This is a sticky topic.
X
X
 • Filter
 • Time
 • Show
Clear All
new posts

 • TECNO KUENDELEA KUWANUFAISHA WATANZANIA Tanzania

  Habari njema kwa watanzania, katika kuonyesha upendo kwa wateja wao mnamo tarehe 1/9/2018 TECNO walitambulisha rasmi shindano linalohusisha simu za toleo la camon liitwalo CAMON KAMA ZOTE. Shindano la CAMON KAMA ZOTE linampa nafasi mteja yeyote atakaenunua simu yoyote ya toleo la TECNO CAMON katika maduka yenye promotion kujishindia pikipiki kama inavyoonekana hapa

  Click image for larger version

Name:	a1.jpg
Views:	1
Size:	118.4 KB
ID:	18150  Hivyo basi ikiwa ni wiki mbili zimeshapita sasa tangu kuanza kwa shindano la CAMON KAMA ZOTE litakalo chukua nafasi hadi mwisho wa mwezi huu. Ningependa kuwahasa ndugu watanzania kuchangamkia fursa hii kwa kununua TECNO CAMON series katika maduka yote ya TECNO yenye promotion jijini Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tabora na Arusha ukiwa na kitambulisho ili uwe miongoni mwa washiriki wa bahati nasibu itakayochezeshwa na kupata mshindi wetu wa pikipiki.

  Click image for larger version

Name:	a2.jpg
Views:	1
Size:	89.1 KB
ID:	18151


  Lakini pia kutakuwa na zawadi nyingine zitakazotolewa papo kwa papo kama vile powerbank, usb fan, usb torch, fingergrip, wired headseat, square minispeaker na kadhalika kwa wateja wa TECNO SPARK Series na TECNO CAMON Series.

  TECNO CAMON Series ni simu zinazopendwa hasa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kamera wenye kutoa picha zenye uhalisia hata katika mwanga hafifu na miongoni mwa simu zinazosifika kuwa na ulinza mkubwa unaotambulika kama ‘face id’.
  Fika sasa katika maduka ya TECNO, CAMON KAMA ZOTE ZAWADI KAMA ZOTE.
  Last edited by TECNO SPOT TZ; 09-18-2018, 04:27 PM.

 • #2
  sasa Mimi nime nunu w5. nipo kwenye shindano

  Comment


  • waku7bisha commented
   Editing a comment
   Habari, karibu TECNO Spot.
   Shindano limeshaisha na washindi wa pikipiki wameshapatikana tayari.
   Endelea kutufuatilia ili uwe wa kwanza kupata taarifa endapo yatokeapo mashindano mengine.

 • #3
  TAYARI NIMENUNUA

  Comment

  Advanced Options
  Working...
  X
  Download the App for a More Fluid Experience
  DOWNLOAD