This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • #31
  Originally posted by nyauba
  tecno k7 mbona slow sana
  baba sio poa k7 jau kinoma

  Comment


  • #32
   simu yangu inasumbua kutunza majina kwenye email yangu nifanyeje?

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    inasumbua kivipi? nini shida? Inakuletea ujumbe gani? unakwama wapi?
    Tafadhali tuelezee tatizo lako vizuri Zaidi.

  • #33
   Sorry mimi tangu juzi inagoma nikiingia instagram naambiwa can't refresh na whatsapp ndo siingii kabisa

   Comment


   • waku7bisha commented
    Editing a comment
    Hakikisha una internet data bundle na upo sehemu yenye mtandao vizuri.
    Hayo yote ni baada ya kuwa sure kua internet settings kwenye simu yako zipo sawa.
    Asante

  • #34
   Mh mbona hayo matatzo yote ni ya kawaida tu. Je.? Simu inapojiwasha data.....

   Comment


   • #35
    na mm cim yangu kwamfano nime download kitukikubwa Alaf ikaniandikia storage raning out naeza nikaifita lakin inaendelea kuniandikia iv mpaka niizime Ndo inakubal kufantion SIM yang ni tecno wx3 ap tatizo lip sehemu gan

    Comment


    • waku7bisha commented
     Editing a comment
     simu yako hakika ina storage space ndogo.
     So Hakikisha unamanage storage vizuri kwa kufuta baadhi ya vitu au kwa kuhifadhi media files kwenye memory card.
     Asante.

   • #36
    hi

    Comment


    • #37
     mm nilidownload pes ikaniambia there is problem package

     Comment

     Advanced Options
     Working...
     X
     Download the App for a More Fluid Experience
     DOWNLOAD