This is a sticky topic.
X
X
• Filter
• Time
• Show
Clear All
new posts

• #16
natumia tecno k9 upande w camera ni shd msaada plz

Comment

• waku7bisha commented
Editing a comment
shida gani tafadhali?

• #17
niaje

Comment

• #18
Apo auna ujanja ni kununua kamera mpya zipo madukan
Originally posted by upendochacky
natumia tecno k9 upande w camera ni shd msaada plz

Comment

• #19
[啊QUOTE=waku7bisha;298445][FO顺便就NT=comic sans ms]Matumizi ya simu; jinsi ya 我,kupiga picha nzuri.[/FONT]

Kadri siku zinavyo enda teknolojia inazidi kuwa kubwa na ndivyo tumekuwa热 哦tukipata simu mbali mbali zenye uwezo wa kupiga picha 看2nzuri kwenye matukio mbali mbali.

Simu za siku hizi zina uwezo wa kupiga picha na kuzihifadhi ndani ya hiyo simu.

Jinsi ya kupiga picha...

Simu nyingi sasahivi zinapiga picha lakini zinakuwa na ubora tofauti.

Utafauti huu unasababishwa na vitu mbali mbali.

Vitu vyakuzingatia ili kupiga picha bora.

•Ukubwa wa mega pixel

Kwa mtumiaji yoyote wa simu janja anatakiwa kuzingatia ukubwa wa mega pixel wa simu yake kabla hajapiga picha.

Mega pixel ni nini.?

Mega pixel Ni mjumuisho wa pixels elfu moja.

Pixel ni nini.?

eneo la kuangaza kwenye skrini ya kuonyesha, ambapo mjumuiko wake kwa pamoja hutoa picha Moja.

NB: kadri mega pixel inavyo zidi kuwa kubwa na ubora wa picha nao unazidi kuwa mzuri zaidi (ung'aavu wa picha). Na namba ya chini ya mega pixel ni megapixel 1.

•Usafi wa lenzi ya kamera ya simu yako

Kabla ya kupiga picha hakikisha lenzi ya kamera ya simu yako ipo safi na haina ukungu wala vumbi.

Jinsi ya kusafisha lenzi ya kamera.

Kwa kutumia kitambaa kisafi na kikavu kilicho undwa kwa pamba.

Unatakiwa ufute juu ya kioo ya lenzi kuhakikisha uchafu au unyevu wote umetoka.

•Tumia mfumo wa mraba ndani ya picha (Gridlines boxes)

hivi ni vyumba vinavyo kuwa kwenye upande wa kamera.

Anashauriwa mtu anayejifunza kupiga picha iliyo bora kutumia hivi vyumba kwa ajili ya kusawazisha na kunyoosha mraba wa picha ili kupiga picha ambayo haijacheza.
[ATTACH=CONFIG]n298446[/ATTACH]

•Kuwa tayari kwa kupiga picha (stay standby)

mtu yeyote aliyeshika kifaa cha kupigia picha (simu) kabla ya kupiga picha anatakiwa akae tayari kwa ajili ya kupiga hiyo picha.

Maandalizi ya mpigaji picha yakae sawa kulingana na kitu anachotaka kukipiga.

•Epuka kuikuza picha (zoom)

Unapopiga picha iliyobora epuka kuikuza picha hiyo.

Ni bora ukakisogelea kitu unachotaka kukipiga picha kwa karibu zaidi lakini sio kuikuza

Kuikuza picha kunapunguza namba za megapixels.

NB: picha bora ni ile ambayo inaambatana na uhalisia wa kila kitu, hivyo basi kuikuza picha ni kupunguza uhalisia wa picha halisi.

•Epuka kupiga na mwanga (flash) sehemu iliyokuwa na mwanga.

Mwanga wa kamera umewekwa kutumika sehemu au mahali palipokuwa na giza.

Ukipiga picha na mwanga wa kamera sehemu yenye mwanga hautoweza kupata picha iliyokuwa bora, picha itatokea kama imeungua au giza kwenye picha Kutokana na mwanga kukinzana.

Hivyo unashauriwa kupiga picha bila kutumia mwanga wa Picha ya kamera (flash).

PIGA PICHA [ATTACH=CONFIG]n298447[/ATTACH]

[/QUOTE]

Comment

• #20
်ထဤ,ဘ၌ z/ito[kQUOTE=waku7bisha;298445ဘျ2ကဌ]*င[ဖuဪ COLO[.com/SIZE]R=#800000][FONwT=်ဗcomic.com sans m]7[qဣSIZE=20px]yMဓatumizi ya si/လဝmu; Hindu ya =xညမkupဣiga lochsဂဉည nzu၏rဝi.[ဉ/FONT][/COLဆဂOR]

t[၎,

ထ.comKadri siku zinဖavyo မenda teknolojia inazidi kuwa kubwa na ndivyo tumekuwa tukipata simu mbali mbali zenye uwezo wa kupiga picha nzuri kwenye matukio mbali mbali.

Simu za siku hizi zina uwezo wa kupiga picha na kuzihifadhi ndani ya hiyo simu.

Jinsi ya kupiga picha...

Simu nyingi sasahivi zinapiga picha lakini zinakuwa na ubora tofauti.

Utafauti huu unasababishwa na vitu mbali mbali.

ဈထဗ[COLOrR=#0000FF]Vitu vyakuzingatia ili kupiga picha bora.[/COLOR]

[SIZ=yE=18px]•Ukubwa wa mega pixel[/SIZE]

Kwa mtumiaji yoyote wa simu janja anatakiwa kuzingatia ukubwa wa mega pixel wa simu yakeဗဩv kabla hajapiga picha.

ဍMega pixel ni nini.?

Mega pixel Ni mjumuisho wa pixels elfu moja.

P်ixel ni nini.?ဗဂ

eneo la kuangaza kwenye skrini ya kuonyesha, ambapo mjumuiko wake kwa pamoja hutoa picha Moja.

NB: kadri mega pixel inavyo zidi kuwa kubwa na ubora wa picha nao unazidi kuwa mzuri zaidi (ung'aavu wa picha). Na namba ya chini ya mega pixel ni megapixel 1.

•Usafi wa lenzi ya kamera ya simu yako

Kabla ya kupiga picha hakikisha lenzi ya kamera ya simu yako ipo safi na haina ukungu wala vumbi.

Jinsi ya kusafisha lenzi ya kamera.

Kwa kutumia kitambaa kisafi na kikavu kilicho undwa kwa pamba.

Unatakiwa ufute juu ya kioo ya lenzi kuhakikisha uchafu au unyevu wote umetoka.

•Tumia mfumo wa mraba ndani ya picha (Gridlines boxes)

hivi nဖi vyumba vinavyo kuwa kwenye upande wa kamera.

Anashauriwa mtu anayejifunza kupiga picha iliyo bora kutumia hivi vyumba kwa ajili ya kusawazisha na kunyoosha mraba wa picha ili kupiga picha ambayo haijacheza.
[ATTACH=CONFIG]n298446[/ATTACH]

•Kuwa tayari kwa kupiga picha (stay standby)

mtu yeyote aliyeshika kifaa cha kupigia picha (simu) kabla ya kupiga picha anatakiwa akae tayari kwa ajili ya kupiga hiyo picha.

Maandalizi ya mpigaji picha yakae sawa kulingana na kitu anachotaka kukipiga.

•Epuka kuikuza picha (zoom)

Unapopiga picha iliyobora epuka kuikuza picha hiyo.

Ni bora ukakisogelea kitu unachotaka kukipiga picha kwa karibu zaidi lakini sio kuikuza

Kuikuza picha kunapunguza namba za megapixels.

NB: picha bora ni ile ambayo inaambatana na uhalisia wa kila kitu, hivyo basi kuikuza picha ni kupunguza uhalisia wa picha halisi.

•Epuka kupiga na mwanga (flash) sehemu iliyokuwa na mwanga.

Mwanga wa kamera umewekwa kutumika sehemu au mahali palipokuwa na giza.

Ukipiga picha na mwanga wa kamera sehemu yenye mwanga hautoweza kupata picha iliyokuwa bora, picha itatokea kama imeungua au giza kwenye picha Kutokana na mwanga kukinzana.

Hivyo unashauriwa kupiga picha bila kutumia mwanga wa Picha ya kamera (flash).

PIGA PICHA [ATTACH=CONFIG]n298447[/ATTACH]

ဈ

[/QUOT]

Comment

• #21
[uQUOTE=waku7bisha;298445][SIZE20px]Matumizi ya simu; jinsi ya kupiga picha nzuri.[/SIZE]

r x

Kadri siku zinavyo enda teknolojia inazidi kuwa kubwa na ndivyo tumekuwa tukipata simu mbali mbali zenye uwezo wa kupiga picha nzuri kwenye matukio mbali bmbali.

Simu za siku hizi zina uwezo wa kupiga picha na kuzihifadhi ndani ya hiyo simu.

Jinsi ya kupiga picha...

Simu nyingi sasahivi zinapiga picha lakini zinakuwa na ubora tofauti.

Utafauti huu unasababishwa na vitu mbali mbali.

Vitu vyakuzingatia ili kupiga picha bora.

•Ukubwa wa mega pixel

Kwa mtumiaji yoyote wa simu janja anatakiwa kuzingatia ukubwa wa mega pixel wa simu yake kabla hajapiga picha.

Mega pixel ni nini.?

Mega pixel Ni mjumuisho wa pixels elfu moja.

Pixel ni nini.?

eneo la kuangaza kwenye skrini ya kuonyesha, ambapo mjumuiko wake kwa pamoja hutoa picha Moja.

NB: kadri mega pixel inavyo zidi kuwa kubwa na ubora wa picha nao unazidi kuwa mzuri zaidi (ung'aavu wa picha). Na namba ya chini ya mega pixel ni megapixel 1.

•Usafi wa lenzi ya kamera ya simu yako

Kabla ya kupiga picha hakikisha lenzi ya kamera ya simu yako ipo safi na haina ukungu wala vumbi.

Jinsi ya kusafisha lenzi ya kamera.

Kwa kutumia kitambaa kisafi na kikavu kilicho undwa kwa pamba.

Unatakiwa ufute juu ya kioo ya lenzi kuhakikisha uchafu au unyevu wote umetoka.

•Tumia mfumo wa mraba ndani ya picha (Gridlines boxes)

hivi ni vyumba vinavyo kuwa kwenye upande wa kamera.

Anashauriwa mtu anayejifunza kupiga picha iliyo bora kutumia hivi vyumba kwa ajili ya kusawazisha na kunyoosha mraba wa picha ili kupiga picha ambayo haijacheza.
[ATTACH=CONFIG]n298446[/ATTACH]

•Kuwa tayari kwa kupiga picha (stay standby)

mtu yeyote aliyeshika kifaa cha kupigia picha (simu) kabla ya kupiga picha anatakiwa akae tayari kwa ajili ya kupiga hiyo picha.

Maandalizi ya mpigaji picha yakae sawa kulingana na kitu anachotaka kukipiga.

•Epuka kuikuza picha (zoom)

Unapopiga picha iliyobora epuka kuikuza picha hiyo.

Ni bora ukakisogelea kitu unachotaka kukipiga picha kwa karibu zaidi lakini sio kuikuza

Kuikuza picha kunapunguza namba za megapixels.

NB: picha bora ni ile ambayo inaambatana na uhalisia wa kila kitu, hivyo basi kuikuza picha ni kupunguza uhalisia wa picha halisi.

•Epuka kupiga na mwanga (flash) sehemu iliyokuwa na mwanga.

Mwanga wa kamera umewekwa kutumika sehemu au mahali palipokuwa na giza.

Ukipiga picha na mwanga wa kamera sehemu yenye mwanga hautoweza kupata picha iliyokuwa bora, picha itatokea kama imeungua au giza kwenye picha Kutokana na mwanga kukinzana.

Hivyo unashauriwa kupiga picha bila kutumia mwanga wa Picha ya kamera (flash).

PIGA PICHA [ATTACH=CONFIG]n298447[/ATTACH]

[/QUOTE]

Comment

• #22
Originally posted by 745383727
msaada natumia techno spack k7 masej zinaingia kimy kimya tatizo ninin? msaada please
......unatakiwa uingie kwenye setng za apps alafu ujaribu kuzianzisha upua

Comment

• #23
hellow! naomba kujua gharama ya kubadilisha kioo cha juu cha CX Air (touch screen)

Comment

• #24
Naona Mambo yenu mazuri, ndo kwanza nimeanza kuitumia hii Tecno spark 2. Tatizo likitokea ntawacheki.

Comment

• #25
naweza kukusaidia

Comment

Advanced Options
Working...
X
Download the App for a More Fluid Experience
DOWNLOAD