This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #16
  Simu yangu ni aina ya camon cx air, iko mara nyingi shida ya apps kutoa notifications kama facebook isn't responding, whatsapp isn't responding mara photo,, sasa hii ni shida ya nn na nn solutions kwa haya matatizo?

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   search here in the forum. Solution to that problem have been posted here already

 • #17
  nashukuru nitafanyia kazi

  Comment


  • #18
   tecno k7 mbona slow sana

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Hakikisha hauna apps nyingi zinazorun kwenye background. Pia delete junkie files na clear cache

  • #19
   iko slow na inaganda kwenye mitanda ya kijamii pamoja na kuwa nzito inatakiwa iwe kama 4G

   Comment


   • #20
    na kwenye facebook upende kusema isn't responding Mara YouTube sikipendi hicho kitendo kwa kweli

    Comment


    • #21
     Lakini pia kuna ishu ya SYSTEM UPDATING, hyo muhinu san<br />
     <br />
     ila apo kweny kava ya simy kysababusha iwe sliw sjakuelewa man

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      kuna makava hayana ubora. yanakua hayapitishi joto na kutrap joto hivyo kuipa tabu sana simu

    • #22
     ?.. umeeleweka, vzri. sana.. Asante

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      pa1 sana

    • #23
     Mm natumia tecno w3 lte ila nikiwasha data inakua inaload taratibu sana tatizo ni nn?

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      Hakikisha unaclear apps zote kwenye background. Usiwe unaacha apps nyingi zinarun kwenye background.
      Pia futa mafaili na applications ambazo huzitumii

    • #24
     [QUOTE=mafwere;236908]Yaani Mimi hii simu hadi nimeichoka haina hata mwaka lakini inaweza kustuck hadi najuta bora hela yangu ningeiweka tu maana nazima kila siku usiku ndo kwanza limegoma hata touch na whatsApp na hiyo fb mnayosema tuache kutumia sa nini maana ya kuwa na smart[tatizo lako linafanana na tatizo langu ndugu]

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset.

    • #25
     asante sana kwa elimu yako bro

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      pa1 sana!

    • #26
     yaani Tecno K7 kwangu naona ni mzgo tu bora kutomiliki smart inastaki Kama nini

     Comment


     • waku7bisha commented
      Editing a comment
      Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset..

    • #27
     Originally posted by Alexgeorge
     Me simu yangu kila nikitoka kwenye whatsapp, facebook na baadhi ya application huwa zinaniandikia whatsapp is not responding, so naomba msaada wenu tafadhari
     ?? Hili tatizo hata kwangu me ni ttzo hua nawaza ningekua na hela hiii simu ningeipigiza kwenye sakavu likawa vipande vipnde lkini ndyo hvyo sina kila kitu

     Comment


     • #28
      Mm ninatumia mitandao ya kijamii,hivi mfano nataka kucheki mpira,na nahitaji kufunga app ili kupunguza utumiaji wa data,je ntafanyaje?

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       Nenda kwenye app ya Phone master na useti ni app gani itumie na gani isitumie data on the background

     • #29
      me ndo maana tecno zilinishinda maana simu zake unapangiwa matumizi kama iphone me nataka niwe huru kama nilivo na samsung yangu hapa naenjoy xana cwez tumia simu ya kujibana

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       TECNO wana simu za kila aina kulingana na bajeti yako na uwezo wa simu yenyewe. Kuna Low end, Mid end na high end smartphones. Sio kila simu zipo sawa kiuwezo

     • #30
      sim yangu kila Mara inakaa inaandika ujumbe unaosema unfortunately shell has stopped nifanye nini Ili kuziwia ujumbe huo?

      Comment


      • waku7bisha commented
       Editing a comment
       Tafadhali back up data zako na ufanye factory reset.
     Advanced Options
     Working...
     X
     Download the App for a More Fluid Experience
     DOWNLOAD