This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Pata Ufumbuzi wa Tatizo lako kwa haraka hapa TECNO Spot

  Wakati tunakabiliwa na changamoto au ugumu, ni haki kutafuta ushauri kutoka kwa mtaalam (mtu mwenye ujuzi kabisa juu ya changamoto zetu).

  Hata hivyo kiuhalisia (ukizungumzia juu ya jukwaa hili) sisi mara nyingi huamini kwamba admins au maafisa wa Tecno tu ndo wanastahili kutatua matatizo yetu, hivyo tunawajazia wao maujumbe kibao (PM, maoni, nk) na wakati majibu yakiwa hayajakuridhisha au kama vile yamechelewa, sisi tunalalamika au hata wakati mwengine kupaniki kwa hasira.

  Badala ya kuelekeza maswali yako yote kwa admins au maafisa (isipokuwa unafikiri hakuna mtu anaweza kuwa na majibu ya swali lakini wao) , kwanini usijaribu kuwaelekezea wadau wote wa jukwaa hili na kuona kama ungependa kupata msaada wowote. Kuna watu wenye uelewa mkubwa sana humu wa maswala ya teknolojia na wenye uwezo wa kutusaidia katika kutatua changamoto zetu za hapa na pale. Ukiwashirikisha wadau wote wa humu changamoto zako, utapata msaada wa haraka sana.

  Tunaweza kusaidiana pamoja, kutatua matatizo ya kila mmoja wetu, kukabiliana na changamoto pamoja, kutabasamu pamoja, kupambana pamoja na kubadilishana mawazo pamoja.

  Jukwaa hili lina watu wengi binafsi, wasomi na wenye upeo mkubwa sana, watumie vizuri.

 • replied
  msaada Jaman kuusu Hi font

  Leave a comment:


 • replied
  simu kutosapoti kompasi dira simu aina tecno phantom 6 plus

  Leave a comment:


 • replied
  Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190821_164117.jpg
Views:	1
Size:	72.1 KB
ID:	24604
  Originally posted by Namputa
  Nahitaji kutoa icon ya duara hakikusha umeweka offambayo ipo muda wote kwenye display katika android 7.0 Tecno Pop one

  Leave a comment:


 • replied
  @namputa nenda setting kisha itafute developer option tafuta neno limeandikwa show tab iweke itaikuta ipo on iweke off

  Leave a comment:


 • replied
  njoo in box
  Originally posted by Namputa
  Nahitaji kutoa icon ya duara ambayo ipo muda wote kwenye display katika android 7.0 Tecno Pop one

  Leave a comment:


 • replied
  njoo in box .0ffTecno Pop one[/QUOTE]

  Leave a comment:


 • replied
  Tecno sport ujumbe huu kama mnauona naomba mnisaidie kipengele kimoja sikioni hapa cha flont style hapo mwanzo kilikuwepo nifanyeje kukipata!?
  Click image for larger version

Name:	TSIMG_20190821_152439.jpg
Views:	1
Size:	16.0 KB
ID:	24599

  Leave a comment:


 • replied
  simu yangu pouviour1 ilikuwa na front style hapo mwanzo saivi ghafra tuu siioni naomba msaada

  Leave a comment:


 • replied
  Simu yangu Tecno N2, tangu niunstall app ya Facebook hadi Leo hii kila nikiiingia playstore kuidownload inakataa kuinstall inaniandikia "Can't install Facebook app , see the common ways to fix the problem" hivyo naomba msaada wenu Katika hili tatizo

  Leave a comment:


 • replied
  simu yangu ni spark 3 nataka apps same zikae Kama mwanzo

  Leave a comment:


 • commented on 's reply
  tafadhali fika katika ofisi za matengenezo za Carlcare uweze kupata msaada

 • commented on 's reply
  Hakikisha hauna apps running in the background. Pia back up data zako na ufanye factory reset

 • commented on 's reply
  Hakikisha unafanya updates kwenye simu yako mara kwa mara kisha back up data zako na ufanye factory reset

 • replied
  font problem

  Leave a comment:

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD