apps nyingi running in the background. Hakikisha una nafasi ya kutosha ya storage.
     Kua na desturi ya kuclear apps cache

   • #40
    sim yangu ni tecno W5 tatizo linalonisumbua Ni charge yaani ikifika 10% yaani huwa zinashuka ghafla mpaka inazma ndan ya mda huohuo. je shida ni nn!? naomba msaada jaman

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari. Hakikisha unatumia chaji orijino yenyewe kabisa iliyokuja na simu. Fanya back up ya data zako na ufanye factory reset.
     Endelea kuchaji kama kawaida ukiwa unatumia chaji orijino yenyewe kabisa iliyokuja na simu

   • #41
    Nahitaji kutoa icon ya duara ambayo ipo muda wote kwenye display katika android 7.0 Tecno Pop one

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Fungua app ya T Point na uweke off

   • #42
    tecno pop 1 hazikai chaji hata kidogo natamani niitupe

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari. Tafadhali tambua ya kua ukaaji wa chaji wa simu yako inategemea na jinsi unavyotumia simu yako. Kama unaitumia simu yako sana, ni lazima hata chaji yake ipungue kwa haraka.

   • #43
    mbona k7 ukiwa hear phone ukizitoa bado inatoa notification kuwa head phone bado zinatumika wakat ishazichomoa

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa tatizo lako. Ukiona alama bado ipo kwenye notification bar ya kuonesha kua earphone bado imechomekwa wakati ukiwa umeichomoa, Tafadhali restart simu yako.

   • #44
    mm simu yangu uwa in a Hitachi techno k7 tatizo nn naomba msaada

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     Habari, Tafadhali elezea vizuri Zaidi tatizo lako.
     Kama unamaanisha kua simu yako haitachi kwenye screen, Tafadhali tembelea ofisi zetu za Carlcare zilizopo karibu nawe.
     Upo wapi ndugu?

   • #45
    Click image for larger version

Name:	TSIMG_20180915_175433.jpg
Views:	1
Size:	34.6 KB
ID:	18109
    Originally posted by waku7bisha
    Wakati tunakabiliwa na changamoto au ugumu, ni haki kutafuta ushauri kutoka kwa mtaalam (mtu mwenye ujuzi kabisa juu ya changamoto zetu).

    Hata hivyo kiuhalisia (ukizungumzia juu ya jukwaa hili) sisi mara nyingi huamini kwamba admins au maafisa wa Tecno tu ndo wanastahili kutatua matatizo yetu, hivyo tunawajazia wao maujumbe kibao (PM, maoni, nk) na wakati majibu yakiwa hayajakuridhisha au kama vile yamechelewa, sisi tunalalamika au hata wakati mwengine kupaniki kwa hasira.

    Badala ya kuelekeza maswali yako yote kwa admins au maafisa (isipokuwa unafikiri hakuna mtu anaweza kuwa na majibu ya swali lakini wao) , kwanini usijaribu kuwaelekezea wadau wote wa jukwaa hili na kuona kama ungependa kupata msaada wowote. Kuna watu wenye uelewa mkubwa sana humu wa maswala ya teknolojia na wenye uwezo wa kutusaidia katika kutatua changamoto zetu za hapa na pale. Ukiwashirikisha wadau wote wa humu changamoto zako, utapata msaada wa haraka sana.

    Tunaweza kusaidiana pamoja, kutatua matatizo ya kila mmoja wetu, kukabiliana na changamoto pamoja, kutabasamu pamoja, kupambana pamoja na kubadilishana mawazo pamoja.

    Jukwaa hili lina watu wengi binafsi, wasomi na wenye upeo mkubwa sana, watumie vizuri.

    Comment

    Advanced Options
    Working...
    X
    Download the App for a More Fluid Experience
    DOWNLOAD