This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #76
hakuna majibu yoyote. ukiwasha kamera inawaka ya mbele hakuna option ya kamera ya nyuma.

logo la flashlight imefifia na hai respond hata ukibonyeza yaani ni kama haipo.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset

• #77
CX yangu inasumbua finger print bado mpya

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Inasumbuaje? Inakuletea ujumbe gani?

• #78
Kwa nn simu yangu nikifungua data au nikiwa ndan ya app kw mda mrefu lazima itakwama kwma tu nn suluhisho la hili ttz

Comment

• #79
Originally posted by Bussu
sim yangu ni tecno W5 tatizo linalonisumbua Ni charge yaani ikifika 10% yaani huwa zinashuka ghafla mpaka inazma ndan ya mda huohuo. je shida ni nn!? naomba msaada jaman
Hili ttz pia kwngu lipo na ikifika asilimia 99 wakt w kichaji iyo moja kujaaa inachukua mda mrefu

Comment

• #80
Originally posted by Deadbon
simu yangu hai uppdate system
umeletewa ujumbe wa ku update?

Comment

• #81
Originally posted by kentpol
kuROOT simu ni salama?
si salama

Comment

• #82
sim yangu mm ina tatizo,kila nikifungua data,inaniambia system it's not responding ,shida ni nn,

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Hakikisha hauachi apps nyingi zikirun on the background. Pia futa mafaili na applications ambazo huzitumii.

• #83
nahitaji screeen ya tecno camoon x air

NICHEK

0657947584

be srrious

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali fika kwenye ofisi zetu za carlcare zilizopo karibu nawe

• #84
simu yangu ni k7 hai rotate video hatakama nikiwa nime bonyeza ile buton ya ku rotate video

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Hakikisha umeweka rotate option on kutoka kwenye notification bar shortcuts.

• #85
? yangu haifanyi kazi kwenye cm

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
nini hiyo haifanyi kazi kwenye simu

• #86
fonts style nazipata wapi natumia tekno f3 pop 1

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali subiri tatizo likitatuliwa, utaletewa update. Maana hiyo feature iliondolewa na Google wenyewe

• #87
simu yangu in techno LA7 front haipo imeondoka naomba nitairudishaje

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
hiyo feature ilitolewa na Google wenyewe. Hata hivyo Engineers wetu wanashughulikia hilo swala. Ikiwa tayari utaletewa update yenye kutatua swala la fonts

• #88
simu yangu fouvoir 2 program ya front imeondoka nahitaji kuirudisha nitairudishaje

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
hiyo feature iliondolewa na Google wenyewe. Tafadhali subiria kama likitatuliwa, itatolewa update ya kutatua tatizo hilo.

• #89
simu yangu k7 inajiwasha Bluetooth ata nikizima nifanyeje?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Nenda kwenye settings, apps, show system apps, tafuta Bluetooth na clear cache and data. Kisha restart simu yako.

• #90
front haiwez kudownload tcno k7

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD