This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • CAMON KAMA ZOTE, ZAWADI KAMA ZOTE Tanzania

  Click image for larger version

Name:	728x90d.jpg
Views:	1
Size:	182.4 KB
ID:	17929


  Hivi umeshawahi kufikiria kurudushiwa mara nyingi zaidi ya unavyotoa?
  Kampuni yako pendwa mwezi huu mzima tunapenda kukuzawadia wewe mdau wetu mkubwa zawadi nyingi na kubwa zaidi.


  Kampeni nzima inaitwa Camon kama zote, kwa sababu inahusisha simu zetu kali sana hasa kwenye upande wa Camera, simu za Camon.
  Kwa mwezi huu mzima wa tisa, unanafasi ya kushinda zawadi nyingi na zawadi kubwa ya Pikipiki. Naam! unaweza jishindia pikipiki kwa kununua simu zetu za Camon.

  Click image for larger version

Name:	IMG-20180903-WA0012.jpg
Views:	1
Size:	110.0 KB
ID:	17927


  Haya ni mambo mazuri kutoka kwenye simu za Camon, una nafasi ya kujishindia pikipiki pale ununuapo simu za Camon. Unachotakiwa kufanya ni:
  1.Tembelea maduka ya TECNO yeyote nchini yaliyokaribu nawe
  2. Nunua simu yeyote ya toleo la Camon
  3. Hakikisha unajaza fomu ili kuingia katika Lucky draw.

  Click image for larger version

Name:	18698532_1922061511412904_4119357735114842247_n.jpg
Views:	1
Size:	43.6 KB
ID:	17928  Ni hivyo tu!
  Pikipiki mbili zitatolewa kwenye Luckydraw moja katikati ya mwezi, na nyingine mwisho wa mwezi.


  Wahi sasa! #CamonKamaZote  Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-06-2018, 04:18 PM.

 • #2
  hi

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Hello.. how you doing!

  • hanif007 commented
   Editing a comment
   how to lvl up in tecno spot

  • 0654445230 commented
   Editing a comment
   I'm in Tanga how can I get Techno camon?and what is its cost?

 • #3
  nina tecno camon x pro nawezaje kushiriki au na kwa wateja wapya tu?

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Ili kushiriki inabidi uwe umenunua simu katika kipindi hiki cha kampeni cha mwezi huu wa tisa

 • #4
  hi

  Comment


 • #5
  daaaah bc me nishapitwa maana nilishanunua

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Karibu tena, wajulishe na wengine.

 • #6
  sisi tulio nunua mapema imekula kwetu

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Ili kushiriki katika shindano la kuwania pikipiki, inakubidi kununua simu za Camon katika kipindi cha mwezi huu wa tisa.

 • #7
  Kwahyo kwa wateja wa zamani hatuwezi kushiriki kwenye hilo shindano????

  Comment


  • TECNO SPOT TZ commented
   Editing a comment
   Shindano ni kwa wale watakaonunua simu za Camon katika mwezi huu wa tisa

 • #8
  Originally posted by hanif007 View Post
  hi
  To level up in Tecno Spot you have to write articles, comment on threads and be active in the forum. As for every article or comment you post, you earn T Points.. hence leveling up.

  Comment


  • #9
   really

   Comment


   • #10
    tunduma akuna wakala wa tecno, hilo shindano kwa dar tu...?

    Comment


    • TECNO SPOT TZ commented
     Editing a comment
     Ni kwa mikoa tajwa husika

   • #11
    Usipime mziki wa Tecno CX. Kuanzia processing speed mpaka Camera ni fire.

    Comment


    • TECNO SPOT TZ commented
     Editing a comment
     Asante sana kwa feedback.
     Endelea kufurahia kutumia simu yako

   • #12
    naombeni msaada wenu tangu mwezi wa nane situmii tena camera nikifungua inaniandikia can't connect to the camera make sure you close other apps that use camera or flashlight.please naombeni msaada wenu

    Comment


    • TECNO SPOT TZ commented
     Editing a comment
     Habari, pole sana kwa tatizo lako.
     Hakikisha nenda kwenye settings > apps > click icon juu kulia yenye three dots na uchague "show system apps" > tafuta camera > click na ubonyeze kwenye storage > kisha clear cache.

     Fanya hivyo kwa flashlight pia.

     kisha reboot simu yako

    • TECNO SPOT TZ commented
     Editing a comment
     PIa unaweza kuziforce close na kuziopen tena hizo applications

   • #13
    vipi kuhusu camon CM?

    Comment

    Advanced Options
    Working...
    X
    Download the App for a More Fluid Experience
    DOWNLOAD