This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• MATUMIZI YA SIMU [SEHEMU YA TATU (3)] Tanzania

Matumizi ya simu; jinsi ya kupiga picha nzuri.

Kadri siku zinavyo enda teknolojia inazidi kuwa kubwa na ndivyo tumekuwa tukipata simu mbali mbali zenye uwezo wa kupiga picha nzuri kwenye matukio mbali mbali.
Simu za siku hizi zina uwezo wa kupiga picha na kuzihifadhi ndani ya hiyo simu.

Jinsi ya kupiga picha...

Simu nyingi sasahivi zinapiga picha lakini zinakuwa na ubora tofauti.
Utafauti huu unasababishwa na vitu mbali mbali.

Vitu vyakuzingatia ili kupiga picha bora.

•Ukubwa wa mega pixel
Kwa mtumiaji yoyote wa simu janja anatakiwa kuzingatia ukubwa wa mega pixel wa simu yake kabla hajapiga picha.
Mega pixel ni nini.?
Mega pixel Ni mjumuisho wa pixels elfu moja.

Pixel ni nini.?
eneo la kuangaza kwenye skrini ya kuonyesha, ambapo mjumuiko wake kwa pamoja hutoa picha Moja.

NB: kadri mega pixel inavyo zidi kuwa kubwa na ubora wa picha nao unazidi kuwa mzuri zaidi (ung'aavu wa picha). Na namba ya chini ya mega pixel ni megapixel 1.

•Usafi wa lenzi ya kamera ya simu yako
Kabla ya kupiga picha hakikisha lenzi ya kamera ya simu yako ipo safi na haina ukungu wala vumbi.
Jinsi ya kusafisha lenzi ya kamera.
Kwa kutumia kitambaa kisafi na kikavu kilicho undwa kwa pamba.
Unatakiwa ufute juu ya kioo ya lenzi kuhakikisha uchafu au unyevu wote umetoka.

•Tumia mfumo wa mraba ndani ya picha (Gridlines boxes)
hivi ni vyumba vinavyo kuwa kwenye upande wa kamera.
Anashauriwa mtu anayejifunza kupiga picha iliyo bora kutumia hivi vyumba kwa ajili ya kusawazisha na kunyoosha mraba wa picha ili kupiga picha ambayo haijacheza.
Click image for larger version

Name:	1.jpg
Views:	1
Size:	64.3 KB
ID:	21062  •Kuwa tayari kwa kupiga picha (stay standby)
mtu yeyote aliyeshika kifaa cha kupigia picha (simu) kabla ya kupiga picha anatakiwa akae tayari kwa ajili ya kupiga hiyo picha.
Maandalizi ya mpigaji picha yakae sawa kulingana na kitu anachotaka kukipiga.

•Epuka kuikuza picha (zoom)
Unapopiga picha iliyobora epuka kuikuza picha hiyo.
Ni bora ukakisogelea kitu unachotaka kukipiga picha kwa karibu zaidi lakini sio kuikuza
Kuikuza picha kunapunguza namba za megapixels.
NB: picha bora ni ile ambayo inaambatana na uhalisia wa kila kitu, hivyo basi kuikuza picha ni kupunguza uhalisia wa picha halisi.

•Epuka kupiga na mwanga (flash) sehemu iliyokuwa na mwanga.
Mwanga wa kamera umewekwa kutumika sehemu au mahali palipokuwa na giza.
Ukipiga picha na mwanga wa kamera sehemu yenye mwanga hautoweza kupata picha iliyokuwa bora, picha itatokea kama imeungua au giza kwenye picha Kutokana na mwanga kukinzana.
Hivyo unashauriwa kupiga picha bila kutumia mwanga wa Picha ya kamera (flash).

PIGA PICHA
Click image for larger version

Name:	2.jpg
Views:	1
Size:	58.6 KB
ID:	21063

Last edited by TECNO SPOT TZ; 02-11-2019, 04:44 PM.

• #2
msaada tafadhali, simu yangu ni Camon 11, kila mara inafanya installation ya app ambazo sizihitaji na kila nikizifuta zinarudi baadaye. nimeperuzi jinsi ya ku avoid hii kitu nimechemka kiasi

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Applications zipi hizo?

• #3
naomba simu infinix note 5

Comment

• #4
nabeyi yake kwa tsh

Comment

• #5
naombeni msaada nina simu ya Tecno camon cx lakini ninapowasha data huwa inapotea na kurudi tena ikirudi inaniandikia E nitafanyaje ili isiwe inapotea?

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
Wasiliana na mtandao wako unaotumia na Hakikisha upo kwenye sehemu ambayo mtandao huo unashika vizuri

• #6
na sim tecno k7 inasumbua better nitapata wapi better

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
fika katika ofisi zetu za carlcare service center zilizopo karibu nawe

• #7
msaada natumia techno spack k7 masej zinaingia kimy kimya tatizo ninin? msaada please

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
tafadhali toa ufafanuo Zaidi; zinaingia kimyakimya kivipi? hazitoi mlio...au?
pia sound profile yako kwenye notification volume umeweka mlio kwa sauti?

• #8
naombeni msaada msaada

simu yangu ni TECNO K7

kwenye upande wa fonts nikidownload zinagoma

tatizo n nn naomba msaada

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
habari, pole sana kwa tatizo lako.
Wataalamu wanashughulikia swala la fonts kwenye simu zetu.
Tafadhali Endelea kua unaupdate simu yako ili kuweza kujua pindi swala litakapotatuliwa.

• #9
Originally posted by olivermusanvu
naomba simu infinix note 5

Hii ni kampuni kubwa ya tecno sasa ni kwanini uombe infinix?

Comment

• #10
"settings" kisha ingia kwenye "Network & internet" na uingie kwenye "mobile network" baada ya apo utaona sehemu imeandikwa "preferred network type" kisha gusa (then click) utaona umeorozeshewa

4G or LTE recommend

3G

2G

,wewe chagua 4G LTE au 3G kama laini yako itakua hairuhusu 4G... THANK

Comment

• #11
HII NI KAMPUNI KUBWA YA TECNO TZ

Comment

• #12
hazina sauti au?

Comment

• #13
ILO SIO TATIZO, CHA KUFANYA LOGIN UP ACCOUNT YA HI account, ni rahisi

Comment

• #14
na kama tayari ushajiunga alafu bado inakuletea matatizo ayo basi uwe unasubiri kwa dk 5 itakubali

Comment

• #15
Msaada tafadhar. Simu yangu ni Camon Cx, nimejaribu kuupdate system lakini mwisho wa siku imekuwa ikiniletea OTG ambayo inataka muda wote niwe nachat simu ikiwa ipo kwenye charge tu na hata nikiizima kuja kuwasha kwenye haiwaki mpaka nichomeke charge ndiyo inawaka. Je nifanye nn ili hili tatizo litoke????

Comment

• 787695538 commented
Editing a comment
Simu yanga nataka kuroot vipi utaruuti tecno c 9 tafadha nifahamishe

• waku7bisha commented
Editing a comment
Tafadhali fika kwenye kituo cha carlcare kilichopo karibu nawe.
Asante.
Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD