This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • my phone is Tecno spark 2 k7 ...just that iko na shida ya network....az in network is too low it can't download anything.....please if you will,,ae beg for your help

  Comment


  • simu yangu ni Tecno W5 inatatizo ya kutokufungua bluetooth na wi-fi naomba msaada juu ya hili.

   Comment


   • simu yangu tecno WX4 lakini haina HI FONT msaada namben msaada

    Comment


    • jamani hivi naweza kuiupdate camon 11 kwenda android 9.0

     Comment


     • sim yangu tecno C11 haitaki kuunga wireless kwenye computer shida nini

      Comment


      • naomba kujua kwa nn cm yangu tecno spark k7 inakula data sn na haina app nyingi zinazo tumia data zaid ya tsapp na inster tu

       Comment


       • simu yangu ni tecno phantom 8 inasumbua kusev picha ina andika hios launcher has stopped

        Comment


        • Mimi tatizo langu ni kwamba nilikuwa nacheza game la pes 19 kwenye spark k8 vizuri bila shida but now nimenunua camon 11 napata tatizo la graphics na kila nikiset may be developer option but still naona wachezaji vichwa vinakaa upande any assistance please!

         Comment


         • hi...why is my k8 not working with otg cable

          Comment


          • msaada naweza kupata toach na screen yake ya tecno P904 kwa bei gani?

           Comment


           • waku7bisha commented
            Editing a comment
            tafadhali fika katika ofisi zetu za Carlcare.
            Asante.

          • naomba maelekezo jins ya kubadilisha font style kwenye cm yangu Tecno spark 2

           Comment


           • waku7bisha commented
            Editing a comment
            Huduma hiyo iliondolewa na Google wenyewe.
            Hata hivyo wataalamu wetu wanalishughulikia swala hilo.
            Tafadhali Hakikisha unafanya updates mara kwa mara na pindi itakapokua tayari, utafahamishwa.

          • tatizo langu nikwamba niki install facebook baada ya siku 1 ina uninstall automatically sijui tatizo ninin?

           Comment


           • waku7bisha commented
            Editing a comment
            Hakikisha unafanya updates kwenye simu yako mara kwa mara kisha back up data zako na ufanye factory reset

          • Simu yang ni K7 inastaki sana jaman nikifungua2 data yani ninzito sana naomben msaada wakubwaa

           Comment


           • waku7bisha commented
            Editing a comment
            Hakikisha hauna apps running in the background. Pia back up data zako na ufanye factory reset

          • Tecno cammon 11<br />
           <br />
           kwenye upande wa applock ina lock app zote kasoro ya "setting" kwa nini inashindwa Ku lock setting app

           Comment


           • Originally posted by kadalida
            sim yangu mm ina tatizo,kila nikifungua data,inaniambia system it's not responding ,shida ni nn,
            <br />
            <br />
            simu yangu pia ina hili tatizo na ikiniandikia hvo kunakua na kialama ? kama hicho

            Comment

            Advanced Options
            Working...
            X
            Download the App for a More Fluid Experience
            DOWNLOAD