X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • Tatizo la mashine Tanzania

  Me simu yangu L8Plus imeharibika mashine, Nimepeleka kwa fundi amenambia mashine zake hazipo. Je, mnaweza kunisaidia kupata mashine mpya?

 • #2
  Habari. Pole sana kwa tatizo lako.
  Tafadhali fika katika ofisi zetu za Carlcare ili uweze kutengenezewa simu yako.
  Upo maeneo gani ndugu?

  Comment

  Advanced Options
  Working...
  X
  Download the App for a More Fluid Experience
  DOWNLOAD