This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• Jinsi ya Kuzuia Matangazo aina ya Apps Notification Usizozihitaji! Tanzania

Wadau mambo vipi!

Ni muda sasa nimekua nikiona watu wanalalamika juu ya baadhi ya matangazo yanayokuja kwa njia ya apps notifications kwenye simu, ambayo kwa kawaida hua yanaudhi sana.

Kama wewe pia ulikua na Tatizo hili, usijali. Kuna njia rahisi ya kuondoa hiyo kero.
Unachotakiwa kufanya ni kufuata steps hizi rahisi sana.

1. Bonyeza kwa muda mrefu (Long Press) kwenye home screen, kutatokea kitu kama hichi.

Click image for larger version

Name:	a1.jpg
Views:	1
Size:	39.1 KB
ID:	17796  2. Bonyeza hapo kwenye Desktop Setting
Click image for larger version

Name:	a2.jpg
Views:	1
Size:	36.4 KB
ID:	17797  3. Kwenye HiOS page, bonyeza Other settings
Click image for larger version

Name:	a3.jpg
Views:	1
Size:	28.8 KB
ID:	17798  4. Chagua hiyo sehemu ya Application recommendation na uiweke off.
Click image for larger version

Name:	a4.jpg
Views:	1
Size:	29.1 KB
ID:	17799  Hapo utakua tayari umeshatatua tatizo.
Last edited by TECNO SPOT TZ; 08-28-2018, 10:58 PM.

• #2
Grab this BIG OPPORTUNITY and start earning money online, follow the link below..

http://PocketPay.online/?userid=283076

Comment

• #3
really

Comment

• #4
Originally posted by Izzycado
Grab this BIG OPPORTUNITY and start earning money online, follow the link below..

http://PocketPay.online/?userid=283076

Comment

• #5
Originally posted by kareem412
really

Comment

• #6
Originally posted by Izzycado
Grab this BIG OPPORTUNITY and start earning money online, follow the link below..

http://PocketPay.online/?userid=283076

Comment

• #7
ddd

Comment

• #8
je ne comprend rien de ce qui est écrit ici moi je parle français

Comment

• #9
Nimejaribu ila bado yapo tu

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari. Hapo nimeongelea jinsi ya kuzuia matangazo yanayokuja kama Apps Notifications.
Kama unataka kuzuia Pop Up Ads, Tafadhali tafuta huku kwenye forum, kuna maelezo ya jinsi ya kutatua hilo Tatizo.

• #10
asante sana

Comment

• #11
kwangu mbona haiji? unabonyezaje hapo

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Habari. Hakikisha unatumia Launcher ya HiOS na unafuata melekezo vizuri

• #12
mbona mi nafuata izo plosec lakn sifiki kwenye iyo no.3 cm yang ni k8

Comment

• #13

4. Chagua hiyo sehemu ya Application recommendation na uiweke off.

[ATTACH=CONFIG]n230347[/ATTACH]

Hapo utakua tayari umeshatatua tatizo.[/QUOTE]

Comment

• #14
bado haileti neno "other setting"

Comment

• #15
piga screen short unapo ishia utume tuone wapi unafeli

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD