This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #16
  hii wengi sana huwa inawakera hongera kwa kutujuza hilo

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Karibu sana. Endelea kutembelea TECNO Spot ili kuweza kujuzwa zaidi kuhusuiana na vitu vingine

  • Ahmady commented
   Editing a comment
   Sawa

 • #17
  simu yangu tecno k7 inatabia ya kujiandika "Facebook isn't responding", nifanyeje ili isitokee hiii???

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   nenda kwenye setting, app setting, kisha scroll mpaka kwenye facebook, click it na clear cache na force stop.
   Baada ya kufanya hivyo restart simu yako

 • #18
  mbona kwenye simu yangu haikubali L8

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   habari. simu yako ya L8 inasumbuliwaga na hilo tatizo?
Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD