This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• MATUMIZI YA SIMU [SEHEMU YA PILI(2)] Tanzania

SIMU ZA MKONONI ZA TECNO (TECNO MOBILE PHONE)
Tecno tuna aina mbili ya simu za mkononi

1. Simu za batani (feature phone)

2. Simu janja (smart phone)

SIMU ZA BATANI (FEATURE PHONE)
Hizi ni simu ndogo ambazo kazi kubwa yake ni mawasiliano kwa njia ya kuongea na ujumbe mfupi wa maandishi (text message)
Click image for larger version

Name:	Picture1.jpg
Views:	1
Size:	40.9 KB
ID:	20959

SIMU JANJA (SMART PHONE)
Hii ni aina ya simu za mkononi ambazo unatumia kwa kugusa kioo cha simu.

Qn. Ni kwanini inaitwa simu janja.?

Hii ni kwa sababu ni aina ya simu ambayo ina mambo mengi ya kutumia na kukifanya kifaa kiwe ni zaidi ya simu

Click image for larger version

Name:	Picture2.jpg
Views:	1
Size:	50.9 KB
ID:	20960

MATUMIZI YA SIMU JANJA
Simu janja zinamatumizi mengi sana kulingana na uwezo na aina ya simu yenyewe.

Ila ikumbukwe matumizi makubwa ya simu yoyote ile duniani ni mawasiliano.

Yafuatayo ni baadhi ya matumizi ya simu janja
•Kwa ajili ya kupiga picha nzuri
•Kwa ajili ya kutangaza biashara
•Kwa ajili ya kuhifadhi nyaraka
•Kwa ajili ya burudani
•Kwa ajili ya kufanyia kazi • #2
simu yangu ni tecno w4 lakini nzito sana katika kufanya maamuzi pale unapouamuru yani ni nzito je naweza kuifanyaje iweze rudi katika hali yake

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Hakikisha hauachi apps nyingi kwenye simu yako zikirun kwenye background. Pia kua na mazoea ya kuclear apps cache kwenye simu yako. Hakikisha storage ya simu yako haiwi imejaa sana.

• #3
mmmmmhh

Comment

• #4
Originally posted by goldenpd
mmmmmhh
pdmee

Comment

• #5
Nahitaji kureset simu ya tecno w5 but stage ya mwisho inahitaji password bt nikiweka password ya email inakataa msaada jamani.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
stage ya mwisho ipi? Upo wapi tafadhali?

• #6
sinu yangu ni tecno F1 nikituma sms kwa line ya voda inagoma!naombeni msaada wenu

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
wasiliana na mtandao wako na Hakikisha message center number imewekwa kwa usahihi

• #7
simu yangu KA7 iko vizuri nafurahia wakati wote raha.

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
asante kwa feedback yako. Endelea kufurahia simu yako.

• #8
e[aQUzOTE=waku7bisha;296717][SIZE=18px]SIMU ZA MKONON[I ZA TECNO (TECNO MOBILE P,+ J j?ONE)[c osmic sas ms]Tecno ievtuna aina m.bili, ya simu za mkononi tkl

1. Simu za batani (features pxxhoa

ne)m,

a couple

2. Simu janja (smart phone)

SIMU ZA BATANI (FEATURE PHONE)

/ t

Hizi ni simu ndogo ambazo kazi kubwa yake ni mawasiliano kwa njia ya kuongea na ujumbe mfupi wa maandishi (text message)

[ATTACH=CONFIG]n296718[/ATTACH]

SIMU JANJA (SMART PHONE)

Hii ni aina ya simu za wpmkononi ambazo unatumia kwa kugusa kioo cha simu.

Qn. Ni kwanini inaitwa simu janja.?

Hii ni kwa sababu ni aina ya simu ambayo ina mambo mengi ya kutumia na kukifanya kifaa kiwe ni zaidi ya simu

[ATTACH=CONFIG]n296719[/ATTACH]

MATUMIZI YA SIMU JANJA

Simu janja zinamatumizi mengi sana kulingana na uwezo na aina ya simu yenyewe.

r

Ila ikumbukwe matumizi makubwa ya simu yoyote ile duniani ni mawasiliano.

Yafuatayo ni baadhi ya matumizi ya simu janja

•Kwa ajili ya kupiga copicha nzuri

k

•Kwa ajili ya kutangaza biashara

yn

•Kwa ajili ya kuhisfadhi nyaraka

[SIZE=16px]•Kwa aj.ili ya burudani[/SIZEz]

[SIZE=16px]•Kwa ajili ya kufanyia kazi[j/SIZE]

b

[/QUOTE]zm

Comment

• #9
Mirl

1. Simu za batani (feature phone)

2. Simu janja (smart phone)[/SIZE][/FONT]

SIMU ZA BATANI (FEATURE PHONE)

Hizi ni simu ndogo ambazo kazi kubwa yake ni mawasiliano kwa njia ya kuomjwngaea na ujumbe mfupi wa maandishi (text message)

[ATTACH=CONFIG]n296718[/ATTACH]

SIMU JANJA (SMART PHONE)

Hii ni aina ya simu za mkononi ambazo unatumia kwa kugusa kioo cha simu.

Qn. Ni kwanini inaitwa simu janja.?

Hii ni kwa sababu ni aina ya simu ambayo ina mambo mengi ya kutumia na kukifanya kifaa kiwe ni zaidi ya simu

[ATTACH=CONFIG]n296719[/ATTACH]

MATUMIZI YA SIMU JANJA

Simu janja zinamatumizi mengi sana kulingana na uwezo na aina ya simu yenyewe.

Ila ikumbukwe matumizi makubwa ya simu yoyote ile duniani ni mawasiliano.

[SIZE=16px]Yafuatayo ni baadhi ya maximizing ya simu janja[/SIZEw]

•Kwa ajili ya kupiga picha nzuri

o

•Kwa ajili ya kutangaza biashara

•Kwa ajili ya kuhifadhi nyaraka

lgx

•Kwa ajili ya eburudani

•Kwa ajili ya kufanyia kazi

[/QUOTEeo]

Comment

• #10
V
Originally posted by waku7bisha
[SIZE=18px]SIMU ZA MKONONI ZA TECNO (TECNO MOBILE PHONE)[i/SIZE]l

Tecyno tuna aina mbili ya simu za mkononi

1. Simu za batani (feature phone)

j

2. Simu janja (smart phone)

SIMU ZA BATANI (FEATURE PHONE)

Hizi ni simu ndogo ambazo kazi kubwa yake ni mawasiliano kwa njia ya kuongea na ujumbe mfupi wa maandishi (text message)

[ATTACH=CONFIG]n296718[/ATTACH]

SIMU JANJA (SMART PHONE)

Hii ni aina ya simu za mkononi ambazo unatumia kwa kugusa kioo cha simu.

Qn. Ni kwanini inaitwa simu janja.?

Hii ni kwa sababu ni aina ya simu ambayo ina mambo mengi ya kutumia na kukifanya kifaa kiwe ni zaidi ya simu

[ATTACH=CONFIG]n296719[/ATTACH]

MATUMIZI YA SIMU JANJA

Simu janja zinamatumizi mengi sana kulingana na uwezo na aina ya simu yenyewe.

Ila ikumbukwe matumizi makubwa ya simu yoyote ile duniani ni mawasiliano.

Yafuatayo ni baadhi ya matumizi ya simu janja

•Kwa ajili ya kupiga picha nzuri

•Kwa ajili ya kutangaza biashara

•Kwa ajili ya kuhifadhi nyaraka

•Kwa ajili ya burudani

•Kwa ajili ya kufanyia kazi

Comment

• #11
l
Originally posted by waku7bisha
SIMU ZA MKONONI ZA lTECNO (TECNO MOBILE PHONE)

• #12
mko poa sana tecno lakn simu zenu znajamu sana na kuganda sana

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tafadhali Hakikisha hauna apps zinazorun kwenye background. Pia Fanya updates mara kwa mara

• #13
Thanks I like it

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
you are welcome

• #14
napenda sana cm zenu TECNO ni cm nzuri sana ila mzidi kuziboresha

Comment

• #15
good tecno

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD